Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,409
- 82,301
Alikuwa anatuchangamsha hatariiiiiiWifi cjamuona
Labda naweza kuwa wakat niko msibani

Alikuwa anatuchangamsha hatariiiiiiWifi cjamuona
Labda naweza kuwa wakat niko msibani

Anajificha sasa hivi.Mm ndo hola hata sijamjua

Ikawaje ssAlikuwa anatuchangamsha hatariiiiii![]()
Mwenzangu na mimi nimewaza hivyohivyo.Ikawaje ss
Ama wifi aliiba cm akampiga mkwara wa kuchati

Anajificha sasa hivi.
Possibly alileft kwa namba ile kaja kivingine.
WanaJF wamezoea kujifichaficha kupita maelezo![]()
wana JF wamezoea kujificha fichaTumpe pole tuMwenzangu na mimi nimewaza hivyohivyo.![]()
Lazima uchukiwe na jamii![]()
![]()
![]()
sasa fikiria asili + professional
Ni hatari.

pole kwa kuumwa vip unaendeleajeNiaje shemela 1
huyo ndio el marido eenhKwakweli mimi ni in-born entrepreneur chuo nilienda kupigwa brush tu![]()
Vipi mbona umepotea kule?Nimeshtuka jana sijakuona muda sana![]()
mababy zako wote wapo kuleWifi kule nakufaham ww tu
Mai kaka ,Johnson na Shunie wengine holaaa
Hata mimi naumwapole kwa kuumwa vip unaendeleaje

hapa mmenichanganyaHumkumbuki huyu mla bata? Au itakuwa ndio kipindi ulikuwa msibani.
Yule anayetuwekea vituko pia humjui?
![]()
![]()
![]()
![]()
Jirani wazzup man!Niko vizur mama bite![]()
misng u
Hahahhh aliyeleft sio yy ila alirud tenaNdio hukohuko... Sijui ndio wewe uliyeleft juzi?
Nilikusemaje sasa?
Uwiiii usiwe wewe tu![]()
Hahahahahaaaaa
Jamani namuonaga John tu wengine holamababy zako wote wapo kule
Hata mimi nitabadili jina na picha niwe missed khaa!!! hadi naona wivukwanini umebadili sasa? Sikuelewi ujue?
![]()
Unatufanyia vibaya Tony,jana nimekuulizia ukauchuna![]()




Jamii intelligenceHizi simulizi zinapatikana jukwaa gani?
Muulize mama Bold mwenzanghapa mmenichanganya