Ndo nani?Nimeishia kusoma huu upuuzi ulioubandika jina la uchambuzi hapo ulipoanza kusema eti maandamano yalifadhiliwa na watu kutoka nje ya nchi.
Wewe bila shaka utakua kwenye lile kundi la vidampa wa Lucy Michael. View attachment 3540744
Ukienda kuchukua posho yako Lumumba pale waulize ni nani.Ndo nani?
Kama unaona sijajibu hoja zako basi huna akili.Jikite kwenye mjadala
Sijakuuliza ulipo.Nipo Benaco jirani na mama shilingi
nonsenseMatukio ya Oktoba 29 yalikuwa jaribio la makusudi, lililopangwa kwa umakini na kufadhiliwa kikamilifu kutoka nje, lenye lengo la kuhujumu uthabiti wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpango huu uliendeshwa na nguvu za kigeni zikitumia ardhi ya Kenya, kwa nia ya kudhoofisha ajenda ya maendeleo ya taifa, kupunguza mamlaka ya dola, na kuvuruga mshikamano wa kijamii.
Rasilimali kubwa za kifedha, mipango ya kina, na mitandao iliyoratibiwa zilitumika kusukuma ajenda hii ya uhasama.
Cha kusikitisha, wachache miongoni mwa watu wa ndani ya nchi—waliotawaliwa na tamaa, majivuno, na maslahi binafsi—walichagua kuisaliti nchi yao kwa kushirikiana na maslahi ya kigeni. Kwa kufanya hivyo, walitenda moja kwa moja dhidi ya mamlaka ya Tanzania na heshima ya wananchi wake.
Oktoba 29 lazima iwe onyo la kitaifa. Katika wakati ambapo mbinu kama hizi za kuyumbisha mataifa zinatumika katika sehemu mbalimbali duniani, ni wajibu wetu kubaki wamoja, makini, na wazalendo wa dhati. Nguvu yetu iko katika umoja wa kitaifa na uaminifu usiotetereka kwa nchi yetu. Tunawajibika kwetu sisi na kwa watoto wetu kulinda uthabiti, uhuru, na mustakabali wa Tanzania bila kufanya maridhiano.
Acheni mikwara nyie watu. Dunia nzima dola haichezewi.Suluhu ni kutubu na kuomba msamaha.damu ya mtu hunena hulia.wote waliofanya yale wataisha moja moja.
Ndgu umemwaga damu isiyo na hatia subiri majibu.elewa unapambana na nature (nguvu ya asili ambyo inamilikiwa na MUNGU na yy ndye hakimu wa haki)Acheni mikwara nyie watu. Dunia nzima dola haichezewi.
Mlitaka kuivuruga Tanzania mkashughulikiwa.
Kusema damu ya mtu hunena ni kuendelea kujitilisha huruma mbele ya watu.
Pale walipolazimisha kugombea pekeyao na kuwaweka magerezani wapinzani wao, na wengine kuwaengua kihuni.Cha kusikitisha, wachache miongoni mwa watu wa ndani ya nchi—waliotawaliwa na tamaa, majivuno, na maslahi binafsi—walichagua kuisaliti nchi yao
Kuuma wewe unakatwaMatukio ya Oktoba 29 yalikuwa jaribio la makusudi, lililopangwa kwa umakini na kufadhiliwa kikamilifu kutoka nje, lenye lengo la kuhujumu uthabiti wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpango huu uliendeshwa na nguvu za kigeni zikitumia ardhi ya Kenya, kwa nia ya kudhoofisha ajenda ya maendeleo ya taifa, kupunguza mamlaka ya dola, na kuvuruga mshikamano wa kijamii.
Rasilimali kubwa za kifedha, mipango ya kina, na mitandao iliyoratibiwa zilitumika kusukuma ajenda hii ya uhasama.
Cha kusikitisha, wachache miongoni mwa watu wa ndani ya nchi—waliotawaliwa na tamaa, majivuno, na maslahi binafsi—walichagua kuisaliti nchi yao kwa kushirikiana na maslahi ya kigeni. Kwa kufanya hivyo, walitenda moja kwa moja dhidi ya mamlaka ya Tanzania na heshima ya wananchi wake.
Oktoba 29 lazima iwe onyo la kitaifa. Katika wakati ambapo mbinu kama hizi za kuyumbisha mataifa zinatumika katika sehemu mbalimbali duniani, ni wajibu wetu kubaki wamoja, makini, na wazalendo wa dhati. Nguvu yetu iko katika umoja wa kitaifa na uaminifu usiotetereka kwa nchi yetu. Tunawajibika kwetu sisi na kwa watoto wetu kulinda uthabiti, uhuru, na mustakabali wa Tanzania bila kufanya maridhiano.
walituuumiza sana watu binafsi tunaotafuta hela zetu kwa juhudi kwa kuiba na kuchoma vitu, usitukumbushe machungu bado nina hamu wapasuliwe vichwa waliobaki ungejuaNilipenda kiberiti kilivyotembea,, Yaan waandamanaji walikuwa smart, walikuwa wanafunga Barbara na kuweka mawe barabarani.
Kama CCM wangeheshimu haki za binadamu Kwa kutumia tea gas kutuliza gasia Dola ingeanguka.
Funzo. Nimeogopa nguvu ya umma yaani ndani ya masaa 5 Nchi ilikuwa inawaka moto
wangeandamana barabarani na kuchoma vituo vya kura tu au kujaaa barabarani kuelekea sehemu maaalum sio kuiba na kuchoma vitu vya watu binafsi, ule ulikuwa ujambazi kwenye kivuli cha uchaguziUpuuzi mtupu. Tungekuwa na free and fair elections hakuna hata mtu mmoja angekufa. Kudharau na kupuuza maoni ya wapiga kura, kuteka na kuua wapinzani na kukandamiza uhuru wa kuabudu ndiyo chanzo cha yakiyotokea tarehe 29.10.2025. Kuhamisha lawana kwa mataifa ya kigeni ni ulaghai tu wa watawala wenye akili mgando.
ndo huwa nawashangaaaa halafu wakiliwa vichwa utasikia sikuhusika nilikuwa natoka tu njeUmefaidika nini?
tunajuaje kwamba hawatoisha kwa vifo vya kawaida tu kama hali ya kila siku ya mwanadamu?Suluhu ni kutubu na kuomba msamaha.damu ya mtu hunena hulia.wote waliofanya yale wataisha moja moja.