Simulizi ya Oktoba 29

Simulizi ya Oktoba 29

Suluhu ni kutubu na kuomba msamaha.damu ya mtu hunena hulia.wote waliofanya yale wataisha moja moja.
Upo sahihi. Walofanya hivyo hawana budi kutubu. Hata hela walizopewa zimeshaisha
 
Kwanini ni vigumu kuongelea suala la kupotea kwa watu katika mazingira ya kutatanisha kabla ya 29 October?
Kipi ni chanzo cha yaliyo tokea 29 October?
Hata wewe unaweza kuongelea. Sababu hata mimi siliungi mkono
 
Nimeishia kusoma huu upuuzi ulioubandika jina la uchambuzi hapo ulipoanza kusema eti maandamano yalifadhiliwa na watu kutoka nje ya nchi.

Wewe bila shaka utakua kwenye lile kundi la vidampa wa Lucy Michael. View attachment 3540744
Kama hukupata hela pole sana.. Wenzako hadi sasa wanaingiza hela kutokana na 29 October
 
Acha waingize tu , pesa za namna hiyo sina uhitaji nazo, yaani niue mtu ndio nipate pesa ??

Leo hii watekaji wanaaga watu usiku kuwa wanaenda kazini kumbe kazi yenyewe ni kuteka mtu ambaye anaelezea jinsi mafisadi yanavyotafuna pesa za walipa kodi??
 
Matukio ya Oktoba 29 yalikuwa jaribio la makusudi, lililopangwa kwa umakini na kufadhiliwa kikamilifu kutoka nje, lenye lengo la kuhujumu uthabiti wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpango huu uliendeshwa na nguvu za kigeni zikitumia ardhi ya Kenya, kwa nia ya kudhoofisha ajenda ya maendeleo ya taifa, kupunguza mamlaka ya dola, na kuvuruga mshikamano wa kijamii.

Rasilimali kubwa za kifedha, mipango ya kina, na mitandao iliyoratibiwa zilitumika kusukuma ajenda hii ya uhasama.

Cha kusikitisha, wachache miongoni mwa watu wa ndani ya nchi—waliotawaliwa na tamaa, majivuno, na maslahi binafsi—walichagua kuisaliti nchi yao kwa kushirikiana na maslahi ya kigeni. Kwa kufanya hivyo, walitenda moja kwa moja dhidi ya mamlaka ya Tanzania na heshima ya wananchi wake.

Oktoba 29 lazima iwe onyo la kitaifa. Katika wakati ambapo mbinu kama hizi za kuyumbisha mataifa zinatumika katika sehemu mbalimbali duniani, ni wajibu wetu kubaki wamoja, makini, na wazalendo wa dhati. Nguvu yetu iko katika umoja wa kitaifa na uaminifu usiotetereka kwa nchi yetu. Tunawajibika kwetu sisi na kwa watoto wetu kulinda uthabiti, uhuru, na mustakabali wa Tanzania bila kufanya maridhiano.
Sawa
Walikufa wangapi?
Tarehe 30 palikuwa na maandamano? Wapi na wapi?mbona mauaji yaliendelea?
Pesa unazosema ziliingia kwa njia Gani haswa?
Itoshe kusema Samia muuaji
 
Matukio ya Oktoba 29 yalikuwa jaribio la makusudi, lililopangwa kwa umakini na kufadhiliwa kikamilifu kutoka nje, lenye lengo la kuhujumu uthabiti wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpango huu uliendeshwa na nguvu za kigeni zikitumia ardhi ya Kenya, kwa nia ya kudhoofisha ajenda ya maendeleo ya taifa, kupunguza mamlaka ya dola, na kuvuruga mshikamano wa kijamii.

Rasilimali kubwa za kifedha, mipango ya kina, na mitandao iliyoratibiwa zilitumika kusukuma ajenda hii ya uhasama.

Cha kusikitisha, wachache miongoni mwa watu wa ndani ya nchi—waliotawaliwa na tamaa, majivuno, na maslahi binafsi—walichagua kuisaliti nchi yao kwa kushirikiana na maslahi ya kigeni. Kwa kufanya hivyo, walitenda moja kwa moja dhidi ya mamlaka ya Tanzania na heshima ya wananchi wake.

Oktoba 29 lazima iwe onyo la kitaifa. Katika wakati ambapo mbinu kama hizi za kuyumbisha mataifa zinatumika katika sehemu mbalimbali duniani, ni wajibu wetu kubaki wamoja, makini, na wazalendo wa dhati. Nguvu yetu iko katika umoja wa kitaifa na uaminifu usiotetereka kwa nchi yetu. Tunawajibika kwetu sisi na kwa watoto wetu kulinda uthabiti, uhuru, na mustakabali wa Tanzania bila kufanya maridhiano.
Dhahabu imeshauzwa??
Maana maji bado ni tatizo Dar es Salaam.
 
Mleta Uzi unaweza fuatilia hii quotation kwenye Uzi was Tumia akili!!?

"Hata FDR Bado!!?

"Na kitabu mbona bado!!?

Akajibiwa

"Stop"!!

"That's above your pay cheque"
"Taarifa zinatoka juu kurudi chini"

Wakati naondoka nikasikia

Operation PJLK "desert mission" original plan in and out!

SASA NAKUSAIDIA SASA!!

HII NI SPECULATIVE ANALYSIS!

Baada ya madam kupata back up Toka Kwa mashirika ya kijasusi ya kiarabu na kichina plus Russia!

Ni wazi chama chetu Cha mapinduzi kisingeweza kupambana na mashirika kumzuia madam kushika hatam!

Ndipo mashirika pinzani ya mossad, CIA,M16 ,INCIS na n.k ambayo yameshafanya uchunguzi kwamba zibaki mbili yaani serikali mbili na sio tatu kwenye katiba ijayo!

Ndipo kwenye Uzi mwandishi anaambiwa "Taarifa zitatoka juu kurudi chini" maana yake desert mission(No reform no election) na operation PJLK itatekelezwa Kwa kufuata maelekezo Toka juu (Toka Kwa mashirika ya kijasusi ya USA na co)kurudi chini hapa kwetu!!

Code decoding;-

Desert mission= mission nchi kavu (Tanganyika) No reform no election, initiator Antipas Tundu !

Operation hiyo ikatuingiza kwenye mtego Ili kukalia kiti!!

Kifupi madam akaingizwa kwenye mtego wa mauaji bila kujua akaingia na kuapishwa then ukakusanywa ushahidi wa kutosha na mashtaka yakapelekwa ICC na hati ya mashtaka ikaja kutoka juu kurudi chini!!

Kwa hiyo team mama hawapambani na team jpm,Wala msoga wala yeyote wanapambana na team CIA,mossad,M16 n.k ambao maslahi yao hasa ardhi na uwekezaji wamepewa wapinzani wao yaani wachina,waarabu na co!!

Ndio maana niliandika mwaka juzi 2024 (uchaguzi wa 2025 ni vita vya kijasusi vya mashirika ya kijasusi ya Wachina,waarabu,urusi dhidi ya USA,uingereza,israel na co)

Ndicho kilichotokea kwamba:-
Walimuacha akalie kiti Kwa kuvunja katiba ya chama na katiba iliyopo na juzi kasema wazi alitoa order ili kulimda jamuhuri ndipo yakatokea yaliyotokea,

Sasa;-

Hati ya mashataka inamfanya kuhaha huku na kule kutafuta suluhu ambayo ni vigumu kuipata,Ndio maaana akiwa katika panic mode kaamua kuuza hazina yaani kaamua kumwaga ugali na mboga lolote na liwe!!

Kauli;-
Ya makam was mwa rais kwamba aombewe watu wabaya wasiingie mageti ya ikulu SI ya kubahatisha anajua Kuna bad dude's Toka majuu zitapewa order ya kumkamata kama Maduro ,kama hatoitikia wito kujibu mashtaka!!

NAWAZA nachambua ,nashiriki uchumi wa Mbs

Nilichokiandika sio Hali halisi but speculative analysis!!

KAZI na utu,nasonga mbele Kwa upendo na chama changu CCM!
 
FDR ndio nini?
 
Matukio ya Oktoba 29 yalikuwa jaribio la makusudi, lililopangwa kwa umakini na kufadhiliwa kikamilifu kutoka nje, lenye lengo la kuhujumu uthabiti wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpango huu uliendeshwa na nguvu za kigeni zikitumia ardhi ya Kenya, kwa nia ya kudhoofisha ajenda ya maendeleo ya taifa, kupunguza mamlaka ya dola, na kuvuruga mshikamano wa kijamii.

Rasilimali kubwa za kifedha, mipango ya kina, na mitandao iliyoratibiwa zilitumika kusukuma ajenda hii ya uhasama.

Cha kusikitisha, wachache miongoni mwa watu wa ndani ya nchi—waliotawaliwa na tamaa, majivuno, na maslahi binafsi—walichagua kuisaliti nchi yao kwa kushirikiana na maslahi ya kigeni. Kwa kufanya hivyo, walitenda moja kwa moja dhidi ya mamlaka ya Tanzania na heshima ya wananchi wake.

Oktoba 29 lazima iwe onyo la kitaifa. Katika wakati ambapo mbinu kama hizi za kuyumbisha mataifa zinatumika katika sehemu mbalimbali duniani, ni wajibu wetu kubaki wamoja, makini, na wazalendo wa dhati. Nguvu yetu iko katika umoja wa kitaifa na uaminifu usiotetereka kwa nchi yetu. Tunawajibika kwetu sisi na kwa watoto wetu kulinda uthabiti, uhuru, na mustakabali wa Tanzania bila kufanya maridhiano.
Aisee umeandika haya matapishi ukiwa wapi?
 
FDR ndio nini?
Kulikua na mpango toka mwanzo wa kumuingiza FDR wa kwetu huku ,yaani Franklin Delano Roosevelt yule Rais mwana mageuzi alioifanya america kuwa super power hadi leo!! Inasadikika angeingia baada ya mzilankende muyango wa chato kwenda Kwa baba,yeye ndio angeshika baada ya madam kushika Kwa muda muda tuu,then yeye angeteuliwa kuwa makam then ndio angeshika yeye (hatujui mechanism ambayo ingetumika kumuondoa huyu aliepo ndio FDR ashike)

Lakini baada ya mama kushika the state wakasema apewe muda na operation ikasitishwa na akapewa maagizo Fulani kama 18,nenda kasome Uzi wa Tumia akili (member humu jamvini) "Operation imesitishwa the state wamesema apewe muda" soma pia "Rais ambaye hajawahi kugombea ,ilitokea marekani itatokea na huku" pia ongezea na hii "Franklin Delano Roosevelt FDR na utawala wa miaka 12 Tanzania"

Sasa FDR ni nani!!?

Sasa hapa hii no speculative analysis sio kweli halisi;-

Baada ya Chato kuanguka ,unakumbuka "Mungu pamoja nasi (Emmanuel )alikua balozi wa Brazil,kipindi kile kulikua na tetsi kwambaalirudi nchini katika mtafutano was nani anakua makam wa Rais baada ya madam kushika hatam!ndio alaja kupewa Mpango! Na Sasa Emma ndio kawa makam inasemekana ndio labda FDR aliekua anaandaliwa coz fdr sifa zake ni calm, intelligent,truthful, visionary etc na Emma anaonekana kuwa na sifa hizo!!Sasa hatujui kama ni yeye au sio yeye!!

Baada ya operation kusitishwa baadae waliandika IPO on na original plan in and out yaani plan ya kumuingiza FDR !na Sasa yaonekana tayari doa la October 29 linaweza kumfanya FDR ashike au ajiuzulu namba moja ashike namba mbili halafu ajuzulu Tena namba moja mpya alieshika halafu yule mamba mbili ashike tena!!

Hiyo no speculative na wishful thinking yetu kuhusiambo haya!!

Ngoka tuone FDR ataingiaje Kwa strong hold!

KAZI na utu ,tusonge mbele!
 
Back
Top Bottom