NGUVU NDOGO NI IPI
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 897
- 1,027
Kuna watu Wana Kela sana mtu anakuja na mada za kisengePunguza matusi. Unamdhalilisha mama yako kwa malezi alokupa
Kuna watu Wana Kela sana mtu anakuja na mada za kisengePunguza matusi. Unamdhalilisha mama yako kwa malezi alokupa
kuna jambo moja sioni ukilitaja.Upuuzi mtupu. Tungekuwa na free and fair elections hakuna hata mtu mmoja angekufa. Kudharau na kupuuza maoni ya wapiga kura, kuteka na kuua wapinzani na kukandamiza uhuru wa kuabudu ndiyo chanzo cha yakiyotokea tarehe 29.10.2025. Kuhamisha lawana kwa mataifa ya kigeni ni ulaghai tu wa watawala wenye akili mgando.
Damu za watu sio majiMatukio ya Oktoba 29 yalikuwa jaribio la makusudi, lililopangwa kwa umakini na kufadhiliwa kikamilifu kutoka nje, lenye lengo la kuhujumu uthabiti wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpango huu uliendeshwa na nguvu za kigeni zikitumia ardhi ya Kenya, kwa nia ya kudhoofisha ajenda ya maendeleo ya taifa, kupunguza mamlaka ya dola, na kuvuruga mshikamano wa kijamii.
Rasilimali kubwa za kifedha, mipango ya kina, na mitandao iliyoratibiwa zilitumika kusukuma ajenda hii ya uhasama.
Cha kusikitisha, wachache miongoni mwa watu wa ndani ya nchi—waliotawaliwa na tamaa, majivuno, na maslahi binafsi—walichagua kuisaliti nchi yao kwa kushirikiana na maslahi ya kigeni. Kwa kufanya hivyo, walitenda moja kwa moja dhidi ya mamlaka ya Tanzania na heshima ya wananchi wake.
Oktoba 29 lazima iwe onyo la kitaifa. Katika wakati ambapo mbinu kama hizi za kuyumbisha mataifa zinatumika katika sehemu mbalimbali duniani, ni wajibu wetu kubaki wamoja, makini, na wazalendo wa dhati. Nguvu yetu iko katika umoja wa kitaifa na uaminifu usiotetereka kwa nchi yetu. Tunawajibika kwetu sisi na kwa watoto wetu kulinda uthabiti, uhuru, na mustakabali wa Tanzania bila kufanya maridhiano.
Ahaaaa ahaaaaa ahaaaaa hapa ndo nilipowaona watanzania ni manyumbu haswa na wamejifunza kweli kweli, nilikuwa namchukia kiboko ya wachawi anatuitaga watanzania nzige wa kuliwa , na KWELI WATU WALIMUAMINI MANGE KULIKO AMIRI JESHI MKUU, ingekuwa enzi ya magu mpaka leo watu wangekuwa wanaliwa pole pole waliohusika sema huyu mama ana huruma sana, EDORGAN wa utuuki walimjaribu 2017 alikula vichwa vya wanajeshi elfu 8000 na raia elfu 32000 shenzi kabisakuna jambo moja sioni ukilitaja.
watu(waandamanaji) kulaghaiwa , kwamba mipango yote ipo tayari kinachosubiriwa ni wao tu kutoka na mapema asubuhi biashara inakua imeisha, --- jambo hili halikutimia na sjaona ufafanuzi wake kutoka kwa wanaharakati au hata mtu mmoja mmoja alokua ni supporter wa maandamano
kama kuna msiba mkubwa uliodhihirika ni tafakari sahihi ya sisi wananchi, kila mtu alikua na "za ndani" we sahivi unaona za ndani popote pale? nini kimetokea?Ahaaaa ahaaaaa ahaaaaa hapa ndo nilipowaona watanzania ni manyumbu haswa na wamejifunza kweli kweli, nilikuwa namchukia kiboko ya wachawi anatuitaga watanzania nzige wa kuliwa , na KWELI WATU WALIMUAMINI MANGE KULIKO AMIRI JESHI MKUU, ingekuwa enzi ya magu mpaka leo watu wangekuwa wanaliwa pole pole waliohusika sema huyu mama ana huruma sana, EDORGAN wa utuuki walimjaribu 2017 alikula vichwa vya wanajeshi elfu 8000 na raia elfu 32000 shenzi kabisa
Mkuu damu za watu zinamwagwa duniani kila siku kwa sababu mbalimbali.Ndgu umemwaga damu isiyo na hatia subiri majibu.elewa unapambana na nature (nguvu ya asili ambyo inamilikiwa na MUNGU na yy ndye hakimu wa haki)
Wanaharakati wanamsema Rais SSH kwamba kaua watu huwezi kuwasikia wakimsema Mange au Maria kwa sababu hao wawili walikuwa walipaji wakubwa wa ujinga wote uliofanyika, hauwezi kuwasoma wanaharakati wakiisema dhambi ya bosi wao anayewawakilisha kwenye suala la kuvuna pesa kwa wazungu.kama kuna msiba mkubwa uliodhihirika ni tafakari sahihi ya sisi wananchi, kila mtu alikua na "za ndani" we sahivi unaona za ndani popote pale? nini kimetokea?
unaingia mtandaoni mfano dec 9 au dec 25 unakutana na sarungi anaclip hazieeleweki hata ni nini na zingine yeye mwenyewe alipost tarehe za nyuma huko na anazipost upya anakwambia hapa ni mahali fulani (loation tofauti na ya mwanzo) wameshaanza hivyo unganeni nao --- hizi ni harakati za kuingizana mkenge na hazina afya
wahusika na supporters wajitafakari
Ile audio iliyonaswa wanasikika jamaa waliopo Kenya wakiwaambia waingie barabarani tarehe 9 Desemba kwamba yale ni maandamano yasiyo na ukomo, huyu jamaa wa nchini anasikika akisema huko barabarani kuna ulinzi mkali hakuna mtu anayeweza kutoka nje!.kuna jambo moja sioni ukilitaja.
watu(waandamanaji) kulaghaiwa , kwamba mipango yote ipo tayari kinachosubiriwa ni wao tu kutoka na mapema asubuhi biashara inakua imeisha, --- jambo hili halikutimia na sjaona ufafanuzi wake kutoka kwa wanaharakati au hata mtu mmoja mmoja alokua ni supporter wa maandamano
wasaidie tu kuwa Israel anaua mpaka machozi yanatoka na ndo kwanza anabarikiwa zaidi, China kanyonga sana miaka ya 80 sasahivi adabu teleMkuu damu za watu zinamwagwa duniani kila siku kwa sababu mbalimbali.
Huko USA katika taifa la watu milioni 341 wanakufa kila siku watu 1500 kwa kesi za mauaji dhidi ya ubinadamu (crime against humanity) aina ya mauaji yaliyotokea nchini mwetu October 29. Nani umemuona katika viongozi wa taifa hilo akisumbuliwa na hizo damu za watu wasio na hatia?.
Hitler aliuwa watu milioni 10 wayahudi yaani damu isiyo na hatia ya watu milioni 10 ilimwagika wakati na kabla ya vita kuu ya pili ya dunia. Tanzania yetu inaweza kuifikia Ujerumani kimaendeleo?.
Mnachosahau ni ukweli kwamba kila mtu anayo haki ya kumlilia Mungu. Huyo SSH mnayemuita muuaji kila siku anafunga na kumwomba Mungu.
Tujifunze kuheshimu sheria, uhuru wa kuongea na kusikilizwa una mipaka yake.
aiseee kuna jamaa anaitwa EZRA na kakachungura wa kenya sijui wanalipwa sh ngapi kila siku post nne mpaka tano za story za tanzania tu na kutuchochea na nyumbu wachche wanatka kuaminiIle audio iliyonaswa wanasikika jamaa waliopo Kenya wakiwaambia waingie barabarani tarehe 9 Desemba kwamba yale ni maandamano yasiyo na ukomo, huyu jamaa wa nchini anasikika akisema huko barabarani kuna ulinzi mkali hakuna mtu anayeweza kutoka nje!.
Yaani yule mpuuzi wa Kenya akiwa kwenye chumba na laptop yake anataka kumponza huyu wa Tanzania aingie mtaani akauliwe na maaskari ili video ziweze kurushwa huko Al Jazeera na CNN kuichafua nchi hii!.
Ikitokea huyu wa TZ akaingia mtaani akapigwa risasi lawama anapewa SSH huwezi kumsikia yule mpuuzi wa Kenya akitumiwa lawama na media yoyote ya kimataifa.
Wametumwa damu hawa washenzi hawawezi kujali kwamba uhai ukiondoka haurudishwi tena.
Wajinga sana hawa madogo, kuna mtu kawaambia damu huwa inalia huko kaburini.wasaidie tu kuwa Israel anaua mpaka machozi yanatoka na ndo kwanza anabarikiwa zaidi, China kanyonga sana miaka ya 80 sasahivi adabu tele
Aiseee kile kimama kitapeli sana eti anashawishi watu tuingieni mtaaani tukiwashe kwa wingi , wakati wao hawatoki hata kumzika baba yake tu hakuja ila anakuambia toka kakiwashe, vile vimalaya vishenzi kabisa nahamu nisikie siku ameshikwa aiseeee ntaomba kazi ya kumshughulikia walahi mwaka mzima nimle nyama kidogo kidogo mpaka aishekama kuna msiba mkubwa uliodhihirika ni tafakari sahihi ya sisi wananchi, kila mtu alikua na "za ndani" we sahivi unaona za ndani popote pale? nini kimetokea?
unaingia mtandaoni mfano dec 9 au dec 25 unakutana na sarungi anaclip hazieeleweki hata ni nini na zingine yeye mwenyewe alipost tarehe za nyuma huko na anazipost upya anakwambia hapa ni mahali fulani (loation tofauti na ya mwanzo) wameshaanza hivyo unganeni nao --- hizi ni harakati za kuingizana mkenge na hazina afya
wahusika na supporters wajitafakari
Ahaaa ahaaaa na karibi wafalme wote wakubwa waliua uua sana maadui ina maana mungu mwenyewe anajua kuweka discplineWajinga sana hawa madogo, kuna mtu kawaambia damu huwa inalia huko kaburini.
Hawawezi kuongea ukweli kwamba Mfalme Daudi mchana askari wake waliwachoma mikuki na kuwaua maaskari wa kigeni halafu usiku alikuwa akikaa chumbani na kuandika Zaburi tunayoisoma mpaka leo.
Rais anapoapa maana yake kiapo chake kinatambuliwa na Mungu pia.
Yaani uichome moto nchi nzima halafu uwekewe zulia jekundu upite juu kama mfalme!.Ahaaa ahaaaa na karibi wafalme wote wakubwa waliua uua sana maadui ina maana mungu mwenyewe anajua kuweka discpline
Matukio ya Oktoba 29 yalikuwa jaribio la makusudi, lililopangwa kwa umakini na kufadhiliwa kikamilifu kutoka nje, lenye lengo la kuhujumu uthabiti wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpango huu uliendeshwa na nguvu za kigeni zikitumia ardhi ya Kenya, kwa nia ya kudhoofisha ajenda ya maendeleo ya taifa, kupunguza mamlaka ya dola, na kuvuruga mshikamano wa kijamii.
Rasilimali kubwa za kifedha, mipango ya kina, na mitandao iliyoratibiwa zilitumika kusukuma ajenda hii ya uhasama.
Cha kusikitisha, wachache miongoni mwa watu wa ndani ya nchi—waliotawaliwa na tamaa, majivuno, na maslahi binafsi—walichagua kuisaliti nchi yao kwa kushirikiana na maslahi ya kigeni. Kwa kufanya hivyo, walitenda moja kwa moja dhidi ya mamlaka ya Tanzania na heshima ya wananchi wake.
Oktoba 29 lazima iwe onyo la kitaifa. Katika wakati ambapo mbinu kama hizi za kuyumbisha mataifa zinatumika katika sehemu mbalimbali duniani, ni wajibu wetu kubaki wamoja, makini, na wazalendo wa dhati. Nguvu yetu iko katika umoja wa kitaifa na uaminifu usiotetereka kwa nchi yetu. Tunawajibika kwetu sisi na kwa watoto wetu kulinda uthabiti, uhuru, na mustakabali wa Tanzania bila kufanya maridhiano.
Hakuna mtu aliyelaghaiwa bali watu wamechoka upuuzi wa serikali dhalimu ya CCM kutumia mamia ya mabilioni ya kodi zetu kufanya chaguzi za kiini macho.Uchaguzi ungekuwa huru na haki hakuna hata mtu mmoja angekufa.kuna jambo moja sioni ukilitaja.
watu(waandamanaji) kulaghaiwa , kwamba mipango yote ipo tayari kinachosubiriwa ni wao tu kutoka na mapema asubuhi biashara inakua imeisha, --- jambo hili halikutimia na sjaona ufafanuzi wake kutoka kwa wanaharakati au hata mtu mmoja mmoja alokua ni supporter wa maandamano
ukimya wa D9 ni kielelezo kwamba hapo awali kuna taarifa hazikua sahihi, kuhusu kuchokwa kwa ccm hilo wala halina mjadala maana lipo wazi, kilichowaingia watu road na kufanyika kilichokua kinafanyika ulaghai ndo uliongoza msukumoHakuna mtu aliyelaghaiwa bali watu wamechoka upuuzi wa serikali dhalimu ya CCM kutumia mamia ya mabilioni ya kodi zetu kufanya chaguzi za kiini macho.Uchaguzi ungekuwa huru na haki hakuna hata mtu mmoja angekufa.