jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,368
Nimeishia hapo watoto wa darasa la sita wametongozana kesho yake binti kaja geto akiwa amejaindaa na wakapiga mechi. Au ilikuwa UPE?
Mkuu nilishukua Zaidi mpaka ajali inatokea, ni Zaidi ya gazeti la Mzalendo, niliishia hapo, waliomalizia wanaweza ku summarise.
Baada ya ile ajali wakafa, kufufuka wakajikuta wapo mtaa wa UFIPA wakisubiri kupewa majukumu...Kumbe kuna ajali ilitokea? Hawa watoto maisha yao yalikimbia sana. Ngoja tusubiri summary mkuu
Baada ya ile ajali wakafa, kufufuka wakajikuta wapo mtaa wa UFIPA wakisubiri kupewa majukumu...
Wewe kabila gani ? Msumbwa au mha wa poriniWasukuma hao
Darasa la sita na pombe unakunywa?
Hahaaaaahaaaaa nasikia eti anaonekana kwa jamaa zake,labda ndiyo Gambosh.Ben saa8 labda kapelekwa gambosh,ili chama cha demokrasia na upendeleo kishinde kwa kishindo 2020
Ungeendelea mbele akawa demu wake akaja kufa baadaye akawa anapata mawazo siku hiyo akaaamua KUAGIZA POMBE aondoe mawazoNimeishia hapo watoto wa darasa la sita wametongozana kesho yake binti kaja geto akiwa amejaindaa na wakapiga mechi. Au ilikuwa UPE?
Std6 baada ya ajali akajikuta yuko hospitali basi akamuuliza nesi huko wapi Sheila na nesi machozi yakimlengalenga akajibu Sheila alikufa palepale.....Au promo kwanza
Kumbe kuna ajali ilitokea? Hawa watoto maisha yao yalikimbia sana. Ngoja tusubiri summary mkuu