Simulizi ya kipelelezi: Idaiwe maiti yangu

Habarini za asubuhi!!!!!!!

Wale ambao mnasomea Fasihinet kwa coin baadhi ya simulizi zetu ni hizo hapo.

Kasome haraka simulizi ambazo haujazisoma kwa utulivu upate burudani ya kutosha huko. Link 👇

Attachments

  • Screenshot_20250402-084352.png
    Screenshot_20250402-084352.png
    215.2 KB · Views: 41
  • Screenshot_20250402-084331.png
    Screenshot_20250402-084331.png
    184.4 KB · Views: 33
Habarini za asubuhi!!!!!!!

Wale ambao mnasomea Fasihinet kwa coin baadhi ya simulizi zetu ni hizo hapo.

Kasome haraka simulizi ambazo haujazisoma kwa utulivu upate burudani ya kutosha huko. Link 👇

mkuu nieleze kuhusu hiyo coin ndio kitu gani kama ni hela ni sawa na shilingi ngapi na unalipaje ni kwa M pesa na tigo pesa au.? au hizo coin ndio sarafu za digital kina cryptocurrency ama.?
 
Coin ni mfumo wa malipo ambao unatumiwa na Fasihinet.

Coin ni sarafu ambayo unaitumia kununulia (kusomea simulizi).

Coin Moja ni sawa na tsh 100.

Sasa ukibonyeza link ya Fasihinet, unregister jina lako na kuweka password unakuwa na account tayari.

Baada ya hapo unaenda kwenye dashboard yako.... Hapo kuna sehemu imeandikwa pata sarafu unaingia hapo na unakutana na thamani ya coin kama picha zinavyo onyesha hapo chini 👇

Hapo wewe ili uweze kununua maana yake unatakiwa kuwa na pesa kwenye laini yako ya mtandao wowote ule ambao unautumia.

Ukibonyeza hapo itakuelekeza yenyewe namna ya kumaliza mpaka sehemu ya kuverify pesa yako kuwa kwenye mfumo wa coin.

Ukifanikisha hilo basi unaweza kuanza kusoma simulizi ambapo episode Moja ni coin 1.

Ukiwa na coin unaweza kwenda kwenye simulizi husika na unapofungua episode yenyewe itapunguza coin kwenye hifadhi yako unaendelea kusoma.

Ukifeli mahali unaweza ukauliza hapa hapa au ukanicheki kwa namba yangu.
 
Attachments

  • Screenshot_20250402-100941.png
    Screenshot_20250402-100941.png
    435.3 KB · Views: 34
  • Screenshot_20250402-100952.png
    Screenshot_20250402-100952.png
    239.3 KB · Views: 35
Coin ni mfumo wa malipo ambao unatumiwa na Fasihinet.

Coin ni sarafu ambayo unaitumia kununulia (kusomea simulizi).

Coin Moja ni sawa na tsh 100.

Sasa ukibonyeza link ya Fasihinet, unregister jina lako na kuweka password unakuwa na account tayari.

Baada ya hapo unaenda kwenye dashboard yako.... Hapo kuna sehemu imeandikwa pata sarafu unaingia hapo na unakutana na thamani ya coin kama picha zinavyo onyesha hapo chini 👇

Hapo wewe ili uweze kununua maana yake unatakiwa kuwa na pesa kwenye laini yako ya mtandao wowote ule ambao unautumia.

Ukibonyeza hapo itakuelekeza yenyewe namna ya kumaliza mpaka sehemu ya kuverify pesa yako kuwa kwenye mfumo wa coin.

Ukifanikisha hilo basi unaweza kuanza kusoma simulizi ambapo episode Moja ni coin 1.

Ukiwa na coin unaweza kwenda kwenye simulizi husika na unapofungua episode yenyewe itapunguza coin kwenye hifadhi yako unaendelea kusoma.

Ukifeli mahali unaweza ukauliza hapa hapa au ukanicheki kwa namba yangu.
Hiyo fasihinet yenyewe naipataje iko play store au? FEBIANI BABUYA
 
Mods naombeni mnibadilishie title ya huu uzi iitwe SAFARI YA GAVIN LUCA.
 
kwanini tena mkuu wakati inaelekea mwisho au unataka kuunganisha mwendelezo wake.? kama ni hivyo si bora uanze uzi mpya kama ulivyofanya hii season two baada ya kumaliza ile seasion one iliitwaje sijui ilee.!
 
Hii haielekei mwisho Bali IDAIWE MAITI YANGU Imefika mwisho labda kama haujaisoma yote.

Ambayo nataka kuendelea nayo ndiyo SEASON 2 hivyo hii sio season 1 ya simulizi yoyote ile labda kama umechanganya simulizi.
 
Hii ndiyo season 2 ya IDAIWE MAITI YANGU.

Hii ndiyo ambayo ina majibu ya maswali yote ambayo umebakiwa nayo na hatima yake yote.

Simulizi hii itakuja hapa lakini kule Fasihinet nimeiweka yote tayari hivyo kwa wale ambao mnasoma kwa coin kazi kwenu. Link hii hapa 👇

Mzigo una episodes 120 za moto 🔥

Kwa wale wanao hitaji kusomea WhatsApp kwa Softcopy, namba yangu 👇

+255621567672
 
Attachments

  • Screenshot_20250406-193940.png
    Screenshot_20250406-193940.png
    317.2 KB · Views: 34

Similar Discussions

Back
Top Bottom