Simulizi ya kipelelezi: Idaiwe maiti yangu

Simulizi ya kipelelezi: Idaiwe maiti yangu

MIAKA 15 NYUMA YA UKUTA WA GEREZA!!!!!

Alan, anatokea kwenye umaskini ulipo pitiliza, dunia inamfunza kuwa mshenzi ili aweze kuishi ndipo anaingia kwenye ulingo wa MAUAJI ili aweze kupata mkate wake.... Huko anaanza kuua watu kwa miaka mitano ambapo anafanikiwa kutengeneza pesa za kitanzania Bilioni 5....

Baadae unagundulika ulingo huo ulikuwa kinyume cha utaratibu hivyo wahusika wote wanakamatwa na kuporwa kila kitu yeye anafanikiwa kuachwa hai ila akiwa maskini kama zamani....

Baadae anapata kazi ya kwenda kumuokoa mtoto wa tajiri mmoja ndani ya jiji la ABUJA, NIGERIA ambaye alitekwa na magaidi kwa malipo ya shilingi bilioni 10 za kitanzania lakini kazi hiyo inaishia pabaya baada ya binti huyo kuuawa na yeye mwenyewe kudungwa sindano yenye sumu kali sana....

Alan anapotea namna hiyo lakini miezi miwili baadae anakuja kuonekana mtu ambaye anafanana naye kwenye kamera za shirika la kijasusi la Tanzania yaani (TIA) TANZANIA INTELLIGENCE AGENCY ndani ya jiji la Dar es salaam jambo ambalo linawashangaza kwa sababu walijua alikufa na walikuwa na uhakika na hilo ......

Wakiwa wanajiuliza na kuanza kufuatilia mkasa huo ndipo Tanzania inavamiwa na magaidi kwa ajili ya kesi ile ile baada ya miaka mitano kwa madai ya kwamba walihisi bwana huyo bado alikuwa hai tena aliwaibia kiasi cha shilingi bilioni 20 za kitanzania.

Nchi inaingia sehemu mbaya huku wakimtafuta bwana huyo bila mafanikio kwa miaka 15.....

Wanapata uvumi wa kwamba bwana huyo alipotea kwenye mazingira ya ajabu bila kuacha taarifa nyuma ila kwa taarifa za kudhania zilidai kwamba mwanaume huyo alienda kujificha kwenye GEREZA Moja la Siri ambako aliishi kwa miaka 15 ....

Sasa ni kipi kilimpeleka huko? Ni kweli kwamba alikuwa ni yeye hakufa kule Nigeria? Kama sio yeye ni nani alikuwa anatumia sura yake? Kwanini apotee miaka 15 tena kwenda gerezani?

KAMA ULIKUWA UNATAMANI KUKUTANA NA SIMULIZI YA KIJASUSI YENYE WATU WENYE NGUVU ZA AJABU (SUPERNATURAL POWERS) Upo sehemu sahihi..... Karibu sana.

Hii ni simulizi ambayo ina mapigano, upelelezi wa hatari, mapenzi, siasa, supernatural powers ( nguvu za ajabu) na story ambayo imeshiba haswa...... FANTASY

Unaweza ukaipata kwa shilingi 5000 tu za kitanzania kwa namba hizi hapa chini 👇

0621567672 (HALOPESA).... WhatsApp

0745982347 (M-PESA)

0714581046 (TIGO-PESA)

0689440143 (AIRTEL MONEY)

36316279 (LIPA NAMBA (M-PESA) inapokea mitandao yote)

FEBIANI BABUYA
 

Attachments

  • Miaka 15.jpg
    Miaka 15.jpg
    379.1 KB · Views: 27
ila mwanangu simulizi zako, kama kweli aisee!! Nimejifunza vitu vingi saana!! Kweny siasa kupitia shule hii ya simuliz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom