Simulizi ya beyond pain

Wayne ni bwege . Nimejikuta namuhurumia Emmy dk za mwisho japo nilimchukia sana mwanzo
 
Asante kawawa kwa kutuletea story nzr ila mwandishi kaonyesha mapungufu yafuatayo

1) Mwandishi hakutuonyesha pesa za kifisadi zilizofisadiwa na wayne zilirudishwaje kwenye jamii

2) Mwandishi kaonyesha kuzipa nguvu kubwa nguvu za giza kwa kitendo kile emmy kugeuka nyoka nilitegemea baada ya padri kufika tungeona nguvu ya kimungu ikishinda nguvu za giza
Sasa angepona na padri isingeisha angeanza timbwili
 
IMG_9645.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom