Mani Fabian
JF-Expert Member
- May 11, 2025
- 512
- 381
subira inatakiwa. ukienda kwa pupa utaumbuka hata kama unaukweliIla soraya nae sijuwi yupo! baada ya kugundua talib anakula mneli pale pale ilibidi aseme, ila yeye akakaa tu anaifuga tabia mbaya! mpaka imekua, matokeo ndo haya tunayoyaona shetani na ibilisi wameungana.