Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,839
Jamani kwani si tumesharudi toka kanisani? Abou Shaymaa lete mtori
😋😋😋enheee hapo sawa,huku utakula kanga pori na samaki wa kubanikwa
Mimi ni nani nibaki timu talib, kuanzia leo nitakuwa mwenyekiti wa barazaMwenyekiti umeshasema mm nan nikatae
🤣🤣🤣🤣hanipati...mgambo wameahidi kunilindasawa binti yangu, jilinde sana na Mani Fabian asije akakupa juisi ya babu
Hahahahhaha uko utakutana na muhadhi na mwanae iddiMimi ni nani nibaki timu talib, kuanzia leo nitakuwa mwenyekiti wa baraza
hao wataadhibiwa kulingana sheria ya dini yetuHahahahhaha uko utakutana na muhadhi na mwanae iddi
Mahadhi tunamuweka ndani gari lake limetumika kwenye wiziMimi ni nani nibaki timu talib, kuanzia leo nitakuwa mwenyekiti wa baraza
wizi hauhusiani na dini, kikao cha leo kitakuwa kitamu, kama hakijaahirishwa wazee waanze kwenda kumbembeleza Mahamud ili amsamehe mzee mwenzao na hoja ya dini inakufa hapohao wataadhibiwa kulingana sheria ya dini yetu
Bado Ngoma ni ngumu, Mwenyekiti ni kama kaikomalia ishu ya Kafiri.wizi hauhusiani na dini, kikao cha leo kitakuwa kitamu, kama hakijaahirishwa wazee waanze kwenda kumbembeleza Mahamud ili amsamehe mzee mwenzao na hoja ya dini inakufa hapo
kwenye kikao komando njogopa asikosewizi hauhusiani na dini, kikao cha leo kitakuwa kitamu, kama hakijaahirishwa wazee waanze kwenda kumbembeleza Mahamud ili amsamehe mzee mwenzao na hoja ya dini inakufa hapo
Hii mpaka Higgno asilim na jina aitwe abudulkarimBado Ngoma ni ngumu, Mwenyekiti ni kama kaikomalia ishu ya Kafiri.
Mwenyekiti atakutana na kesi ya Mahadhi na mwanae kwenda kuvamia nyumbani kwa Mahamud, kumbuka kuna hoja ya ujumbe wa kumchafua mahadhi haujafanyiwa ufumbuziBado Ngoma ni ngumu, Mwenyekiti ni kama kaikomalia ishu ya Kafiri.
tunabeba mtoto hivyo hivyo na tutaenda kumlisha mbuzi katoliki wa poriniHii mpaka Higgno asilim na jina aitwe abudulkarim
😂🤣😂🤣Hii mpaka Higgno asilim na jina aitwe abudulkarim
na ailete mapema kabla ya saa kumiLeo kuna bonansi ya Simba ?
Shida hawa jamaa wanakua na misimamo sana,Mwenyekiti atakutana na kesi ya Mahadhi na mwanae kwenda kuvamia nyumbani kwa Mahamud, kumbuka kuna hoja ya ujumbe wa kumchafua mahadhi haujafanyiwa ufumbuzi
Hahaha komando kutelezaakwenye kikao komando njogopa asikose
Kije kwanza cha asubuhiLeo kuna bonansi ya Simba ?
msimamo utalegezwa wakiona mwenzao anapanda kalandinga ya shemeji polisiShida hawa jamaa wanakua na misimamo sana,