Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 852
- 2,348
Jana mwamba katisha saana sema alizitupia usiku hatari nadhani Abou Shaymaa atakuwa ni mdau wa uzi wa jf usiku wa manane
Tutakushitua mkuuNaomba niwaache
Alizingua ni JJ kukosa bikra ya veronikaMwisho alizingua mnooo.
UtaikutaNaomba niwaache
Dah! niliipata usiku wa manane muda wa kikao cha wachawi kule gamboshiJana mwamba katisha saana sema alizitupia usiku hatari nadhani Abou Shaymaa atakuwa ni mdau wa uzi wa jf usiku wa manane
Sema huyu mwandishi wetu ana vinasaba na "BIKRA" story zake nyingi Huwa zana kitu.Alizingua ni JJ kukosa bikra ya veronika
Ya Jana huenda yakawa ya Leo.Dah! niliipata usiku wa manane muda wa kikao cha wachawi kule gamboshi
We nenda tu, team mabudi hatuna cha mwenyekiti wala hatuitwi baraza la wazee tunajiongoza wenyewe tu.Naomba niwaache
hakika, kuna nyingine inaitwa. MWALIMU NAYE ANATAKA. kuna bikra muleSema huyu mwandishi wetu ana vinasaba na "BIKRA" story zake nyingi Huwa zana kitu.
Na yashakuwaYa Jana huenda yakawa ya Leo.
Ni mwendo wa bikra2, ila Ile ya Asali haitiwi kidole, bikra zilikuwa za mchongohakika, kuna nyingine inaitwa. MWALIMU NAYE ANATAKA. kuna bikra mule
Ngoja nitoke kwanza, ntarudi mida nione kama kutakuwa na jipya.Na yashakuwa
sawa mimi nikuwepo nikilindaNgoja nitoke kwanza, ntarudi mida nione kama kutakuwa na jipya.
Nisiye na wakuniambia usiku mwema hata hii inatosha, asanteUsiku mwema
Kama unasinzia nakutakia usiku mwema.Dah nasinzia