mhanuzi wangu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 290
- 254
Sangoro yule fala sana.Hahahahah nimekumbuka iv ww c ndo ulikua timu songoro kwenye ile nyuma ya mlango wa adui😂😂😂
Sangoro yule fala sana.Hahahahah nimekumbuka iv ww c ndo ulikua timu songoro kwenye ile nyuma ya mlango wa adui😂😂😂
Jamaa ni kama alikuwa na mipango mizuri ila kilichotukuta 😂🤣😂😂🤣😂😂😂ndo uyo uyo
Songoro hana tofauti na iddiSangoro yule fala sana.
Hili ni tembele la pembeni ya bafu, mda wote limelowa na halikinai maji machafu yaani linazidi kunawili.Hii tembele inahusu nini naona uzi unatembea tu..
Basi nasuburia wa bamia la kwenye fensi
Talib kaka,Songoro hana tofauti na iddi
Karibu uenjoy tembele la uwani lenyew ata maji ya sabuni tu linakubaliHii tembele inahusu nini naona uzi unatembea tu..
Basi nasuburia wa bamia la kwenye fensi
Talib hawezi kupanga mipango bila bangiTalib kaka,
Mjulishe kuwa, tembele linamwagiliwa kwa Ulanzi.Karibu uenjoy tembele la uwani lenyew ata maji ya sabuni tu linakubali
Nawaonea huruma team Talib, hamtaamini kitakachowapata.Talib hawezi kupanga mipango bila bangi
Bado,Hivi badoo
Kah!Bado,
Hii kama kweli nalala zangu zaleo nitaunganisha kesho na cha asubihiataleta saa sita
Jamaa bado anaiandaaKah!
Huko kadumya alitishaAliyekula kibano kwa Deus
Mwisho alizingua mnooo.Huko kadumya alitisha
tusubili sasa huo mshindoKimya sana au ndio kimya kingi kina mshindo