Mani Fabian
JF-Expert Member
- May 11, 2025
- 512
- 381
Soraya muda mwingine haaminiki tenangoja ngumi ziwake mchapane wenyewe kwa wenyewe akina Vitusi na Zindo watakubali? kumbeki simu ya ushahidi iko kwa Soraya msijizime data mapema
Soraya muda mwingine haaminiki tenangoja ngumi ziwake mchapane wenyewe kwa wenyewe akina Vitusi na Zindo watakubali? kumbeki simu ya ushahidi iko kwa Soraya msijizime data mapema
Mwenyekiti leo umekua adimu sanaHabari za jioni wanakijiji cha Luhila
Nimesikitishwa sana na kitendo cha mama Hilda kwakweli ni kitendo cha aibu mno, lakin mzee njogopa ametuaibisha wanaume.
pongezi ziende kwa mzee Mabula ametuwakilisha vema
wenu mwenyekit
Haaminiki kwa nani? wakat amemwambia mama yake Twalibu anavuta na mama yake kashuhudia mwenye mawenge ni mama Soraya anaamin kila anachoambiwaSoraya muda mwingine haaminiki tena
alete to hiyo saa tano wengine tushamzoea sasaTena Abou Shaymaa kumbuka jana umetulaza na viatu, yaani unaleta mzigo saa sita usiku, fanya manuva mapema
Nilienda kumtafuta Abou Shaymaa kwenye mwenge sasa nikapita ile njia ya kichakani nikawa nakula video ya bure kati ya Mama Hild na mzee Njogopa, sema chaumbea amekatishaMwenyekiti leo umekua adimu sana
Ni anajua mpk anajua tena, kwa tembele ili acha atuteke tuDah tunazid kutekwa tu na mtunzi asee
😂😂😂😂mzee njogopa kimoja chaliNilienda kumtafuta Abou Shaymaa kwenye mwenge sasa nikapita ile njia ya kichakani nikawa nakula video ya bure kati ya Mama Hild na mzee Njogopa, sema chaumbea amekatisha
Ila mzee Njogopa kaniudhi sana
Ndio nikasema muda mwingine haaminiki tena kwa mama sora katalib kakija kuchanganya maneno kanaaminikaHaaminiki kwa nani? wakat amemwambia mama yake Twalibu anavuta na mama yake kashuhudia mwenye mawenge ni mama Soraya anaamin kila anachoambiwa
Na hatulali mpk tupate Tembele la uwani😂😂😂alete to hiyo saa tano wengine tushamzoea sasa
Msalimie mzee ngonyani, ikipendeza mlete hapa mitini pubNilienda kumtafuta Abou Shaymaa kwenye mwenge sasa nikapita ile njia ya kichakani nikawa nakula video ya bure kati ya Mama Hild na mzee Njogopa, sema chaumbea amekatisha
Ila mzee Njogopa kaniudhi sana
Na tujue hatima ya safari yetu ya kwenda kwa madibaNa hatulali mpk tupate Tembele la uwani
wamemuacha mzee komba peke yake hawa wazee hawafaiMsalimie mzee ngonyani, ikipendeza mlete hapa mitini pub
unadhani sisi timu talib tunajali sasa.wamemuacha mzee komba peke yake hawa wazee hawafai
😂🤣😂🤣🤣Jion kitakuwa kipande cha maan tufanye subira
Sisi saiz tunaweza kwenda sauzi kwa watt wakizulu😂😂unadhani sisi timu talib tunajali sasa.
Leo tunachukua hela kwa mjomba alf tunasepa zetuNa tujue hatima ya safari yetu ya kwenda kwa madiba
mnachojal michongo isiyochongokaunadhani sisi timu talib tunajali sasa.
Round hii mchongo lazima utikumnachojal michongo isiyochongoka
Mzee komba kayataka mwenyew na roho mbaya yakewamemuacha mzee komba peke yake hawa wazee hawafai
Huu mpango kubwa lao lazima utimiemnachojal michongo isiyochongoka