SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA HAMSINI NA TISA
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA HAMSINI NA NANE: Waliongea mawili matatu, wakati mwingine mama Soraya akiuliza maswali magumu, “hoo! Laylah, nilisahau kusema asante hivi huko kwenu wale kwale na samaki wanapatikana kwa wingi eeh?” aliuliza mama Soraya, swali ambalo Laylah hakuwa ameliandalia jibu, lakini bahati nzuri kabla hajajibu mara akaingia mzee Mahamud, akionekana mwenye mashaka usoni mwake, “vipi tena mume wangu kuna tatizo?” aliuliza mama Soraya kwa sauti ya mshangao na mashaka pia….. ENDELEA………
Huku Layla akiinuka kuwapisha wanandoa hawa waambizane mashaka yao, yeye akatoka zake kuelekea nje huku akishukuru kuepukana na maswali magumu ya mama Soraya, “mwenyekiti amenipigia simu wameniita kwenye baraza, inabidi niende kesho saa saba” alisema Mahamud kwa sauti iliyopooza na kugubikwa na mashaka na wasi wasi, ikiwa ni matokeao ya simu aliyopigiwa akiwa pale nje, tayari alisha sahau kuhusu tabia ya Talib kurudi usiku kwa kuvizia, “we nenda mume mwangu wala usiwe na wasi wasi, naimani ukijieleza watakuelewa tu!” alisema mama Soraya akimpa moyo wa matumani mume wake.*******
Mzee Komba akiwa na mke wake walifanikisha kuwakusanya marafiki kibao hasa wale wanao mchukia mzee Frank pasipo na sababu za msingi, ambao kati yao walikuwepo wamiliki wa vitindi vya ulanzi, ambao baada ya kupewa mchongo ule wakajitolea kutoa ulanzi wa bure ambao ungenywewa na wanachama wale, kisha kwenda kwa bwana Frank, hapo ya kaletwa madumu kwa madumu ya ulanzi na kuyaweka chini ya mwembe nyumbani kwa Komba, kisha kazi ikaanza watu wakinywa ulanzi huku wanaimba na kucheza ungesema ni shughuri fulani ya jando au unyago, kumbe ni shangwe za kuungua duka la bwana Frank, kila mmoja wao alikunywa huku akipanga maneno ya kumtolea bwana Frank pale atakapo jifanya mjuaji, huku muda wote wakiongelea swala hilo hilo, hata mtu aliepita njia angejuwa tu kuwa walevi wale walikuwa wanamzungumzia bwana Frank.*******
Ni masaa matatu toka saa saba mpaka hii saa kumi, Hilda alikuwa hoi kwa kitu alichokuwa anafanyiwa na babu Mabudi, licha ya yeye kufika kileleni zaidi ya mara sita na kubadili mitindo yote, aliyokuwa anaifahamu toka amezaliwa, na walisharudia mara kadhaa kufanya tendo hili la wanandoa, lakini hakuona dalili ya babu kuchoka, japo tayari kitumbua chake kilishaanza kuhisi maumivu, lakini kila alipo pumzika kidogo alitamani kupewa dudu, hivyo yeye mwenyewe aliomba warudi mchezon huku akiomba kwa babu, “babu nifanye pole pole, yaani inauma lakini bado tamu” alisema Hilda wakati wanarudia mchezo kwa mara ya tano.
Dakika kumi na tano baadae Hilda alizidi kuhisi maumivu kitumbuani na kuomba mapumziko mengine lakini babu hakumsikiliza akaendelea kufanya akiwa amemlaza kifo cha mende, na hata walipo maliza mzunguko huo na kupumzika kidogo Hilda akajikikuta anaropoka, “yaani natamani kuendelea lakini mwenzieo naumia” ilikuwa sauti ambayo ilionyesha wazi kuwa ni kweli Hilda alitamani kupewa dudu kwa mara nyingine, hapo Mabudi hakuona sababu ya kumkawiza mjuuwake, akampaka ile dawa ya wa mama wanao jifungua na kumweka tena kati, kisha mchezo ukaendelea safari hii Hilda akajiona mpya kabisa, “babu nitakuwa nakuja unifanye kama hivi” alisema Hilda wakati mpambano unaendelea hebu waache kwanza, tutawatembelea baadae.*******
Higgno na baba yake mdogo, baada ya kumsindikiza yule mwanamke ambae alitambulishwa kuwa ni mama mdogo, huku Higgno akiwa tayari amesha msimulia baba yake mdogo juu ya kuungua kwa dula la mzee Frank, waligeuka na kurudi upande waliotoka ambao ukiwa mahilo kijijini, tunaweza kuuita kuwa ni upande wa mjini, japo kuna kilomita kadhaa kufika vijiji vya pembezoni mwa mjini kama chem chem kwa chimgege, matogoro na kwa mkwawa,
Ukweli safari ilikuwa ya kimya kimya, wakati baba mdogo akiwaza umasikini unao mvizia kaka yake ambae hata akiwa na shida huwa anamkimbilia huku msaada kubwa ukiwa ni hilo duka lililo ungua, Higgno yeye hakuonekana kabisa kuwaza juu ya duka lililo ungua, zaidi aliwaza kuhusu kile alicho kishuhudia kwa baba yake mdogo na yule mwanamke wa mahilo kijijini, higgno aliwaza ni njia gani baba yake mdogo anatumia kuwa lainisha wanawake mpaka wanamfuata kiasi hiki, na mbaya zaidi walikuwa wana fahamu kuwa jamaa ni kiwembe.
Naam Higgno uzalendo ukamshinda, “hivi ba mdogo hee! kama demu unataka kumfanya lakini bila kumwambia una muanzaje anzaje?” aliuliza Higgno, baada ya kutembea mita kama hamsini hivi, “unamkaba halafu una muangusha chini kisha unambaka, si ndivyo unavyo maanisha?” aliongea baba mdogo Alex, pasipo hata chembe moja ya utani, “kubaka tena?” aliuliza Higgno kwa mshangao, “sas je utawezaje kumgonga demu ambae hujaongea nae, sikubaka tu!” alieleza baba mdogo, “sio hivyo, yaani mfano ni demu wako kabisa, lakini bado hujafanya nae chochote, halafu upo nae chumbani, sasa unataka kumgonga, unamshawishije?” alisahihisha Higgno, “kwanza kabisa Higgy , tambua mwanamke anapokuja chumbani kwako anatarajia kugongwa, hayo mengine ni basi tu!, pili demu kwa mara ya kwanza hawezi kukuonyesha wazi wazi kuwa yupo tayari kugongwa labda awe amelewa, hivyo chakufanya kwanza usiwe na papara mpaka akuone mshamba, we nenda nae taratibu lakini sasa lazima uwe mjanja, wakati mnaongea uwe unamshika baadhi ya sehemu ambazo unaona zina msisimua ili ajilegeze, hata kama alikuwa hataki kugongwa basi mwenyewe ataomba mchezo” alisema Alex, na Hapo Higgno akajuwa sasa anapewa darasa, “ni sehemu gani hizo ba mdogo?” aliuliza Higgno, kwa sauti iliyojaa shauku, huku ameyakumbatia matunda ya aina mbali mbali mkononi mwake, “kwani umepata mwanamke?, maana baba yako aliniambia hujawahi kuwa na demu” alisema baba mdogo, kwa sauti iliyojaa utani, “we niambie tu! achana na baba” alisema Hikggno na kutega sikio vizuri kusikiliza zaidi, “kwanza kabisa, sehemu yoyote ya mwanamke ikiguswa na mwanaume huwa inasisimka, sema inategemea unamgusa wakati gani na sehemu gani, maana kila sehemu ina ugusaji wake, pia inategemea mahali mulipo” aliongea Alex, ungesema yupo darasani, au ana kipindi redioni au kwenye TV, “hapo ba’mdogo, tuna zungumzia chumbani” alisema Higgno kwa shauku akitamani darasa liendelee, “kama upo chumbani basi hakikisha usijizibe na manguo mengi, wewe jiachie na kibukta au boxer tu!, halafu utaona yeye anafanya nini, kisha usikubali kukaa nae mbali” alisema ba’mdogo na kuendelea kutoa darasa mpaka walipoachana na Higgno kwenda kuchota maji kwaajili ya kupikia na kuoga, huku akifanya haraka ili kuendelea kubanika samaki waliobakia na nyama, moyoni akiombea mschana yule aje tena na leo maana darasa alilielewa vizuri.*******
Saa kumi na mbili za jioni, tayari Hilda alisha pinduliwa mara kadhaa, hata yale maji maji ya utelezi aliyopakwa yalisha kauka na maumivu yakaanza tena upya, ambayo aliyasikia vyema akiwa ameinama na kubinuwa makalio yake madogo, ”babu utaniuwa mwenzio kum**.. inawaka moto chomoa kwanza nipumzike” sasa Hilda alikuwa anapiga kelele za wazi kabisa zilizo ashiria kuwa alikuwa anasikia maumivu makali, “vumilia kidogo nimalizie mjukuu” alisema Babu Mabudi ambae alikuwa anadelea kupump huku ameshikilia kwa nguvu kiuno cha Hilda na kukivutia kwake kama vile anatwanga nje ndani, Hapo Hilda akatulia kidogo kusubiri babu amalize kama alivyosema.
Naam zikapita dakika tano nyingine za maumivu makali sasa hilda alihisi kama anaingiziwa chuma kigumu kwenye kitumbua chake, “babu mbona hukojoi jamani mwenzio naumia” alilalamika Hilda akijaribu kujitoa, lakini babu alikuwa amembana kwa nguvu kiuno chake na kufanya ashindwe kujitoa, “subiri kidogo zipo njiani nakojoa sasa hivi” alisema babu huku anaongeza speed ya kupiga nje ndani, ungesema anamaliza sasa hivi kama alisema lakini wapi, maana zilipita dakika tano pasipo dalili ya kumwaga mzigo, hapo Hilda akapata wazo na kupeleka mkono wake mmoja kwenye dudu ya babu, na kuichomoa kisha akaipandisha kwa juu, “basi babu hamia huku mbele kuna uma” alisema Hilda na wakati huo babu alikuwa kwenye mwendo wa kupump, na ile anapeleka mbele kitu kikaingia pande wa pili yaani kwenye makalio, huwezi amini Hilda hata akushtuka, dudu ilizama kama yote bila kusita sita kwamba ile njia ya pili ya tope ilikuwa mpya, niwazi mschana huyu alisha zowea kamchezo kale, babu akaendelea kupump akitumia tena dakika kama ishirini na tano, kiasi cha Hilda kuanza kusikia nako kukianza kuwaka moto, akatamani kujitoa lakini bahati ilikuwa upande wa Mabudi, maana kama alijuwa kinachofuata, kwasababu alikuwa amemkamata kwa nguvu eneo la kiuno tena kwa mikono miwili kiasi cha Hilda kushindwa kujipapatua, babu akaendelea kutwanga, “babu chomoa kwanza nataka kwenda kuny**..” alilalamika Hilda lakini babu alikuwa kama hajamsikia anachoongea kwasababu aliendelea kutwanga.
Naam zilipita tena dakika kumi, huku babu akiendelea kutwanga na Hilda hakuacha kulalamika kuwa anasikia maumivu, “babu utumbo unatoka” alisema Hilda sambamba na harufu mbaya ya hajakubwa ikisikika mule ndani, “babu unauwa mwenzio nimekoma sito kuja tena” alilalamika Hilda ambae sasa bahati ilikuwa upande wake, maana babu nae wakati huo huo akawakaribisha wazungu ambao walitoka kwa uchache sana, ni kutokana na kuwatoa mara kadhaa kwa siku ile tena kwa masaa matano, yaani babu leo umenikomesha, alisema Hilda ambae alikuwa anaisikilizia dudu ikitoka kwenye mpango wa jirani na kitumbua, ikifuatia na kitu kama tuwi zito la nazi, likichuruzika toka kwenye mlango huo na kushuka kwenye kitumbua, “tatizo wewe ni mtamu sana mjukuu wangu” alisema babu, ambae alimchukuwa Hilda na kumpeleka nyuma ya nyumba ile kujisafisha.
Sasa basi hapo ndipo Hilda alipotambua kuwa kwanini mama yake alishindwa kutembea siku ile alipokuja huku peke yake, maana kiukweli kila alipojaribu kupiga hatua alishindwa, chupi haikuvalika kabisa, ili mlazimu kutembea bila nguo hiyo ya ndani kuelekea nyumbani kwao Luhila, huku akitembea kwa kutanua miguu kama mama yake, “kumbe hata mama alifanywa hivi” aliwaza Hilda huku anaendelea kutembea, miguu ameitawanya kushoto na kulia na kagiza kausoni kakiendelea kutanda, “lakini tamu, sema anatumia muda mrefu” akijisemea Hilda ambae katika akili yake hakupanga kurudi tena kwa babu huyu.*******
Sinamengi tayari alikuwa amesha maliza muda wake wa kuhudumia pale kazini kwake, lakini hakuondoka mapema akaendelea kuwepo pale bar kuvizia mwanaume atakae jipendekeza pengine ange msaidia kupata fedha ili kesho aenda sehemu ambayo alipatiwa yale meno ya bandia, maana hakuwa na jinsi zaidi ya kutafuta meno mengine.
Sina alitulia pale kazini kwake yani kuchile bar, huku muda wote akimuwaza yule kijana ambae alimvunjia meno na kisha kuondoka bila kumpatia chochote, “mshenzi sana yule kaka, kuni fir**.. kote kule halafu naambulia kuvunjiwa meno yangu, ole wake nikimuona hakika atatoa fedha yangu ya meno” aliendelea kukamia Sinamengi, huku akiendelea kuangaza macho yake pengine angemuona hata mteja mmoja alielewea sana
ili akajipendekeze, maana ukweli ni kwamba wateja wake walikuwa ni wale waliolewa kiasi cha kupoteza network, kwasababu wenye akili zao walikuwa wanamkataa kutokana na muonekano wake,ukweli mpaka saa mbili za usiku Sina hakuona dalili za kuopoa kijibuzi cha kukichuna, na ukweli alihitaji kiasi cha elfu tano kama kianzio cha hospital.
Mwisho akajikatia tamaa na kuondoka zake huku mkononi akiwa na shilingi elfu moja na mia tano, ambayo aliibana bana kwenye chenji za wateja, “kesho nitaenda hivyo hivyo, nitawaomba wanisaidie au wanikopeshe, we unadhani nitaishi hivi mpaka lini” alijiwazia Sinamengi huku anaondoka zake kuelekea nyumbani, hakuacha kumlaumu na kumuwazia vibaya kijana Idd kwa kile alichomfanyia.*******
Naam saa mbili baada ya kumaliza kuswali, familia ya mzee Mahamud ilikusanyika mezani tayari kwa kupata chakula cha jioni kasoro Talib, ambae hakushiriki hata ile swala ya inshaa pale alikuwepo Mahamuda mwenyewe, mke wake mama Soraya, pia alikuwepo Soraya mwenyewe na dereva wake Laylah, ambae kwa sasa ni kama rafiki wa Soraya japo alikuwa anafanyakazi pale kwa Mahamud na kulipwa mshahara kama wafanya kazi wengine yaani wakina Subira ambao hawakushiriki meza moja na familia hii, “Soraya kumbuka kesho tuna malizia kazi ya kuwafanyia majaribio wale waajiliwa wapya, hivyo usichelewe kurudi kama ulivyo fanya leo” alisema mzee Mahamud, ambae toka mchana alionekana kuwa mwenye mawazo kidogo, huku akishindwa kumtazama binti yake usoni, “nitawahi baba, saa mbili nitakuwa natoka hapa nyumbani kuelekea ofisini au utatusubiri?” aliuliza Soraya, “hapana nitawahi kidogo kuweka mambo safi, tena ukiweza uwahi kufika kabla ya saa mbili maana saa mbili tuanze maana saa saba ninatakiwa baraza la wazee” alisema Mahamud huku akionekana busy ameinamia sahani yake, “hivi vipi jamani kuhusu yule kijana aliekusaidiaga kipindi kile mulimpata?” aliuliza mama Soraya, wakati huo huo Talib aliingia pale sebuleni akionekana wazi alikuwa ametoka kulala, “assalaam alaykum” alisalimia Talib huku anakaa, kwenye meza ya chakula akijiunga na familia ile iliyokaaa mezani, “waalaykum salaam” salam hii iliitikiwa na Soraya pamoja na Laylah, lakini maam na baba Soraya wao walimtazama kwa mshangao kijana huyu, ambe wameishi nae kwa miaka mingi sana, “kumbe ulikuwa kwako, mbona hukuja kuswali Insha?” aliuliza shangazi yake Talib, yaani mke wa Mahamud, ambae ndie mama Soraya, “nilipitiwa na usingizi” alisema Talib, huku anaanza kujisevia chakula ambacho kiukweli sisi wengine tungekionja siku za sikukuu au kama vile send off au harusi, maana ni mazaga zaga, na mapocho pocho, hapo kikapita kimya kirefu watu wakiendelea kula.
Naam baada ya kimya cha dakika tano, baba Soraya ndie alie vunja ukimya kwa mara nyingine, “eti Soraya hujaniambia imekuwaje huko ulikoenda imekuwaje au wamegunduwa chanzo cha moto ni nini?” aliuliza mzee Mahamud, huku wakiendelea kula, hapo Soraya alisimulia kama alivyo elezwa na mzee Frank, huku Talib akishtuka kimoyo moyo kila hatua ya simulizi ya Soraya, maana aliona kama vile ina muhusu, “kwa hiyo anahisi huyo kijana alirudi usiku kuchoma duka lake?” aliuliza mzee Mahamud mwishoni mwa simulizi ya Soraya, “ndiyo tena amesema ni mkorofi sana, alichukuwa sigara bila kulipa, pia akamtolea vitisho, lakini nimesha muambia aende kituo cha polisi” alisema Soraya na hapo Mahamud akatabasamu kidogo, “hapo umemshauri vyema kabisa, sasa umemsaidiaje huyo mzee?” aliuliza Mahamud, akiendelea kula, huku Talib akiteseka kwa chuki na wasi wasi wa baadhi ya maneno ya Soraya kuwa amemshauri mzee yule aende polisi kutoa taarifa, “nime muahidi kumpatia kiasi kidogo cha fedha ili arudishe duka lake” alisema Soraya, ambae alikuwa anamaliza kula na kuanza kunawa, “una mshauri aende huko polisi, kwani unajua huyo kijana alimkosea nini mpaka akafanya hivyo?” aliuliza Talib kwa sauti ya kukosoa, “ataeleza mwenyewe akisha kamatwa” alisema Soraya ikiwa ni jibu la mkato, jibu lililo mkera Talib, ambae alijuwa fika kuwa ni yeye ndie atakae juwa siku akikamatwa na polisi, “Soraya we hujui mambo ya mtaani, we ingilia ili wakuteke tena?” alisema Talib kwa sauti iliyoashiria kuwa hakupenda kilicho fanywa na Soraya, “waniteke ili wakione cha mtema kuni, mbona walikimbia, na safari hii namwambia awang’oe pua zao” alisema Soraya akimaliza kunawa na kueleka chumbani kwake kujiandaa na safari ya kwenda kwa Laylah kama ambavyo wazi wake walikuwa wanaamini, “we! Haya tu! lazima ujuwe sababu ya ugomvi wao, we unadhani mtu na akili zake anaweza kufanya hivyo bila sababu” alisema Talib, lakini ni kama alikuwa anamueleza Soraya ambae alishatoka pale sebuleni, “unadhani kuna sababu ya maana mpaka kuchoma duka la watu, ni mibangi tu wanayo vuta ovyo ovyo” alisema mama Soraya, na hapo Laylah akakumbuka siku tatu zilizopita alivyoona kipisi cha bangi chumbani kwa Talib kabla haja shikwa na tumbo la kuhara, na baadae kuthibitishiwa na Soraya kuwa Talib amerudia tena kwenye uvutaji wa sigara hiyo iliyo katazwa na serikali, Mahamud aliona kitendo cha Laylah kumtazama Talib mara baada ya mke wake kutaja bangi, nae akamtazama Talib ambae licha ya kutazama chini lakini alionekana wazi kusawajika kwa aibu na kujishuku, “soraya mama jitahidi kula haraka muwahi, muda umeenda sana” alisema mama Soraya na hapo ndipo Talib alipogunduwa kuwa Soraya alikuwa anatoka usiku ule, hakika alishangaa sana, maana haikuwahi kutokea.
Na alithibitisha hilo dakika kumi baadae, baada ya kumuona Soraya akitoka chumbani kwake na mkoba wake mkubwa huku akiwa amevalia baibui lake na niqab, “bye! mama bye baba, kesho tukijaaliwa” aliaga Soraya, huku Laylah nae akimpokea ule mkoba na kuongoza nje, “kuwa makini Soraya, usile vitu ovyo ovyo, waambie asante kwa zawadi, japo hujasema zimetoka wapi” alisema mama Soraya, akimaanisha ni wale samaki na kanga wa porini, “Laylah, muangalie Soraya sawa” alisisitiza mama Soraya, na Laylah, akaahidi kufanya hivyo, kisha wakaondoka.*******
Wazee sita yaani na mzee Komba mwenyewe wakiwa pamoja na mke wa mzee Komba yaani mama Hilda, ambae hakujuwa kilichomkuta binti yao huko kwa babu mabudi, tayari walikuwa wameshalewa vibaya sana na sasa walikuwa wanakaribia kuingia nyumbani kwa mzee Frank ili wakasanifu na kurudi waendelee kunywa ulanzi wao, njia nzima walipiga kelele na kuimba nyimbo za mafumbo, wakimpiga vijembe bwana Frank.
Wazee wale walitembea kwa mwendo wa nusu saa nzima bila kufika nyumbani kwa Frank ndipo Ngonyani machale yakamcheza, “mh! jamani mbona tunaelekea mwishoni mwa kijiji, ina maana kwa Frank tumeshapapita” aliuliza kwa sauti ya kilevi bwana Ngonyani, “kweli wewe umelewa sana tumepapita vipi sasa” aliuliza Njogopa kwa sauti ile ile ya ulevi wakupindukia huku wote saba wakizungushana nyuso zao kuhakikisha kama kweli walikuwa wamepotea kama alivyosema Ngonyani, “ni kweli jamani, tumepitiliza, tulitopea kwenye nyimbo, hebu turudi” alisema Ngongi huku anaongoza kugeuka walikotoka na kuanza kutembea safari hii wakiwa makini sana kutazama nyumba ya Frank, alama yao kubwa ikiwa ni mabaki ya duka lake lililo ungua.
Naam baada ya kutembea tena mwendo mrefu kidogo ghafla wakashtuliwa na Ngonyani, jamani si hapa tuna papita tena?” alisema Ngonyani huku akionyesha gofu la duka lililo ungua, lakini macho ya mwenzake haya kutazama lile gofu wote walitazama jengo jipya la vyumba viwili, ambalo ni kubwa mara mbili ya lile la mwanzo, tena la kisasa zaidi, lililokuwa limefikia usawa wa madirisha katika ujenzi wake, na ilionyesha wazi kabisa kuwa ujenzi ulikuwa unaendelea, pengine ulisimama kwaajili ya muda ulishaenda, jengo hili lilikuwa pembeni kidogo ya dula la zamani, ndani ya eneo la mzee Frank mwenyewe, “mh! ni hapa kweli au tumepotea tena” aliuliza Ngongi, kwa sauti ya kilevi huku akifinya finya macho kwa mang’amu ng’amu, huku Komba na mke wake wakitazamana kwa mshangao mkubwa sana, wakihisi kuwa pombe wazolikunywa zikianza kuondoka vichwani mwao, yaani hawakuamini walicho kiona, “karibu jamani” wato walishtuliwa na sauti toka upande wa nyumba kubwa, wakageuka na kutazama wakamuona mzee Frank na mke wake wakiwa wamesimama kwenye ngazi za kuingilia kwenye mlango wa nyumba kubwa wakiwatazama kwa nyuso za tabasamu.
Hakika mzee Komba na mke wake walishangaa sana, aibu na simanzi havikuwaacha salama, wakajikuta wakiumia roho zao, sio wao peke yao hata wakina Ngongi pia walishikwa na hali kama ya wakina Komba na mkewe, japo kwa mke wa Komba ulikuwa zaidi, maana hakuamini alichokiona licha ya mambo yote aliyofanyiwa na Mabudi kiasi cha kushindwa kutembea, lakini bado watu hawa wanaonekana wakijenga duka jingine tena kubwa zaidi, “sio bure” alijikuta akisema mama Hilda huku akimalizia na msonyo mrefu, kisha akaanza kuondoka, wengine wakifuatia nyuma huku wakimuacha mzee Frank na mke wake wakiwatazama kwa macho ya mshangao, “mh! mama Higgy, hivi kama huyo kijana anaetaka kumchumbia yule mschana, akiwa ni mtoto wa mmoja wa hawa watu itakuwaje?” aliuliza mzee Frank, ambae alishatambua kuwa ujio wa wazee wale haukuwa mwema, kwasababu licha ya kuondoka zao lakini bado baadhi yao walimtazama kwa macho makali yaliyojaa chuki, “mh! sijui wao wenyewe, au ndio waliochoma duka letu” alisema mama Higgno huku anasogea pale waliposimama wakina mzee Komba na kuangalia angalia kama vile alikuwa anakagua kitu fulani, maana hawakuelewa wale watu walikuja kufanya nini.******
Tayari wajumbe wa baraza la wazee walishapewa taarifa ya kuitwa kwa mzee Mahamud kwenye baraza hilo, na kwamba wangekutana nae saa saba mchana siku iliyofuata, hivyo waliombwa kuwahi eneo la ukumbi wa baraza kwaajili ya kuendesha kikao hicho, ambacho kilimlenga mzee Mahamud.
Taarifa hizo ziliwafurahisha sana Mahadhi na kijana wake Idd, ambao waliona mafanikio yanakaribia kwa kasi sana na wanaelekea kushinda, na katika furaha hiyo Idd alionekana amekaa sebuleni na baba yake akinywa pombe kwa fujo huku anavuta sigara zake kwa mikupuo.*******
Saa mbili na nusu, Higgno alikuwa nje ya banda lake mbele ya moto wa wastani ambao juu yake umetandwa na nyama na samaki, tayari alishapika mihogo na samaki wa kuchemsha, akimsubiria mgeni wake huku mara kwa mara akitazama kunako njia ilikuona kama kuna gari, au mwanga wa gari unakuja………. ITAENDELEA,... USIKU KUTAKUWA NA BONUS KWAAJILI YA SHUKRAN YA MICHANGO YENU.
 
TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA SITINI
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA HAMSINI NA TISA : Saa mbili na nusu, Higgno alikuwa nje ya banda lake mbele ya moto wa wastani, ambao juu yake umetandwa na nyama na samaki, tayari alishapika mihogo na samaki wa kuchemsha akimsubiria mgeni wake huku mara kwa mara akitazama kunako njia ilikuona kama kuna gari au mwanga wa gari unakuja ………. ENDELEA……..
Mida hiyo hiyo ndipo alipoona mwanga wa gari ukija toka mbali sana, mapigo ya moyo yakaongezeka “sijui ni yeye” alijiuliza Higgno aliekuwa amevalia bukta bila shati, huku anatazama upande ambao mwanga wa gari ulikuwa unatokea.
Naam kila mwanga ulipo potelea kondeni na kuibuka ukiashiria unasogea kuja upande wake, ndipo Higgno akaanza kusikia sauti ya ngurumo ya gari na hatimae lilikuja na kusimama nje ya banda lake, ni pale pale liliposimama jana nae akasimama na kulisogelea, na wa kwanza kushuka alikuwa ni Laylah, “mambo shem?” alisalimia Laylah kwa sauti ya uchangamfu, “safi tu! mambo?” aliiitikia Higgno, akizidi kusogea kwenye gari, “safi tu shem, ila kesho muamshe mapema Soraya, kesho nitakuja saa moja na robo tunahitajika kuwahi ofisini” alisema Laylah, huku anafungua mlango wa nyuma wa gari wa upande wa kushoto, na wakati huo huo ukasikika mlango wa upande wa pili ukifunguliwa, “nani amesema siwezi kuamka mwenye” alisema Soraya kwa sauti ya masihara, huku anaibukia upande wa nyuma ya gari, Higgno akamtazama mrembo wake na macho yakakutana, Soraya akatazama chini huku anacheka cheka kwa aibu, “sawa lakini ujuwe mimi nipo hapa mapema tu” alisema Laylah, ambae sasa alikuwa anashusha vitu na kumkabidhi Higgno na vingine alivipokea Soraya.
Naam dakika tano baadae tayari Laylah alishamaliza kutoa kila kilicho hitajika kutoka kwenye gari, na kisha kuondoka zake akisisitiza kuwa kesho atawahi kuja kumchukuwa Soraya, akiwaacha wakina Soraya wamesimama pale pale, wakiwa wanalisindikiza gari kwa macho mpaka lilipotoweka na kuzibwa na miti iliyo tanda eneo lote la pembeni ya barabara iliyokatiza ndani ya msitu wa milima ya matogoro, kisha baada ya hapo wakaongozana kimya kimya kuelekea kwenye kibanda pale ulipo moto, huku kila mmoja akiwaza namna ya kuanza kufanya kile alichoelekezwa na mwalimu wake, Higgno aliingia ndani akiwa na wazo la kupeleka vitu alivyoshika mkononi, kisha arudie vingine ambavyo alikuwa amevibeba Soraya, lakini ile kuingia ndani akashtuka mwanga mkali wa tochi ukiwa nyuma yake, ile kugeuka akamuona Soraya akiwa ameshika tochi kubwa ile ya kuchaji, ambayo kiukweli alitokanayo nyumbani kwao akiwa ameificha mkobani, hakutaka wazi wake wajuwe kuwa amebeba tochi ile yenye mwanga mkali kwasababu wangehoji na kuingiwa na mshaka, “kumbe umebeba tochi?” aliuliza Higgno, huku anatabasamu na kuweka vile vitu mezani, “ndiyo nime kuletea wewe usikae kwenye giza” alisema Soraya akicheka cheka kikike, huku anasogea pale mezani na kuweka ile tochi, kisha akaweka vitu vingine alivyo vibeba pamoja na box la keki “asante sana” alisema Higgno huku akiinuwa ile tochi na kuwa kama anaikaguwa, “nime kuletea na hii keki” alisema Soraya, huku anaonyesha box juu ya meza, “hooo! keki si ndio zile tamu tamu?” aliuliza Higgno kwa sauti ya furaha, “ndiyo kwani we hupendi vitu vitamu vitamu?” aliuliza Soraya kwa sauti nzuri iliyojaa utani na masihara, akiendelea kujichesha huku anaondoa kilemba chake kichwani, maana niqab inaonyesha aliivulia kwenye gari, “napenda tena leo nitafaidi sana” alisema Higgno wa sauti yake ile ile ya upole yenye kila dalili ya furaha, huku anachukuwa ndoo na kutoka nayo nje akimuacha Soraya alie kuwa na dalili zote za kuvua nguo.******
Wazee sita na mwana mama mmoja, walikuwa wamesharudi nyumbani kwa mzee Komba na sasa walikuwa wanaedelea kunywa pombe taratibu, lakini bila mbwembwe zao kama zile za mwanzo, safari hii ilikuwa ni kwa unyonge mkubwa sana, nadhani kila mmoja alikuwa anajiuliza kilicho tokea, “hebu kwanza ni tembezee dumla” alisema mzee Ngongi akimueleza bwana Ngonyani, ambae alimkabidhi dumla (Sado) lililojaa ulanzi na kulipeleka mdomoni, ambapo ungesema ni mtu mwenye kiu kali ya maji, maana aligugumia mafunda kadhaa tena ya nguvu kweli kweli, kisha akashusha chini sado likadakwa na mzee Nyoni, ambae pia alilipeleka mdomoni na kuendelea kugida ulanzi, huku Ngongi akiwa ameinamisha kichwa chini akitafakari jambo, kabla hajainuwa kichwa na kusema, “jamani heee! mnajuwa mpaka sasa sijaelewa kilicho tokea” hapo kila mmoja akaanza kufunguka, “ni kweli bwana unajuwa hata mimi nimeshangaa sana, inawezekanaje mtu ameunguliwa jana tu halafu leo leo anaanza ujenzi, tena wa nguvu” aliuliza Ngonyani kwa sauti ya kutia shaka, “hakuna lolote, zitakuwa ni fedha zetu ambazo zina potea kiajabu ajabu” alisema Njogopa kwa sauti ya kuwa na uhakika, “hapo umesema bwana Njogopa, unajuwa huwa nashangaaga sana ninavyo poteza hela kule kilabuni, unakuta unaenda na elfu moja halafu una amka asubuhi hauna hata hamsini mbovu” alisema Nyoni ambae alisha maliza kugida ulanzi, “umeona eeh, unadhani zile hela zinaendaga wapi, ndizo hizo watu wanajengea maduka” alisema Njogopa na hapo hapo mzee Komba ni kama alizinduka, “wala msiwe na wasi wasi, lazima safari hii ataumbuka tu, maana kuna mtego nitamtegea mpaka tutamkamata tu” alisema Komba, ambae alikuwa anamsubiria kwa hamu binti yake ambae alimtuma kwa mganga Mabudi pasipo kujuwa mzee huyu amesha badilika na kuwa na tabia za ajabu, ambazo zimempotezea wateja wengi aliokuwa anajizolea miaka iliyopita.
Wazee hawa waliendelea kunywa pombe huku sasa wakijadili na kumsimanga mzee Frank wakimtuhumu kuwa mzee huyu ni mshirikina.*******
Talib akiwa chumbani kwake akivuta bangi yake, huku amechoma udi ambao ulififisha harufu kali ya bangi, ni mara baada ya kumaliza kula, alikuwa ametingwa na mawazo makali baada ya kubaini kuwa Soraya alikuwa anamfahamu baba yake Higgno, “kwahiyo Soraya na Higgno wanafahamiana kitambo, sasa mbona Soraya anajifanya hamjuwi Higgno?” alijiuliza Talib, ambae alikumbuka kauli ya mjomba wake miaka mingi iliyopita, “nikimuona kijana huyo naweza kumuozesha Soraya, lakini nitamjengea nyumba na nitamnunulia gari la kutembelea” hapo Talib alianza kujihisi kujiwivu kikimjia “au tayari Soraya na yule fala wanagongana ndiyo maana ametoka usiku halafu anasingizia kuwa anaenda kwa kina Laylah” aliwaza Talib huku akiendelea kuvuta bangi yake, “halafu anko nae mjinga, anauliza eti unamsaidiaje hata hajui kuwa mwanae anamsaidia baba wa basha wake” safari hii haikuwa ni kimoyo moyo, ila Talib aliongea wazi kabisa, “huyu dogo, amesha tangaza vita kubwa ya tatu ya dunia, lazima ni hakikishe nampoteza huyu fala” alijisemea Talib akiendelea kujivutia bangi, “sijui ni mfuatilie huko wanakoenda kulala halafu niwachome moto wafe wote wawili, maana lazima anaenda kulala kwa huyo fala” aliwaza Talib na kuendelea kupanga mipango yake, ambayo alihitaji safari hii ikamilike.********
Hilda binti Komba mida hii ndio alikuwa anamalizia vichaka vya mashamba ya mahindi vilivyo ashiria kuwa anaingia kijijini akitokea upande wa kusini wa Luhila seko, Hilda aliekuwa anatembea kwa shida sana huku ameweka miguu pande, aliskiliia maumivu makali sana yaliyo kuwa yana mchonyota uvunguni kwake, ikiwa ni kitumbuani na kule kwa jirani ya bibi, hakika maumivu aliyo yasikia wakati huo maumivu mfano wa kidonda kilicho wekewa pili pili.
Hilda alitembea taratibu barabarani huku akijitahidi asionekane na watu, maana alipo ona mtu anakuja mbele yake au anakuja toka nyuma yake basi alisimama na kungoja apite ndipo na yeye akaendelea na safari, huku moyo wake ukiumia kwa tukio lililo tokea siku ile, sio kwamba aliumia kwa kitendo cha kufanyiwa kile alicho fanyiwa mama yake, yaani hakuumia kwa kutembea na mwanaume mmoja na mama yake ila aliumia kwa maumivu aliyo yapata, hasa akikumbuka kuwa sifa ambazo baba yake amezimwaga kwa Mabudi hazikuwa za kwake, kwasababu Talib ndie aliechoma duka la baba yake Higgno na sio kwamba kule Luhila alikuja kumfuata yeye, ila alikuja kuchoma nyumba anayo lala Higgno, isitoshe na yeye pia alimuendea mganga yule kuwa anahitaji kuwa na kijana Higgno wala hakumtaja Talib, kwa jinsi hiyo Hilda alibaini kuwa Mabudi alikuwa anawachezea mchezo wa utapeli, na Hilda alikuja kulithibitisha hilo wakati anakatiza eneo la nyumba ya mzee Frank, na kuona jengo jipya la vyumba viwili vya duka likiwa limesha anza kujengwa, hapo Hilda alitamani kulia kabisa.
Naam balaa zaidi ni pale alipofika nyumbani kwao na kuwakuta watu kibao wakinywa ulanzi, hakuwa na namna ilimlizimu kukatiza mbele yao, hakujali jinsi walivyo mtazama kwa mshangao wakistaajabishwa na mwendo wake kama kijana wa kimakonde au kimwera alietairiwa bila ganzi, na ile kuingia ndani tu! mama yake ambae alishahisi kilichomtokea binti yake akamfuata huko huko ndani, huku mzee Komba na wenzake wakishangazwa na tukio lile ambalo siku tatu zilizopita waliliona kwa mama mtu, yaani mke wa mzee Komba, ambae alianza kutilia shaka juu ya lile na kuamua kuinuka kumfuata mke wake alietangulia ndani.
Mzee Komba akiwa anatembea kwa tahadhari aliingia ndani mwake ambamo mulitawaliwa na giza, kwasababu bado hawa kuwa wameweka umeme, mara akamsikia mke wake akiuliza kwa sauti ya mshangao na tahadhari, “we Hilda mbona unatembea hivyo” aliuliza mama Hilda, japo kwa sauti ya chini, “na mimi amenifanya” alijibu Hilda kwa sauti kavu, “mzee mbaya yule na wewe amekufanya?” aliuliza mama Hilda kwa sauti ya mshangao na masikitiko, “ndiyo tena ameniharibu kote kote” alisema Hilda kwa sauti ya uchovu, japo haikuonyesha masikitiko wala majuto yoyote, “jamani Mabudi kwani hajui kama wewe ni binti yangu mpaka anatufanyia hivi” alilalamika mama Hilda, huku mzee Komba akisikiliza maongezi hayo ambayo yalianza kumfanya ahisi kizunguzungu.******
Higgno akiwa nje ya banda lake, alikuwa amekaa juu ya ndoo pembeni ya moto, akipisha kile kigoda alichokiweka mita kama nne pembeni yake kwaajili ya mgeni wake aliekuwa ndani anaendelea na kupembuwa nguo zake, “dah! sijui nitaanzaje kumshika shika?” aliwaza Higgno, huku akikumbuka kile alichokuwa anaelezwa na baba yake mdogo Alex, “eti nimshike…….” Higgno alikatiza mawazo yale mara baada ya kumuona Soraya anakuja toka kibandani, akiwa amevalia kijigauni chepesi kinachotaka kufanana na kile cha jana, tofauti ni kwamba kijigauni cha leo kilikuwa kifupi sana kiliishia mapajani na kufanya mapaja yake meupe kuonekana, halafu eneo la shingo lilikuwa na kola yenye umbo la V, na kuacha sehemu fulani ya kifua wazi, ambayo ilimpa shida kidogo na kumfanya awe ameshikilia sehemu hiyo kwa kuikusanya kuficha maziwa yake ambayo haya kuwa ndani ya sidilia kwa muda huo, ambayo yaliweza kuonekana vyema yakitengeneza umbo juu ya kijigauni chake chepesi, hakika hata Soraya mwenyewe alikuwa katika wakati mgumu, hakuzoea kukaa vile mbele ya mwanaume, ila ilimlazimu kwaajili ya kufuata maelekezo ya mwalimu wake laylah.
Higgno alimtazama Soraya akikifuata kigoda na kukiinua na kukisogeza karibu kabisa na alipokaa yeye, kisha akakikalia, huku anacheka cheka kwa aibu…………. ITAENDELEA MUWE NA USIKU MWEMA
 
Back
Top Bottom