SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

Inauma sana kwakweli:
Kutakataliwa ni kubaya sana:
bora ukataliwe peke yako yaani mko wawili tu kuliko kuliko kama alivyofanyiwa Idd, kuna mambo mawili hapo, akajinyonge au akakodi wahuni wenzake wake kufanya vurugu kwa kina soraya
 
Cha asubuhi anapiga mganga kule na mama hilda mana babu anapiga tu nyuchi ya bure nahisi wale wanapoelekea wataenda tundikiwa dripu sio kwa kungonoana huko asee bi mkubwa sijui kama atatembeea
Hahahahaha, Mzee komba hapati kitu vyote vimekombwa
 
TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA AROBAINI NA TATU
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA AROBAINI NA MBILI: unaweza kuona jinsi baba yako alivyo iandaa siku hii ya leo kwa umuhimu wake, basi tunaomba ukubali uchumba huu na sisi tuweze kukabidhi barua ya posa” alisema mwenyekiti na hapo watu wakatulia kusikia Soraya atasema nini, “naomba mniwie radhi wazazi wangu na wageni wote mulio kuja hapa, ukweli ni kwamba ningejua kama kuna jambo hili hakika ningezuia pasifanyike maandalizi yoyote” alisema Soraya kwa sauti ambayo ilikuwa ya upole ambayo ilikuwa ina ambatana na kilio cha kwi kwi, “kwanini Soraya tuweke wazi” alisema mwenyekiti kwa sauti ya upole, “tayari nina mchumba” alisema Soraya kwa sauti ile ile ambayo iliambatana na kilio cha kwikwi …… ENDELEA….
Sauti ambayo ilipenya vyema masikioni mwa watu wote waliokuwepo mule ndani, lakini wote walitazamana huku kila mmoja akionekana kama vile hakusikia vizuri, maana waliulizana, “eti anasema?” zilikuwa ni sauti za chini za minong’ono, lakini kwa upande wa Idd yeye ndio kwanza alitabasamu na kumueleza baba yake, “hiyo ndio gia yake ya kukataa kuolewa” alisema Idd, akichukulia ni kama siku ile avyo ambiwa na Soraya, na baadae Laylah akamueleza kuwa ni uongo, Mahadhi akatabasamu na kumtazama mwenyekiti ambae pia alikuwa anawatazama kwa macho ya fadhaha, Mahadhi akatabasamu na kumpa ishara ya kuwa alikuwa anaongopa, hapo sura ya mwenyekiti ikakunjuka kidogo na kumtazama Soraya, “ndugu muliopo humu ndani, tunaweza kuona ni kiasi gani binti huyu mwenye haiba njema kabisa njisi anavyoweza kutuonyesha taswira ya nidhamu na uoga katika swala hili” alisema mwenyekit, huku Laylah akitafakari kauli ya mwenzie yaani boss wake, ambae amedai kuwa tayari anamchumba, “cha msingi bi Soraya, tuna kuomba upunguze uoga, maana tunajua fika kuwa hauja chumbiwa na wala hakuna ahadi ya uchumba, sasa huyo mchumba ametokea wapi?” alisema mwenyekiti kwa sauti fulani ambayo kila mmoja aliitambua kuwa ni ya upole na yenye kubembeleza, hapo Soraya ni kama alipata nguvu kwa kiasi fulani, japo hakuweza kuinua uso wake, nae akasema “haikuwa vyema kueleza mahali hapa, kwasababu hata wazazi wangu sijawaambia bado, lakini ukweli ni kwamba kuna kijana ambae ameonyesha upendo wake kwangu kwa miaka mingi sana amekuwa akinipigania nisiingie kwenye aibu na nisi aibishe familia yangu, huyo ndie mtu ambae atakuja kuwa mchumba wangu” alisema Soraya, lakini maelezo yake haya kuwa shawishi ndugu jamaa na wageni, japo wazazi wake na Laylah walishaelewa anamaanisha nini, “Soraya ni nani huyo mchumba wako anaishi wapi, na kwanini kwa muda wote huo hajaja kutoa barua ya posa, huoni kama anataka kukuchezea?” aliuliza mwenyekiti na mzee mmoja kati ya wale wawili waliokaa na bwana Mahadhi akaongezea, “ina maana Soraya unataka kutueleza kuwa umekuwa ukizini kwa muda wote huo wakati sisi tunajua wewe ni….” kabla hajamalizia mwenyekiti akanyoosha mkono kuzuia asiendelee, maana ingekuwa ni masimango, “wazee wangu silijui jina la kijana huyu, sijui anatokea wapi, ninacho amini ni kwamba ana upendo wa dhati juu yangu kwa jinsi alivyojitoa kwangu kiasi cha kuhatarisha maisha yake” alisema Soraya, kwa sauti ambayo ilimaanisha kile anachokisema, kila mmoja akaingiwa na maneno ya Soraya na kusisimuliwa nayo, lakini ikawa tofauti kidogo kwa mwenyekiti, ambae alicheka kidogo, “bi’Soraya, unadhani ni mwanaume gani ambae atakuona njiani na akaacha kukusaidia mschana mzuri kama wewe, tena ulietoka katika familia tajiri, maana anajua fika kuwa asipo pata fedha atakupata wewe asipo kupata wewe atapata japo ajira au kitu chochote kama ujira wake, na kama humjuwi hata jina, inamaana hata hamjawahi kukubaliana uchumba, au nadang’anya?” aliuliza mwenyekiti, kwa sauti iliyo ambatana na kicheko cha utani, “ni kweli mzee wangu, lakini moyo wangu umeongea nae, naamini ipo siku atasema hivyo” alisema Soraya na kuwashangaza watu walipo mule ndani, hata mwenyekiti na wakina Mahadhi nao walishangaa, huku baba yake akikubaliana na Soraya, japo hakujua kama na leo pia binti yao ameokolewa na kijana mpole, “bi Soraya nina ombi moja kwako, madhari huyo kijana hajakuweka bayana juu ya uchumba, na Idd bin Mahadhi bin Salum yupo hapa kukuchumbia, basi kwa heshime ya sisi tuliofika hapa kwa heshima ya wazazi wako walioandaa siku hii, tunaomba ukubali barua hii ipokelewe, naamini Idd ni kijana bora kabisa na anafaa kuwa mchumba na baadae mume bora” alisema mwenyekiti na watu wakatega sikio kusikiliza jibu la Soraya, “mzee wangu, naomba munisamehe sana kwa hilo, kwasababu nikifanya hivyo nitakuwa nimefanya kosa kubwa ambalo hata mimi mwenyewe sitokaa nijisamehe, licha ya kudhulumu haki na jasho na juhudi za mtu ambae amenipiga nia mara tatu nisidhurike amenipigania mfano wa mke au ndugu muhimu kwake, mtu ambae hakutaka kunifahamu mimi ni nani, mtu ambae alipenda kuniona naondoka salama huku yeye akibakia anapigana kwaajili yangu, lakini pia nisingeweza kuchumbiwa na Idd, hata kama nisinge kuwa na deni la uchumba, ndio maana hata mwanzo nikasema kuwa, ningejulishwa mapema ningezuia siku hii isiandaliwe, kwasababu Idd alitaka…” alisema Soraya na kabla hajamalizia mzee Mahadhi akamdaka juu kwa juu, “lakini tulisha liongea hilo, hakuiwa Idd alie fanya hivyo, nyie wote mulifanyiwa ujanja na mwenzio tulimuokota siku ya pili asubuhi hajitambui” alisema Mahadhi, kwa sauti ya juu huku wazee wa baraza wakimuunga mkono kwa kuitikia kwa vichwa vyao.******
Linjumbwi kwa babu Mabudi mambo yalikuwa moto moto, kazi iliendelea mama Hilda akiendelea kufurahia kile alichokuwa anafanyiwa na babu huyu, ambae alidumu kifuani kwa mama Hilda kwa dakika kumi na tano, hata alipoamua wabadili mkao na kuwenda ile ya kiokote, staili ambayo mwanzo ilikuwa nzuri kwao, maana licha ya kutumika sana kwa kitumbua na kwa msaada wa utelezi wa dawa waliopaka, lakini sasa kitumbua kilibana na kufanya muhogo usikike vizuri kwenye njia yake, ukisugua kuta za kitumbua cha mama huyu, ambae dakika kumi mbele alijikuta akitanua miguu kwa kuongeza njia ya kitumbua, maana aliona kama inaanza kubana.
Shughuli iliendelea kwa kasi ya ajabu, huku mama Hilda yaani mke wa mzee Komba akiinua miguu kila dakika, mpaka zinatimia dakika kumi nyingine, mama Hilda alikuwa amekaa kama punda alieelemewa na mzigo, huku babu akiwa amepinda kibyongo kama ngamia, “ngoja ni bong’oe” alishauri mama Hilda na babu akitoa dudu kitumbuani ili kumpisha akae kama alivyo omba, kisha kazi ikaendelea, lakini dakika kumi nyingine mama Hilda alianza kuhisi moto una waka kwenye kitumbua chake, akaanza kutoa kilio cha maumivu.
Naam kilio cha mama Hilda kilidumu kwa muda wa nusu saa nzima, huku babu akiwa ameng’ang’ania kwenye kitumbua, huku amembana mama huyu kwa mikono miwili akikamata kiuno na kukivuta kwake, na yeye kusukuma kiuno chake mbele, “sikupi tena we babu, utaniuwa yoyoooo” alilalamika mama Hilda, hata babu alipofika safari yake wote wakajibwaga chini kama mizigo, na sekude chache baadae wakapitiwa na usingizi, wa kwanza kukoroma alikuwa mama Hilda.******
“lakini tulisha liongea hilo, haikuwa Idd aliefanya hivyo, nyie wote mulifanyiwa ujanja na mwenzio tulimuokota siku ya pili asubuhi hajitambui” alisema Mahadhi, kwa sauti ya juu huku wazee wa baraza wakimuunga mkono kwa kuitikia kwa vichwa vyao,
“ni kweli Soraya, tulipata maelezo kamili na baba yako akaridhika nayo, ndio maana alikubali jambo hili lifanyike” alifafanua mwenyekiti, “wazee wangu, siwezi kuwa mnafiki kwa kuto kuongea ukweli wakati naona kabisa nataka kuangamia, unafiki umekatazwa hata katika dini, naomba nimuulize Idd swali moja, akijibu na mkaridhika na jibu lake basi nitaruhusu barua ipokelewe” alisema Soraya na kuvuta umakini wa watu wote waliokuwepo mule ndani, Idd na baba yake wakatazamana kwa mshtuko, Idd akamueleza baba yake wasikubali swali, lakini walishachelewa kabla bwana Mahadhi haja ongea chochote, tayari mwenyekiti alishafungua midomo yake, “uliza Bi’Soraya, pengine ndiyo njia ambayo inaweza kufungua milango ya kuendeleza shughuli hii” alisema Mwenyekiti na hapo kila mmoja akatega sikio kwa umakini, “Idd kama kweli hukujua kama tumewekewa vilevi kwenye juice na maji, ulienda wapi ukaniacha pale mezani, na ulifanya nini kunisaidia ulipogundua kuwa tume wekewa vilevi?” aliuliza Soraya, na hapo wale wazee wote wa baraza wakakumbuka swali hilo, kuwa hawakuwahi kumuuliza Idd pale walipoelezwa juu ya swala hilo, mara moja wakamtazama Idd, ambae alikuwa bado amekaa chini, “mimi… mimi … mi nilienda chooni, niliporudi sikukuta” alijibu Idd, jibu ambalo hakuna alieona ubaya wake, lakini Mahadhi ndie aliegundua, kuwa amechanganya maelezo, akamnong’oneza haraka, “kwa hiyo Idd, ulikuwa bado hujagundua kuwa vinywaji vyenu vina vilevi?” aliuliza Mwenyekiti, “aaaa…hapana nilisha gundua… lakini …. hapana si kwenda chooni nilikuwa nimeenda kumfuata muhudumu alietuletea vile vinywaji” alisema Idd kwa kubabaika, “ok! hapo sawa na kumbuka hata kule kwenye baraza ulisema hivyo” alisema mwenyekiti kisha akamtazama tena Soraya, jibu umelisikia Soraya je umeridhika nalo au una swali jingine?” aliuliza mwenyekiti, “nina swali jingine, japo hilo sijaridhika nalo ametoa majibu mawili” alisema Soraya, ambae licha ya kuwa katika hali ya kujiamini, lakini bado sauti yake ilikuwa nyembamba ya upole, kisha akamtazama Idd, “kama ulikuwa umesha gundua kwanini huku nieleza kuwa juice ina kilevi na ukaniacha ili niendelee kuinywa, na kama ulipata nguvu ya kuinuka haraka na kutembea vizuri kuelekea kule ndani ya ile nyumba ya wageni, ulishindwa vipi kutumia nguvu hizo kunichukua mimi ambae nililewa mapema kunirudisha nyumbani?” aliuliza Soraya, na hapo ni kama alikuwa amewafumbua masikio watu waliokuwepo mahali pale, “nilitaka kwanza nikamuulize yule mhudumu, kisha nije nikuchukuwe tuondoke” alisema Idd, ambae hakujuwa kuwa jibu lake linazalisha swali jingine, “Samahani jamani mume kuwa mukiongea nyie tu, naomba safari hii na mimi munitoe ushamba kidogo” alisema Mjomba, ambae muda mrefu alikuwa kimya, “nimesikia nyumba ya wageni, ina maana wawili nyie mlenda kunywa juice nyumba ya wageni yaani guest house?” aliuliza Mjomba, na hapo Soraya akajibu, maana Idd alikuwa anatazama chini yaani ameinamisha uso wake, “yeye ndie alieniambia kuwa pale wanauza juice ya mabungo” jibu hilo lililipua kicheko mule ndani, hakuna aliekumbuka kuwa walipanga wamalize mapema kikao, hakuna aliekumbuka kuna alaasiri, mwenyekiti alishaona mwangaza wa jambo ambalo Idd alikuwa amedhamiria kwa Soraya, tayari bwana Mahadhi alishaona aibu iliyopo mbele yake, hata wale wenzie wawili walisha poa kama maji ya mtungi.
Kicheko na minong’ono ilipokoma mjomba akaendelea “mabungo guest house, haya tufanye hivyo, sasa bwana Idd nimesikia kuwa siku ya pili uliokotwa ukiwa ndani ya gari, kwa hiyo ulipomkosa Soraya pale mezani, haukutaka kuondoka baada yake uakaendelea kunywa hicho kinywaji chenye kilevi mpaka ulipozidiwa?” swali hilo nalo alikupatiwa jibu, baada yake likazua mtafaruku, “najuwa hamuwezi kutuelewa kwasababu mumezoe kuzuia binti yenu asichumbiwe, ilikuwa ni kitendo cha baba kusema binti anaolewa na yeye akaolewa, sasa mambo gani haya ya kuvunjiana heshima, “alisema Mahadhi, akimshutumu bwana Mahamud ambae hakuwahi kuongea neno toka kikao kinaanza, “lakini bwana Mahadhi, mimi siwezi kutoa neno kabla ya binti mwenyewe, kwasababu yeye ndie alie ona tukio na yeye ndie ambae ataenda kuishi katika ndoa hiyo, je madhila atakayo yapata mimi nitahusika?” aliuliza Mahamud kwa sauti ya upole kama kawaida yake, “lakini jamani hebu subirini kwanza isije kuwa ni janja ya Soraya mwenye, baada ya kugundua nia ya Idd kutaka kumchumbia”alisema mmoja kati ya wale wazee wawili mabest wa mahadhi, “Hivi Soraya unaweza kusema ulifikaje nyumbani, wakati ulikuwa umelewa kiasi unachosema au wewe ndie ulieweka kilevi na kumtegeshea mwenzio kisha ukamkimbia?” aliuliza yule mzee swali hilo ambalo pengine lilikuwa la kibwege, lakini lilikuwa msaada kwa Soraya, “nilipo gundua nimelewa na mwenendo wa Idd siuelewi, nilitoka nje nikiwa sina hata shilingi mmoja” alisema Soraya na kusimulia alivyokutana na kijana mpole na kumsaidia kufika sehemu salama, huku akimuepusha asidhalilishwe na dereva wa taxi, hapo hata mama Soraya pia akaeleza jinsi alivyopigiwa simu na kusikia kila kitu kilichokuwa kinaendelea, “jamani hata mimi uchumba huu siko radhi kabisa utokee, Idd sio kijana mzuri kwa binti yangu” alimaliza mama Soraya na hapo mtafaruku ukapamba moto na wazee wakatoka pale nyumbani kwa Mahamud wakiwa wamekasirika kweli kweli.
Ndugu na marafiki waliobakia waliendelea kula na kunywa huku wakimsifu Soraya kwa kitendo cha kuzuia barua isipokelewe, maana angeingia kwenye matatizo makubwa wakati huo Soraya alikuwa kwenye Chumba cha swala na wazazi wake na Laylah wana swali na walipomaliza akawasimulia jinsi ilivyokuwa kuanzia alivyo mkosa kosa kijana mpole na baadae kuvamiwa watu wanne wa mwanzo, na vijana wake kupigwa na kukimbia na baadae kutokea kijana mpole na kumsaidia, “kijana mpole tena?” aliuliza Mahamud kwa mshangao, akionyesha mashaka makubwa juu ya kijana huyu……. ITAENDELEA
 
TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA AROBAINI NA NNE
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA AROBAINI NA TATU: Ndugu na marafiki waliobakia waliendelea kula na kunywa, huku wakimsifu Soraya kwa kitendo cha kuzuia barua isipokelewe, maana angeingia kwenye matatizo makubwa, wakati huo Soraya alikuwa kwenye Chumba cha swala na wazazi wake na Laylah wana swali na walipomaliza akawasimulia jinsi ilivyokuwa, kuanzia alivyo mkosa kosa kijana mpole na baadae kuvamiwa watu wanne wa mwanzo, vijana wake kupigwa na kukimbia,na baadae kutokea kijana mpole na kumsaidia, “kijana mpole tena?” aliuliza Mahamud kwa mshangao, akionyesha mashaka makubwa juu ya kijana huyu……. ENDELEA….
Tena alionyesha wasi wasi wa wazi kabisa juu ya misaada ya huyu kijana mpole, “baba Soraya, vipi una mashaka na huyu kijana?” aliuliza mama Soraya, akimtazama mume wake kwa macho ya mashaka, “mh! sijasema hivyo lakini ukweli ni kwamba, inabidi nikutane na huyu kijana” alisema mzee Mahamud, huku anainuka na kutoka kwenye kile chumba cha swala, akiwaacha Soraya na mama yake wakitafakari maneno ya mzee Mahamud.
Mama Soraya alikuwa anajaribu kutafakari kama kuna ukweli juu ya mashaka ya mume wake, wakati huo huo mama Soraya nae alianza kuunga mkono mashaka ya mume wake juu ya kijana mpole, ambae yeye alishawahi kumuona kwa macho yake, “lakini mbona hakuonyesha tamaa yoyote, yeye ana wasi wasi gani?” alijiuliza mama Soraya kimoyo moyo, “ni kijana mzuri kwa mwili tabia na sura, lakini hatukujui nyumbani kwao, wala hatuwajui ndugu zake” alisema mama Soraya, huku na yeye anainuka na kutoka mule ndani ya chumba cha swala, “lakini mama mtu mwema ni yeye, mbona kuna manabii walitokea kwenye familia za watu wasiomcha mungu, nao wakamlinga nia mungu mmoja” alisema Soraya kwa sauti ya kulalamika huku akiwa amekaa pale pale.
Soraya alikaa mule ndani kwa dakika kadhaa akiwaza vipingamizi ambavyo dalili zake zimeanza kwa wazazi wake, mwishoe akasema “Ee mwenyezi mungu, muongoze yule kijana azidi kuwa mwema kwangu” kisha akainuka na kuelekea chumbani kwake, ambako alijifungia akiendelea kuwaza mpaka mida ya chakula ambapo alienda kula na kurudi kulala hakuna aliemuona Talib wala kumuulizia kijana huyu, ambae alitoweka ghafla wakati shughuli ikiendelea.
Soraya akiwa chumbani kwake siku hiyo hakutazama filamu kama kawaida yake, badala yake alizima taa na kuendelea kuwaza juu ya kijana mpole, huku akitazama mbala mwezi iliyokuwa ina angaza kwa nuru angavu iliyopenya na kuingia ndani ya chumba chake kupitia dirisha la chumbani kwake, na tumai upo nje unatazama mbalamwezi hii ninayo itazama mimi” alijiwazia Soraya.********
Ni kweli Higgno alikuwa amekaa nje ya kibanda chake kule shambani, ameshamaliza kula ana endelea kubanika samaki, ambao alipanga kesho akirudi kwenye maombi ya kazi apeleke nyumbani kwa wazazi wake pamoja na kanga wachache, “yule mschana amezidi kuwa mzuri” aliwaza Higgno, huku ana geuzageuza samaki wake waliojaa juu ya waya wa kubanikia, uliowekwa futi kadhaa juu ya moto uliotawanyika, “sijui anakaa wapi, ila kiukweli jamaa yake anafaidi sana” aliendelea kuwaza Higgno, “lakini aliponiona niliona uso wake ukiwa unajawa na matumaini, halafu nilipomwambia aondoke yeye akataka kung’ang’ania” aliwaza Higgno, huku ana tazama mbala mwezi, tulisoma kuwa ipo moja tu duniani, kama ni hivyo basi hata yule mwanamke atakuwa anaitazama, basi tutakuwa tunatazama mbalamwezi mmoja” aliwaza Higgno ambae tayari alisha weka nguo zake za kuvaa kesho chini ya mchango (mto), wa kitanda chake, ikiwa ni aina ya utunzaji mzuri wa nguo yake hiyo, ambayo tayari alishaiwekea kidonge cha dawa ya mende, ambayo hakuitumia kama dawa kwaajili ya mende ila akitumia kama perfume.******
Talib mida hiyo alikuwa amejifungia chumbani kwake, amelala kitandani anavuta bangi, amechoka vibaya sana miguu inamchonyota vibaya sana, ni kutokana na kutembea mwendo mrefu kwa miguu, “huyu dogo ni mjinga sana, anaingiliaje mambo yangu, amesahau kipigo cha siku ile kule njia panda” alijisemea Talib huku akiendelea kuvuta ndum mapafu ya nguvu utadhani alikuwa na kiu ya mwaka mzima, “nitampata tu! kwao si ninapajua, tena mpaka chumba chake nakijuwa, nitamfanyia kitu mpaka ajute kuingilia mambo ya watu” aliwaza Talib, huku akipandwa na hasira kila sekunde iliyosogea, hakujuwa kama mtu anae muwazia ujinga huo ni hatari kuliko hatari yenyewe, “yaani mimi nakosa fedha ndefu kama ile, nimeishia kuishika shika tu!” aliongea Talib kwa machungu makubwa huku anazidi kukwemba lile bangi lake.*******
Saa tatu kasoro, bwana Komba akiwa anaendelea kunywa pombe na wakina Ngonyani, huku wana endelea kuongea hili na lile, mara akasikia sauti ya mlevi mmoja toka kwenye benchi la pembeni yao, “jamaa ameshajipatia TEMBELE LA UWANI, sasa anaenda kulikaanga” watu wote wakageuka kutazama kule alikokuwa ana tazama yule mlevi aliesema hivyo, hapo mzee Komba akiwa mmoja watu waliotazama kule walikotazama mwenzie, akajikuta anatazama chini kwa aibu, Kwa sababu aliweza kumuona kijana mmoja akiwa anaongozana na mwanamke wakionekana wamelewa kweli kweli, huku kijana yule akiwa ameweka mkono kwenye kalio la yule mwanamke, huku akilibinya binya lile kalio, akawasikia wenzake wakicheka na kufurahia kile kitendo, “anaenda kujilia vyake” alisikika mtu mwingine toka kwenye benchi la jirani yao.
Sio kwamba mzee Komba alitazama chini kwasabubu hakupenda kutazama kitendo kile, ila alikwepa kuona binti yake Hilda akifanyiwa vile mbele yake, mambo ya vijana hayo” aliongea mtu mwingine akionyesha kupendezewa na kitendo kile kilichomtia simanzi bwana Komba, ambae alisikia watu wakiongea hili la lile kuhusu Hilda binti yake, ambae jina lililozoeleka ni TEMBELE LA UWANI wakisema kuwa ni mschana ambae hakuwa na hiyana na Kitumbua chake, “ukitaka hata sasa we kamchukue umpige ulanzi, kisha una jichumia tembele” aliongea mwingine na kuzidi kumuaibisha mzee Komba.
Lakini baada ya dakika kama kumi mbele, tayari tukio lile lilisha sahaulika vichwani mwa watu pale kilabuni na watu waliendelea kunywa ulanzi, huku wakiongea hili na lile, mara ghafla, “jamani shemeji amekutana na nini tena?” alisikika mzee Ngonyani akuliza huku macho ameyakaza barabarani na wenzake waka tazama huko, pamoja na mzee Komba, alichokishuhudia kili mshangaza na kumzizimisha mwili mzima, maana alimuona mke wake anatembea taratibu kama zombie, akihesabu hatua moja moja, miguu ametanua, mmoja kushoto mmoja kulia, ungejua wazi hakutaka ikutane, kana kwamba uvunguni kwake kulikutana na dhahama kubwa, “mama Hilda mama Hilda” aliita mke wa Njogopa, aliekuwa amekaa karibu na mume wake, pale kwenye mabenchi waliyo kalia wakina mzee Komba ambae ni kama alikuwa ameshikwa na butwaa, huku akimtzama mke wake ambae alishtuka sana alivyoitwa na mke wa Njogopa. poleni kwa usmbufu, nimechelewa kupost kwaajili ya mihangaiko na majukumu ya kujenga taifa, haya sasa uchumba wa idd umekataliwa, mahmudu ana mashaka na kijana mpole, achilia mbali mahmudu pia mkewe amepata shaka kwa kijana mpole na soraya ndio kazama mazima, vpi mama hilda nae anaetembea kama zombi nini kitajiriiiii? Usikose sehemu inayofuata... ITAENDELEA
 
Back
Top Bottom