Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 2,117
- 5,240
- Thread starter
- #361
TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA AROBAINI NA MOJA
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA AROBAINI: nadhani muna kumbuka niliwaambia kuwa swala la ushawishi ni la kwenu nyie, na hii ni kutokana na tukio lililotokea juzi, hivyo hatukutaka kumjulisha kinacho kuja kutoka leo, pengine angeanza kuleta pingamizi mapema kabisa, ila kwa kuwa lita ongelewa mbele ya wazee najua hakuna kitakacho haribika ndiyo maana tuliwacha aendelee na ratiba zake huku sisi tukianza maandalizi” alisema Mahamud ambae mara zote wamazoea kumuona kuwa ni mpole, kama alivyoonekana wakati anayaongea haya, “ina maana bwana Mahamud umeshindwa kuongea na binti yako na kumueleza kile unachotaka kifanyike mpaka yeye mwenyewe ajiamulie?” aliuliza mmoja kati ya wale waliopanda gari la Mahadhi, ambao katika vichwa vyao waliamini kuwa bwana Mahamud huwa ana kasumba ya kukataa mwanae asiolewe…… ENDELEA………
“hapana wazee wenzangu nadhani nilisha
waeleza kuwa sijakataa ila niliwambia kuwa mutakuja kumshawishi maana pengine akashawishika kwa uwepo wenu hapa nyumbani” alisema Mahamud na mwenyekiti akaitikia kwa kichwa kuwa alichokumbusha Mahamud ni kile alichokisema kule msikitini, Naam wakati maongezi yao yanaendelea mara wakasikia sauti za wakina mama huko nje zikishangilia kuwa Soraya ameingia pele nyumbani.*******
Mama Higgno na baba Higgno wakiwa nyumbani kwao Luhila Seko kila mmoja aliendelea na kazi zake huku kila mmoja kwa wakati wake akiomba mungu kwa sala zake kumuombea mtoto wao afanikiwe kupata kazi hiyo kesho, huku wakienda mbali zaidi na kuona kuwa kijana wao Higgno akifanikiwa kupata kazi kwenye kampuni ya Mahamud ataheshimika na pengine kupata mwanamke mzuri zaidi mwenye kujiheshimu awe tofauti na waschana wengi wa pale mtaani, ambao wengi wao walishaanza kubadilika tabia na kuacha mwendo mzuri kuanzia matendo mavazi na maongezi yao, maana ilifikia hatua waschana wa mtaa ule walikuwa wana jilengesha kwa wanaume bila kuangalia umri, imradi awe na vijihela kama alivyo mzee Frank, ambae alikuwa anapata nao shida sana pindi wanapokuja pale dukani, wangeulizia hata bidhaa ambazo hawakuwa na haja nazo au uwezo wa kununua kwa muda huo, “baba Higgy hizo chupi za mikanda bei gani?” tena angeuliza kwa sauti nyororo na kujifanya vinaona aibu, au kangetaka kujionyesha kwamba nako kamesha kuwa kakubwa na kanaweza kukabiliana na dudu, “eti baba Higgy zile ped za kunukia zipo?” na kama ange jibiwa zipo utasikia, “safari hii nitanunua hizo” kutokana na hayo kwa kweli mzee Frank aliomba sana mwanae apate mwanamke ambae hatompasua kichwa kwenye maisha, hivyo hivyo kwa mama Higgno nae alikuwa na uchungu na mwanae kuliko hata mume wake, hakupenda imtokee kama yaliyotaka kumtokea kwa mschana Joan.
Kwa ujumla wazazi hawa wa Higgno walikuwa wanaisubiri kwa hamu iliyochanganyika na hofu siku ya kesho siku ya jumatatu, japo Higgno aliwaambia kuwa ana uhakika mkubwa wa kupata kazi kwasababu alisha ahidiwa na mzee Mahmud.*****
Upande wa mzee Komba ambae alikaa nyumbani akisubiri mke wake arudi na kumgea matokeo ya kwa mganga Mabudi na kuona anachelewa, hivyo akaamua ajisogeze kwenye moja ya kilabu cha ulanzi akagongee kinywaji hicho ambacho ukiingia google unaweza kuutafuta kwa jina la baboo juice , hivyo mida hii ndiyo mida ambayo mzee Komba alisogea kwenye moja ya kilabu cha pombe hiyo pekee yenye jina la kizungu tanzania, , akipokelewa na rafiki zake wakina Nyoni ambao baadhi yao walikuwa na wake zao, hakujua kama binti yake Hilda alikuwepo nyuma ya kibanda hicho hicho anakunywa ulanzi huku ana fanyiana michezo ya kimahaba na jamaa aliekuwa ameka nae jirani.
Mzee Komba alijiunga na wenzake na kuanza kunywa pombe, “vipi bwana Komba mbona peke yako shemeji umemuacha wapi?” aliuliza bwana Ngonyani, “ameenda kumuona yule mdogo wake wa makambi anaumwa kidogo” alisema Komba huku ana pokea kopo la ulanzi na kupiga funda tatu za kutolea uoga kwa raha zake, hakujua shughuri anayoipata mke wake huko Linjumbwi kwa babu Mabudi.******
Soraya aliingiza gari ndani ya nyumba yao na kushangaa akikuta watu na magari mengi sana, mwanzo alidhania kuwa watu wale walikuja baada ya kusikia kilichomtokea yeye, kwasababu alisikia wakati mmoja wa watekaji akipiga simu kwa baba yake, na alizidi kuamini hivyo mara baada ya kuona watu wakishangilia kuwa Soraya amesharudi, lakini aliingiwa na mashaka mara baada ya kupokelewa na wanawake wawili ambao walimpitishia mlango wa nyuma, na kilichomtilisha mashaka ni harufu ya vyakula vya kila aina, na alipofika upande ule wa nyuma aliweza kuona majungu makubwa makubwa na yaliyokuwa yameshaipuliwa tayari kuandaliwa kwa kuliwa, “hivi hapa nyumbani kuna nini, mbona kama kuna sherehe fulani?” aliuliza Soraya akiwauliza wale wanawake wakati anaingia ndani kwa mlango huo wa nyuma akipishana na Talib, ambae nyuma yake walikuwepo Subira na Laylah, Talib alimkata jicho moja kali sana Soraya, endapo Soraya angeliona kama alivyoliona Laylah basi hapo hapo angeanza kumtilia mashaka binamu yake huyu, “da’ Soraya pole jamani, hawaja kuzuru hao washenzi?” aliuliza Laylah huku anamshika mkono Soraya na kuzidi kuongozana nae kuelekea chumbani kwake, “Laylah, unaweza kuniambia hapa nyumbani kuna nini mbona kama…” aliuliza Soraya pasipo kuitikia ile pole huku wanaingia chumbani, “kuna watu wameleta barua ya posa kwaajili yako” alisema mmoja kati ya wale wanawake wawili, hapo Laylah na Subira wakashtuka na kumtazama yule mama mropokaji wakiamini kuwa hali itabadilika mara moja na kuzua mtafaruku, lakini wakashangaa kuona Soraya ana tabasamu, “hoo! kweli! sasa mbona hawakuniambia mapema” aliuliza Soraya akiwa katika uso wa tabasamu, kabla hajabadilika ghafla na kumtazama Laylah, “mh! mbona hakuniambia! au aliongea na mama ile juzi?” aliuliza Soraya na wote wakatazama kwa mshangao, “kwa kweli hata mimi sijui” alisema Laylah, “sasa amekuja nani au baba yake?” aliuliza tena Soraya, akiwa amesimama kati kati ya chumba chake, “Soraya bora ujiandae haraka, si unajua wageni wameshafika muda mrefu” alisema mmoja kati ya wale wanawake wawili walioandaliwa kumuandaa Soraya.
Hapo wakina Laylah wakatoka mule chumbani na kumuacha Soraya akiingia bafuni kuoga ili kujiandaa kwa shughuri ambayo inamfanya kuwa mchumba wa mtu.******
Kuna kitu ambacho sidhani kama hata mama Hilda mwenyewe alielewa ni kwanini imekuwa vile, maana licha ya kupewa dudu kiasi cha kitumbua chake kuwaka moto lakini baada ya kulala kwa dakika thelathini yeye mwenyewe akaanza kujihisi kutamani tena dudu ya babu Mabudi ambae alikuwa nje ya banda na yeye amelala juu ya ngozi ndani ya kibanda mtupu kama alivyozaliwa, amelala chali na kuchanua miguu.
Mama Hilda alijaribu kuvumilia kwa dakika kumi na tano nyingine lakini alijikuta akizidi kutamani dudu, “babu unafanya nini huko nje unaniacha peke yangu ndani” aliuliza mama Hilda kwa sauti ya uchokozi, “nimekuacha upumzike mwanangu, si ulilala?” aliuliza babu kwa sauti ya mtego maana alishajua kuwa lazima mama Hilda angedai dudu muda sio mrefu, hata yeye mwenyewe tayari dudu ilishatutumka dakika ishirini zilizopita kwasababu ya ule mzizi “kwani na wewe umechoka?” aliuliza mama Hilda huku anajichekesha chekesha ungesema ndiyo kwanza amepandwa na nyege, utadhani hajaguswa bado, “umesikia mbuyu una lala kirahisi hivyo?” aliuliza babu kiutani huku anacheka cheka, “mmh! we muongo kufanya kote huko bado hujachoka, kama kweli njoo unionyeshe” alisema mama Hilda huku ana tanua miguu zaid na kuachamisha kitumbua chake kwa lengo la kuzidi kumtamanisha babu, hakujali maumivu aliyo kuwa nayo ndani ya kitumbua chake.
Ni kweli babu aliingia ndani na kukuta mama Hilda akiwa amechanua miguu kama anajiandaa kujifungua, yeye hakuwa na haraka wala papara, kwanza alienda kwenye mtungi wake na kutoa chupa fulani yenye maji ya kijani ndani yake, ambayo alipoyafungua na kumsogelea mama Hilda na kuyamiminia kwenye kiganja cha mkono wake yakaonekana kuwa yana lenda lenda kama mlenda, akayapaka kwenye kitumbua cha mama Hilda huku akitumia vidole vyake kuingiza ndani ya kitumbua cha mwanamke huyu, dawa hii hutumika kuwasaidia wanawake wanapojifungua kwa mara ya kwanza.
Mpaka hapo mama Hilda alishajua nini kinachofuata, ni kupewa dudu kwa kwenda mbele, na baada ya kumaliza kumpaka dawa hiyo babu akatupa kile kijinguo chake na kuacha wazi dudu yake iliyosimama barabara, kisha akashuka chini na kuzama kitumbuani kazi ikaanza upya.*****
Naam nyumbani kwa tajiri Mahamud watu walikuwa wameshamaliza kula chakula walichoandaliwa katika siku hii ya pekee, na kila mmoja sasa alikuwa amekamatia bilauri ya kinywaji alichohitaji aletewe, kama soda, juice au maji, ilimradi kila mmoja alikuwa ameshika kinywaji mkononi mwake, huku maongezi ya hapa na pale yakiendelea, hakukuwa na ule utaratibu wa Soraya kuandaa chakula kwa mchumba mtarajiwa kwasababu bado barua haikutolewa, yaani dhumuni la ujio ule bado lilikuwa halijawekwa wazi,
Sasa uliwadia ule wakati wa mwenyekiti kusema kitu ambacho kiliwaleta mahali pale, yaani lengo la ujio waopale nyumbani kwa Mahamud, “assaalam alaykum” alisalimia mwenyekiti, “waalaykum salaam” na watu wote wakaitikia na utulivu ukapatikana huku mzee Mahadhi na mwanae Idd wakiingiwa na mcheche wa kuona Soraya anakuwa mchumba rasmi wa Idd, “ndugu zangu nadhani sasa ndio muda muafaka wa kueleza kile ambacho kimetuleta hapa kwa bwana Mahamud, na kabla ya yote naomba nijitambulishe kwenu kwa wasio nifahamu mimi ni mwenyekiti wa baraza la wazee la dini hapa mkoani Ruvuma” alisema mwenyekiti kwa sauti iliyojaa ucheshi, huku wengine wote wake kwa waume wakimsikiliza akijitambulisha, ambao walikuwa wamejitenga kwa makundi mawili, yaani wanawake kwao na wanaume upande wao, lakini Soraya hakuwepo eneo hilo, “bwana Mahamud, nadhani unafahamu kila penye mauwa mazuri lazima nyuki watazengea zengea, hivyo kijana wetu Idd bin Mahadhi katika pitapita yake amemuona binti yako na kutuomba tuje kuleta ujumbe maalumu wa kuhitaji kutimiza ibada ya ndoa, kama ujuavyo tumeagizwa kuacha zinaa na kuishi na wake kwa kufunga nao ndoa” alisema mwenyekiti, na hapo vikasikika vigeregere vingi toka upande wakina mama, “kwa kusema hivyo bwana Mahamud tumeleta barua ya posa tukiambatanisha na kiasi cha shilingi elfu ishirini ya barua, naomba ipokelewe” alisema mwenyekiti na hapo ikatolewa barua iliyofungwa kwenye kitambaa cheupe.
Hapo Idd na baba yake wakatazamana huku nyuso zao zikitawaliwa na tabasamu, “assalaam alaykum ndugu zangu” hapo ikasikika sauti ya kiume na akasimama mzee moja wa upande wa mzee Mahamud, watu wote wakamtazama yule mzee huku wakijiuliza anataka kusema nini, waalaykum salaam” wakaitika wote kisha wakatulia kusikiliza anachotaka kusema, “kwanza kabisa naomba nijitambulishe kwenu, mimi ni mjomba wa Soraya, kwa upande wetu sisi wangoni licha ya misingi ya dini, lakini hatuwezi kuacha utaratibu wa kimila” alisema yule mjomba ambae kiukweli alikuwa ni ndugu wa mama Soraya lakini sio kwa kuzaliwa, hivyo alifika pale kama muwakilishi wa upande wa wajomba wa mchumba mtarajiwa, watu wote kimya wana msikiliza mjomba, Mahadhi na mwanae hawa kuwa na wasi wasi, maana waliamini kwa ujumbe ule wa wazee wa baraza tena la mkoa pasinge haribika kitu, “kwanza tuna shukuru kwa ujio wenu na tuna wakaribisha kwa moyo mkunjufu, pili ni kweli kabisa hapa kwa shemeji yangu kuna mschana mkubwa anaefaa kuolewa, na bado aja bahatika kuolewa wala kuchumbiwa” alisema mjomba na kuwapendezesha Idd na baba yake ambao walitazamana na kujikuta wana tabasamu kwa pamoja na kupeana ishara za kuondoana wasi wasi kuwa mambo yapo vizuri, “ukweli ni jambo la Kheri kwa binti yetu kuletewa barua ya posa” kauli za mjomba zilionekana kuwa furahisha watu waliokuwepo mahali pale, huku Laylah aliekaa kwenye kundi la wakina mama akionekana kukosa amani kwa boss wake kuchumbiwa na mtu ambae siku chache zilizopita alijaribu kumlewesha ili ambake.
Kumbe hapo Talib hakuwepo kabisa katika eneo hili, na hatujui kama yupo chumbani kwake au laa, kama mulivyosema kuwa kijana wenu katika kupita pita alimuona binti yetu na kuja kumchumbia, na sio kwamba aliambiwa hapa kuna mschana bila kumuona ndiyo akaja kumchumbia, “si ndio hivyo jamani au nimekosea?” aliuliza mjomba na kila mmoja akaitikia kwa sauti kukubaliana na mjomba, “haswaaaa”ndivyo walivyo sikika wakiitikia, hata Idd na baba yake waliitikia hivyo, “basi bila shaka watakuwa wanafahamiana, na kwa utaratibu wetu Soraya mwenyewe atakuja kutuambia kama ni kweli huyu ndie kijana aliekutana nae huko kwenye matembezi, na kwamba tupokee barua yake au sie, na kwa mila na desturi zetu akikataa basi sisi hatutokuwa na mamlaka ya kuipokea barua hiyo” wakati watu wengine mule ndani wakiyachukulia maneno ya mjomba ni kama maneno ya kunogesha shughuri ile, lakini hali ilikuwa ni tofauti kwa watu wanne humu ndani, wakati Laylah akiamini kuwa Soraya alipenda kuchumbiwa na Idd, kwasababu alimuona amefurahishwa na kitendo cha kuletewa barua ya posa, huku Mahamud na mke wake wakijua fika huo ndio wakati wa Soraya kukataa na kuanza kuweka vikao na wazee wa baraza,
ili kumshawishi akubari kuchumbiwa na kijana ambae hata wao walifahamu kuwa sio kijana mwema kwa binti yao, wakina Mahadhi na mwanae wao walianza kunong’onezana, “unaona wameshaanza mbinu zao za kukataa posa” alisema Mahadhi, “sawa mila kama sio mbaya inapaswa ifuatwe” alisema mwenyekiti, na hapo ikaagizwa Soraya akaitwe.
Naam dakika moja baadae ndipo walipo muona mschana mmoja mrembo anaingia, hakika kama ulishawahi kuvuta taswira ya uzuri wa soraya, basi muda huu ndugu msomaji utaupata uhalisia, endapo taswira hiyo ya uzuri wa soraya ya mwanzo ukiiongeza mara dufu, hakika hakuna hata mmoja aliesalia pasipo kusisimka mule ndani kwa uzuri wa Soraya, hata baba na mama yake walishangazwa na uzuri wa kupitiliza wa binti yao, ndani ya sekunde kadhaa watu walisahau kwa muda kilichowaleta pale kwa mzee Mahamud na kubakia wakimtathmini Soraya, iwe kwa waume hata wake pia……… ITAENDELEA
TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA AROBAINI NA MOJA
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA AROBAINI: Naam dakika moja baadae ndipo walipo muona mschana mmoja mrembo anaingia, hakika kama ulishawahi kuvuta taswira ya uzuri wa soraya, basi muda huu ndugu msomaji utaupata uhalisia, endapo taswira hiyo ya uzuri wa soraya ya mwanzo ukiiongeza mara dufu, hakika hakuna hata mmoja aliesalia pasipo kusisimka mule ndani kwa uzuri wa Soraya, hata baba na mama yake walishangazwa na uzuri wa kupitiliza wa binti yao, ndani ya sekunde kadhaa watu walisahau kwa muda kilicho waleta pale kwa mzee Mahamud na kubakia wakimtathmini Soraya, iwe kwa waume hata wake pia
…… ENDELEA………
Wote walimshangaa Soraya ambae sio kwamba alipambwa sana, lakini uvaaji na ule uzuri wake wa asili ndivyo vilivyo wachanganya mpaka wazee wa baraza, ambao walikiri kuwa kijana Idd amechagua chombo ambacho walikisindikiza kwa macho mpaka kilivyo kuja na kusimama kati kati ya watu kama alivyoelekezwa na mwanamke aliemsindikiza, huku uso wake alioutazamisha chini kwa aibu ukiwa wenye tabasamu lenye kila muonekano wa furaha, ambayo iliwashangaza hata wazazi wake kwa kuona Soraya anawezaje kufurahia jambo hili la ghafla namna hii, wakati muda mfupi uliopita alikuwa anamchukulia kijana huyu kama mtu hatari sana katika maisha yake, “amemfanya nini mwanangu huyu mshenzi, mpaka amkubari kwa haraka hivi?” aliwaza mama Soraya huku akiingiza imani za kishirikina.*****
Talib, akiwa amechanganyikiwa na kujikuta akimchukia Soraya akaelekea ndani ya ile nyumba ndogo anayokaa huku anajiuliza maswali yaliyokosa majibu, “wamemuachaje huyu mwanamke?” ukiachilia swali hilo kumuumiza kichwa Talib, pia kuna swali jingine ambalo alijiuliza baada ya kufika ndani, “je haja watambua wao ni wakina nani, je hajajua kuwa mimi nahusika, “bora wange kauwa kabla hata ya kupiga simu” aliwaza Talib huku anachukua simu yake na kuiweka sikioni bila hata kupiga, akasikiziliza kwa sekunde kadhaa na kuona hakuna ishara yoyote ya kuita ndipo alipoitazama na kuona kuwa hakuwa amepiga kwa mtu yoyote, “halafu huyu mshenzi nae anajifanya mjanja, anawezaje kumchukua Soraya mjinga mjinga kama huyu ameenda kuuza zake poda huko, halafu anarudi amefulia ndiyo aje kujiweka kwa Soraya” hilo ni jambo jingine ambalo lilikuwa lilimchanganya Talib, ambae alikuwa anamfahamu vizuri Idd na habari zake zote alikuwa nazo.
Talib alitafuta namba ya zido na kuipiga, akatulia kuisikilizia ambapo iliita mpaka inakatika bila kupokelewa, “watakuwa wapi wakina Zido, mbona hawapokei simu” alijiuliza Talib huku anapiga tena, lakini licha ya simu kuita kwa muda mrefu lakini mpaka inakatika haikupokelewa, akarudia tena na tena haikupoklewa, hapo alizidi kuingiwa na wasi wasi, hivyo alichokifanya ni kubadili nguo, akivua kanzu na kuvaa suruali ya jinsi kisha akachukua tsh elfu moja, kuna baadhi ya watu wanaita buku, ambalo ndilo lilikuwa linahitimisha idadi ya fedha milioni kadhaa alizopewa na mjomba wake kwaajili ya biashara ya dagaa na samaki toka ziwa Nyasa, halafu akatoka nje kwa tahadhari kubwa hakutaka mtu yoyote amuone, ni kweli watu walikuwa sebuleni wakishuhudia utoaji wa barua ya posa, ni mlinzi pekee ndie aliemuona Talib, nae ndie msiri wake mkubwa japo hakujua mchezo wa hatari aliokuwa anaucheza kijana huyu mpwa wa boss wake.*******
Hebu turudi sebuleni tuangalie kilichoendelea, sauti za minong’ono zilisikika chini kwa chini, kila mmoja akimnong’oneza mwenzake aliekaa nae jirani, hakika kila mmoja alimtazama Soraya kwa macho ya pekee huku akisubiri kwa hamu kuona na kusikia kinachofuata, japo idadi kubwa ya watu haikuwa na hofu juu ya kile kinacho endelea, maana lilikuwa ni jambo la kawaida kwa mkoa wa Ruvuma, hasa wakazi wa mji huu wa Nduna Songea, Kitu ambacho Soraya hakutegemea ni kukuta watu wengi namna ile pale sebuleni, lakini ukweli ni kwamba hata yeye alijishangaa hakuwa na uoga wala wasi wasi, akili yake ilikuwa ni kumuona mtu ambae anaenda kuwa mchumba wake akiwa na uhakika kuwa uchumba hauto zidi kipindi cha miezi mitatu, tayari atakuwa amesha olewa na kuitwa mke wa mtu ampendae, japo alikuwa anashindwa kuinua uso wake kukabiliana na macho ya watu walipo pale sebuleni, lakini alijitahidi kupiga jicho la pembeni kutazama kama angeweza kumuona mchumba wake mtarajiwa, lakini alijikuta macho yake yakikutana na sura ambazo kuwepo kwao eneo hili ni kama heshima kwao, yaani wazee wa baraza la dini mkoa wa Ruvuma, “mabibi na mabwana naomba sasa tumkaribishe bi’Soraya binti Mahamud, atudhihirishie kile ambacho tunataka kukifanya leo, maana yeye ndie mwenye kutupa kibali cha kuendelea na shughuri hii” alisema mjomba na hapo kikapita kimya kifupi kwa maana ya ukimya mkali, hakuna hata pumzi au kikoozi kilichosikika, kabla hata mmoja kati ya wale wazee wawili, yaani waliopanda gari la bwana Mahadhi hajasimama na kuweka pingamizi lake, “samahani kidogo, jamani kabla hatujaendelea, nina jambo nataka kuongea” alisema yule mzee na watu wote wakageuza vichwa vyao kumtazama, “ok! sawa, lakini tukumbuke kuwa kuongea kwingi ni kuchelewesha shughuri hii ambayo ingependeza kama mida ya alaasiri tukisalia majumbani kwetu, yaani tuwe tumeshamaliza” alishauri mwenyekiti na watu wote wakakubali kwa kuitikia kwa kichwa, “ni jambo fupi ambalo kama litawapendeza itasaidia katika kufupisha hili jambo” alisema yule mzee ambae alikuwa amekaa karibu kabisa na bwana Mahadhi, “sawa lete maneno” alisema Mwenyekiti ambae hupenda kuingiza maneno yanayo ashiria utani, na yule mzee akaanza kuongea, “ndugu zangu tuliokusanyika hapa, hamuoni kama kuingiza swala la kimila wakati hapa tumekutana waumini wa dini mmoja ni kama tunachanganya mambo, kwanini tusifanye kama walivyofanya maswahaba” alishauri yule mzee na hapo ikazuka minong’ono ya chini chini, mingi ilikuwa ikikosoa ushuri ule kasoro sauti moja ya juu iliyosikika, “swadakta tusifanye mambo kuwa marefu” ilikuwa ni sauti ya bwana Mahadhi, lakini mjomba alipingana na swala hilo, “sidhani kama itakuwa vyema kwa binti pekee wa dada yangu kukosa kufanyiwa mambo muhimu ya kimila na desturi, maana akikosa huyu hatuto kuwa na mwingine wa kumfanyia hivyo, kwa hiyo ndugu zangu naomba muvumilie kidogo, kama ni swala ya alaasiri munaweza kuswali hapa nyumbani kuna eneo la kutosha na maji mengi sana” alisema mjomba na baadhi ya watu wakamuunga mkono kwa sauti za chini chini, “haya mjomba tumekusikia, tunaomba kipengele hicho kifanyike” alisema mwenyekiti.
Naam hapo ndipo mjomba wa Soraya akamtazama mpwa wake na kumuambia, “mjomba kuna wageni wamekuja kuleta barua ya posa, na sisi hatuna uwezo wa kukubali au kukataa, maana wewe ndie unaeenda kuolewa, hivyo tunaomba utuhakikishie kama ni kweli huyu ndie mlengwa wako, maana tusije kupokea barua ya mwanaume mwingine kumbe sie mliekutana na kukubaliana” alisema mjomba, pasipo kujua kuwa maneno yake yalianza kujaza hofu kwa baadhi ya watu mule ndani hasa Mahadhi na mwane Idd, ambao kila mmoja alimtazama mwenyezake na kuonyesha macho yaliyojaa chuki kwa mjomba alieanzisha swala lile.
Hapo Soraya aliinua uso wake na kutazama kushoto na kulia kisha mbele yake na nyuma yake, akarudia tena mara mbili mbili, kabla haja mtazama baba yake ambae alikwepesha macho yake, akaona isiwe shida akamtazama mama yake pia akainamisha sura yake akiwa na maana ya kukwepesha macho yake, wakati huo watu walikuwa wanaanza kushangaa kwa kitendo cha Soraya kutazama upande aliokaa Idd bila dalili za kumuonyesha, hapo ikazuka minong’ono mingine, huku baadhi ya wazee wabaraza wakijaribu kumkazia macho Idd ili kumpa ishara Soraya kuwa mchumba wake mtarajiwa yupo pale, “mjomba kama umeshamuona mkwe wetu mtarajiwa basi tunaomba umsogelee na kumgusa bega” alisema Mjomba na hapo Soraya akamtazama tena baba yake ambae alikwepesha tena Macho.
Mapigo ya moyo ya Idd na baba yake yalikuwa yakinda kasi na kusabisha msukumo mkubwa wa damu, ambao ulifanya kisaidizi chake yaani maji maji yaliyopo mwili kwa wawili hawa, ambayo huitwa Jasho kuanza kutoka nje ya miili yao, hasa maeneo ya usoni na sehemu za siri, walihisi vijasho vyembamba vikiwachuruzika huku jasho la Idd likitoa harufu ya pombe kali, macho yao yakimtazama Soraya ambae alionekana kama vile hakujuwa la kufanya au akumuona aliemtarajia, “inaonekana leo mchumba amependeza zaidi mpaka bi’Soraya amemsahau” alitania mwenyekiti wa baraza la wazee, na watu wakacheka kidogo kwa utani wa mwenyekiti, safari hii hata Idd na baba yake pia walijikuta wanacheka kidogo.
Kwa kusikia hivyo Soraya akainua tena uso wake na kutazama kushoto na kulia nyuma na mbele, akimalizia kwa baba yake, ambae alikwepesha tena macho kwa mara ya tatu, hapo Soraya akaduwaa asijue nini kinaendelea, “Soraya umeshindwa kumuona, hebu angalia kushoto kwako kwa wale wazee watatu” alinong’ona yule mwanamke msindikizaji, hapo Soraya akatazama haraka upande ule, kila mmoja akajua kuwa tayari Soraya amesha muona Idd na atamtaja sasa hivi, baba yake akafumba macho kwa fadhaha akijua kuwa tayari mwanae anamtaja Idd kuwa ndie mchumba wake mtarajiwa, hali hiyo ilikuwa hivyo hata kwa mama yake, huku Idd na baba yake pamoja na wale wazee wawili ambao walihisi kuwa Mahamud huwa anamshawishigi mwanae kukataa kuchumbiwa wakatabasamu kwa imani kuwa Soraya anamtaja Idd, “mbona simuoni?” aliuliza Soraya kwa sauti ya kunong’ona pia, huku anajitaidi kutazama vizuri upande alioelekezwa na yule mwanamke, “hujamuona tu?, hebu tazama vizuri, kati ya wale wazee watatu kulia kwao si kuna yule kijana” alielekeza mwanamke yule, na hapo macho ya Soraya yakatuwa kwa Idd, ambae macho yao yalipokutana na macho ya Soraya akaachia tabasamu pana, patamu hapo ila nasikitika kusema kuwa ...ITAENDELEA...