TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA ALOBAINI
MTUNZI
Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA THELATHINI NA TISA: “samahani bwana, msamehe bure huyu mzee mwenzio ameghafirika kidogo, hebu tujuze kidogo kulikoni” alisema mwenyeti kwa sauti iliyojaa busara, “ni kwamba binti wa bwana Mahamud, yaani Soraya ametekwa akiwa shambani alikokuwa ameenda asubuhi ya leo” aliongea yule mzee na hapo akajikuta anasababisha sinto fahamu, ambayo ilipokelewa na kicheko cha dharau na ung’amuzi toka kwa mzee Mahadhi na wale wazee wengine wawili waliokuwa wanajadili pamoja ndani ya gari la bwana Mahadhi wakati wakiwa njiani wanakuja, “eti ametekwa, munaona jamani” alisema mzee Mahadhi ….. ENDELEA……
Na kumfanya mwenyekiti ashikwe na fadhaha, “bwana Mahadhi tafadhari kuwa na staha kidogo” alisema mwenyekiti, na mahadhi akatulia kidogo, hapo mwenyekiti akamtazama yule mjumbe toka ofisini, “imekuwaje kuwaje bwana, hebu tufafanulie kidogo” alisema mwenyekiti ambae ni kama alishangazwa na mwenendo wa jambo lile, kwasababu akimuangalia mahadhi na wenzake ni kama walishaanza kutia shaka juu ya jinsi mambo yalivyokuwa yanaendelea, wakati hapa anaelezwa kuwa kuna tukio la kutekwa kwa mschana mlengwa, hapo yule mjumbe akaanza kueleza jinsi ilivyokuwa, kuanzia mama Soraya alivyo leta simu akisema kuwa anajuta kupokea simu ya mume wake, mpaka mzee Mahamud kusikiliza simu ile toka kwa watekaji walio agiza fedha apewe Talib ili azipeleke sehemu watakayo muelekeza, huku wakisisitiza kuto kutoa taarifa kituo cha polisi, “sasa kwanini leo Soraya alienda shambani wakati ni siku yake muhimu?” aliuliza mwenyekiti huku wakina Idd na baba yake wakiitikia kwa kutikisa vichwa vyao kwa kuona kuwa lilikuwa swali ambalo linge umbua janja ya mzee Mahamud, “hilo siwezi kulitolea majibu, pengine Mahamud anaweza kulifafanua, lakini pia nadhani wakati huu sio wa maswali mengi, na baada yake tuungane kwa pamoja kumuomba mungu amnusuru Soraya binti Mahamud toka kwenye hiyo mikono hatari ya majahil” alimaliza mjumbe na kuondoka zake kurudi ofisini, huku nyuma yake akimuona kijana mmoja anakuja akiwa amebeba mkoba, nae akafuata kule ofisini, “anko, kama huyu mtu anachelewa bora muambie nikutana nae njiani, wanaweza kumuua da Soraya endapo tutachelewa zaidi” alisikika Talib akishauri, wakati mjumbe anaingia, “eti eeh, umesema kweli Talib, bora uondoke na gari langu ukakutane nae njiani” alisema Mahamud huku anachukua begi dogo na kuanza kuweka yale mabunda ya fedha yaliyokuwepo mezani, nimeshafika mzee, alisema yule kijana aliekuwepo nyuma ya mjumbe aliekuwa anatokea sebuleni, wote wakamtazama yule jamaa nyuma ya mjumbe, wakamuona akinyoosha mkono kumkabidhi Mahamud begi dogo jeusi, ambalo Talib alilipokea haraka sana na kumpa Mahamud, nae alilipokea huku ana onyesha wazi kuwa katika majonzi mazito juu ya mwanae Soraya.
Wakati Mahamuda anafungua lile begi na kuanza kuzihesabu zile fedha za awamu ya pili, huku Talib alikuwa anaweka zile millioni nane kwenye begi haraka haraka, huku kichwani mwake anawaza jinsi mjomba na shangazi yake watakavyo kuwa wanamlilia binti yao wa pekee, ambae watamkuta amesha uwawa, wakati yeye atakuwa anafaidi zile fedha na ambazo alikuwa anaziweka kwenye begi, alipomaliza akamtazama mjomba wake ambae alikuwa anazihakiki zile fedha, “hizi hapa” alisema Mahamud, huku anampatia Talib ambae alizipokea kwa haraka zile fedha na kuziweka kwenye begi kisha akafunga zipu na kulipachika begi mgongoni, na kutaka kuondoka, “we Talib, sasa unazipeleka wapi?” aliuliza Mahamud kwa mshangao hapo Talib ambae alionekana kama ana haraka sana akageuka na kumtazama mjomba wake kwa macho ya mshangao, “si nazipeleka au umeghairi, maana tukichelewa watamuuwa” alisema Talib kama amepagawa, “sasa utaijuwaje sehemu waliyopo, subiri niwapigie ili tujuwe utawakuta wapi na uhakikishe unarudi na Soraya” alisema Mahamud huku ana bofya simu yake na kuipiga kwa watekaji, hapo watu wote wakatulia na kusikiliza maongezi yatakavyo kuwa, huku Talib akiwa tayari na begi la fedha mgongoni akisubiri kuambiwa aondoke, japo tayari alikuwa anajua fika sehemu ya kwenda kuonana na watekaji, ila ilimlazimu kutulia kimya.
Simu iliita bila kupokelewa mpaka ilipokatika yenyewe, “mbona hawapokei tena hawa jamaa” alijiuliza Mahamud, huku anapiga tena, “hawa wajinga mbona hawa pokei simu” aliwaza Talib, ambae aliona kama anacheleweshwa hivi, kumbe wakati huo tayari Laylah baada ya kumaliza kuongea na Soraya yeye na Subira wakaelekea kwenye chumba cha wageni, ambacho mama Soraya alikuwepo ndani yake pamoja na wakina mama wawili na wafanyakazi wawili wakike, na alipomuona Laylah, mama Soraya alilipukwa na kilio, “Laylah mwanangu! umemuacha mwenzio ameshikwa na majambazi” alisema mama Soraya kwa sauti iliyoambatana na kilio, hakika alishikwa na uchungu mkubwa sana, “mama mwenzako Soraya ameshaokolewa” alisema Laylah, akionyesha uso mchangamfu, hapo mama Soraya akakata kilio ghafla huku yeye na wale walikuwepo mulendani wakimtazama Laylah, kwa macho ya kiulizo, “weee unasemaaaa!?” aliuliza mama Soraya kwa sauti ya mshangao iliyochanganyika na kuto kuamini alichokisikia toka kwa Laylah, “ndio mama, nimeongea na da’Soraya yupo njiani anakuja” alisma Laylah, na hapo mama Soraya akainuka kama vile amepagawa na kukimbilia nje ya chumba kile moja kwa moja akakimbilia sebuleni na kuwakuta watu kibao, “baba soraya baba baba soraya” aliita kwa sauti ya shangwe huku anatazama huku na huku, lakini hakumuona mume wake, akaalekea kule ofisini huku akifuatiwa na wakina mama kadhaa pamoja na Subira na Laylah.*****
“Kum… inawaka moto jamani, inawaka moto babu tupumzike kidogo” ndivyo ambavyo ungeweza kusikia sauti hii ya mwanamke mtu mzima, alieonyesha kuzidiwa na kazi fulani mzito na ngumu, endapo ungepita nje ya kibanda cha babu Mabudi kwa wakati huo, “ngoja kwanza kidogo, karibu namaliza” hivyo ndivyo ungesikia endapo ungeamua kutulia na kusikiliza jibu la aliekuwa anaambiwa, ilikuwa ni sauti ambayo isingekupa shida kujuwa kuwa ni sauti ya kibabu kikongwe, (mbuya mundu) na hapo ungesikia yule mama akisema, “haya babu maliza babu tupumzike, mwenzio kuna waka moto” mpaka hapo nadhani ungetamani kuchungulia ndani ya kibanda hiki chenye nyufa nyingi sana na kubwa ili kuona nini kilikuwa kinaendelea ndani ya chumba hicho, japo tayari ulishahisi kinachoendelea, hapo ungeona jinsi mama Hilda alivyokuwa amelala chali yaani kifo cha mende, huku babu Mabudi akiwa juu yake ameishilikia miguu ya mama Hilda aliyoibana mabegani kwake kwa nguvu huku ana pump nje ndani kama vile alikuwa anatwanga mpunga au kuchana mbao sambamba na kilio cha “mhh! mhh! mhh!” toka kwa mama Hilda, kila babu alipotwanga na kuikandamizia kwa ndani, “babu kojoa basi mpenzi” alilalamika mama Hilda kwa sauti ya kukata tamaa, “nakojoa mama bado kidogo zipo njiani” alijibu babu Mabudi huku akiendelea kukandamizia kwa ndani kama anasukuma gari kwa kiuno.
Dakika tano baadae wakiwa Katika wimbo wa “babu maliza basi” toka kwa mama Hilda huku muitikiaji, babu Mabudi akijibu kuwa, “zipo njiani namaliza sasa hivi?” sasa babu akawaita wazungu nao wakashuka na kumfanya babu aheme kwa nguvu akiwa juu ya kifua cha mama Hilda, ambae alikuwa ametulia chini ya babu huku dudu ikiwa ndani inajikamua, baada ya sekunde kadhaa babu akatoka kifuani kwa mama Hilda yaani mke wa mzee Komba na kumfanya dudu iliyolegea nusu kuchomoka toka kitumbuani, huku mama Hilda akiisikia kabisa inavyochomoka, maana ilikuwa ina sugua kuta kavu zlizochubuka na kumletea maumivu ya muwasho, “yaani we babu ni kiboko” alisema mama Hilda, huku anajiinua na kukaa kitako hakukumbuka hata kipande cha kanga, akachukua kikombe cha maji na kuyagugumia kwa fujo, ungesema ana kiu ya jangwani, na alipokiweka kikombe juu ya ngozi, akajilaza tena chali akitanua miguu yake, kiasi cha kitumbua kuachama kama mdomo wa kiboko kuruhusu hewa ipite na kupooza kitumbua kilicho kuwa na hali mbaya kwa maumivu, akionekana yupo hoi huku babu yeye akianza kufakamia makande kwenye sahani, huku mara moja moja anatazama kitumbua cha mama Hilda ambacho kilikuwa kime muachamia, akimuhesabia dakika za yeye mwenyewe kuomba tena mchezo, kwasababu alijuwa fika kuwa ile juice ambayo aliinywa kopo zima isinge muacha salama.*******
Upande wa kijana Higgno, baada ya kuona yule mschana mwarabu amesha ondoka, na gari lake, hapo akaanza kupambana kwa nguvu kwa lengo la kuwalegeza ili aweze kuondoka eneo lile, ndipo alipoanza kupambana kwa nguvu, kumbe hata wale jamaa nao tayari walikuwa mwamesha ona kuwa Higgno alikuwa ni habari nyingine, hasa Vitus alishangaa sana, kuwa kijana yule waliemnyanyasa kiakili kumbe ni mtu mmoja hatari sana, maana kila walipojaribu kumvamia kwa pamoja alimkwepa mmoja na kumpiga mwingine tena ngumi ya maana, mpaka Vutis alipomuona Zido anaanza kutimua mbio kueleka kule walikoliacha gari lao na wale wengine pia kuona hivyo nao wakatimua mbio kuwahi pikipiki zao, hapo Vitus nae akaona bora na yeye awahi kwenye gari, “poa dogo si unajifanya mjanja utaona” alisema Vitus, wakati anakimbia kwa nguvu sana, hawa kukumbuka simu iliyodondoka ambayo sasa ilikuwa inaita.
Higgno aliweza kuwaona wale jamaa wakiondoka na pikipiki zao zilizolifuata gari lao kwa speed ya ajabu, ndipo na yeye akaamua kuondoka zake na wakati huo akaiona simu ikiwa chini, akaiokota na kuitazama akaona kulikuwa na miseed call mbili ambazo hakuangaika nazo, akaiweka simu mfukoni na kuanza kutembea kueleka mtoni ambako aliacha nguo zake, akiwa na lengo la kwenda kuoga kisha achote maji na kuelekea shambani kwake.
Ukweli Higgno alimtambua yule mschana na kumkumbuka kuwa ni yeye yule yule aliewahi kumuokoa mwaka 98, pale chuo cha ualimu, “mh! amezidi kuwa mzuri” aliwaza Higgno ambae alishangaa kwanini hakuwahi kumuona tena kwa miaka yote hii, japo lile gari alishawahi kuliona mara kadhaa mjini, “dah, kuna watu watakuwa wanajifaidia tu!” aliwaza Higgno, huku likimjia umbo zuri la mwanamke yule ambae ukiachilia sura yake nzuri, pia mschana alijaaliwa maziwa mazuri ya yaliyosimama vyema na kutuna kifuani kwake, huku kiuno kikiwa chembamba vile vile, ila hips na makalio yalionekana kuongezeka kidogo, Higgno hakuhitaji sana kumuwaza yule mschana maana aliona kama vile anakiuka amri ya saba kuwa usitamani mwanamke asie mke wako.*******
Naam ndani ya ofisi ya Mahamud mule ndani ya jumba lake, Mahamud akiwa amesha piga, simu mara mbili kwa wale watekaji bila kupokelewa, akaonekana kuchanganyikiwa huku Talib akishangaa kwanini wakina Zido hawapokei simu, hakika alitamani amuambie mjomba wake kuwa yeye aondoke akawatafute mbele ya safari, “pengine hawapokei simu wanahisi umewaambia polisi” alishauri Talib, “sasa wewe utawatafutia wapi?” aliuliza Mahamud ambae aliona kama vile Talib anaweza kuwa msaada wake katika kumpata mwanae, “anko mimi ni mtoto wa mjini nitawanasa tu, isitoshe mji wenyewe mdogo tu!” alionge Talib kumshawishi mjomba wake, “ok! we nenda lakini uwe unawasiliana na sisi mara kwa mara ilitujue kinachoendelea” alisema Mahamud, na Talib ambae alipanga akitoka tu awapigie simu jamaa zake kuwauliza kulikoni hawapokei simu, akanza kutoka huku moyo wake umchanua kwa furaha kubwa sana, lakini kabla hata hajafika mlangoni Talib nusu apigane kikumbo na shangazi yake aliekuwa anakuja mbio mbio, “baba Soraya baba Soraya” hapo Talib akarudi ndani kumpisha shangazi yake ambae aliongozana na wakina mama wengine pamoja na wakina Laylah, “Soraya ameachiwa anakuja nyumbani” alisema mama Soraya kwa sauti ya shangwe na kusababisha mlindimo wa shangwe mule ndani, huku Talib akishikwa na mshangao wa fahadha akatamani akimbie lakini tayari wakina Layla walikuwa wameziba mlango, “unasema kweli mke wangu?” aliuliza Mahamud, kwa sauti ilyojaa mshangao wa kuto kuamini, “ndio mume wangu ameongea na Laylah, muda sio mrefu” aliongea mama Soraya akiwa mwenye furaha iliyozidi kipimo, furaha ambayo alimuambukiza mume wake ambae alimkumbatia mke wake kwa furaha, huku Talib ambae alikuwa na begi lake mgongoni akihisi miguu inakosa nguvu.
Kitendo cha wawili hawa kukumbatiana kiliwasisimuwa sana watu wote waliokuwepo mule ndani, kasoro Talib peke yake ambae sasa ni kama ilikuwa zamu yake kuingiwa na huzuni, kitendo kile Laylah alikiona na kuingiwa na mashaka, akijumlisha na ile juice aliyopewa akajumlisha na kipisi cha kitu kama tumbaku alichokikuta ndani kwake, lakini Laylah hakuwa na uwezo wa kusema chochote au kuthibitisha mashaka yake juu ya jambo hilo, “hatimae fedha zimepona” alisema mmoja kati ya wale wazee walioningia mule ofisini toka mwanzo, kauli ambayo ilimkera sana Talib, ambae alikuwa anajiuliza muda wote kuwa wakina Vitus wamemuachiaje Soraya, “fedha sio kitu, nashukuru kama kweli mwanangu yupo mzima” alisema Mahamud, huku anaachiana na mke wake aliekuwa amekumbatiana nae, “washenzi sana ole wao kama tunge wajuwa wangeozea jela” alisema mama Soraya kwa hasira,
Hapo mzee Mahamud akachukua begi lake lenye fedha toka kwa Talib, na ambae alilitoa kwa unyonge sana utadhani ni fedha zake anadhulumiwa, huku Laylah anazidi kumsoma Talib jinsi alivyokuwa anazidi kunyongea na kushindwa kumuelewa kwanini anakuwa vile, “mh! unajua mke wangu bado siamini kama kweli Soraya amesha achiwa, hebu kwanza nimpigie” alisema Mahamud huku anabofya simu yake na kumpigia Soraya, lakini simu iliita bila kupokelewa, hapo mashaka yakaanza upya, Mahamud akamtazama Laylah, “una uhakika kuwa umeongea na Soraya” aliuliza mzee Mahamud huku Talib akianza kuingiwa na matumaini kuwa pengine taarifa za Laylah zilikuwa ni za uongo, na aliombea iwe hivyo, “nimeongea nae baba na amesema yupo njiani anakuja huku nyumbani” alisema Laylah, kwa sauti ya kujiamini, “pengine anandesha gari anashindwa kupokea simu” alisema yule mzee ambae alipeleka ujumbe kule sebuleni, “mh! sawa hebu twendeni tuka wasalimie wageni” alisema Mahamud na wao wakatoka mule ofisini na yeye akafunga mlango wa ofisi yake.*******
Naam kijana Higgno aliondoka na nguo zake na ndoo ya maji kama ilivyo kuwa mwanzo, alifika shambani kwake na kuanika nguo zake huku ile ambayo ilikuwa imeandaliwa kwaajili ya kesho akiianika vizuri kabisa, akaichukuwa ile simu ya wale jamaa na kuiweka kwenye kijimeza kidogo mule ndani mwake na kisha akaingia jikoni na kuanza kujipikilisha na kuendelea kubanika samaki wake ambao alipanga kesho apeleke baadhi yao nyumbani kwao, wakati anaendelea na kazi zake Kijana Higgno, akakumbuka jinsi yule mschana mrembo wa kiarabu aliyokuwa akimtazama wakati anapigana na jinsi alivyo jiamini kuendelea kuwepo pale wakati yeye alipomuambia akimbie, “inawezekana akawa ana nikumbuka?” aliwaza Higgno, ambae alishasahau kuhusu kipigo alichotembezeana na wale jamaa kule shambani kwa mschana wa kiarabu, “kumbe muda wote huu sikujua kama lile ni shamba lake” aliendelea kuwaza Higgno, ambae hakujaribu kuwaza mapenzi kati yake na yule mschana tajiri, maana aliona kuwa yeye na yule mschana ni vitu tofauti, sawa na jivu na sukari.******
Baada ya kuwasalimia wale wageni wake huku Talib akipitiliza chumbani kwake, bwana Mahamud alikaa kwenye sehemu yake na kuanza kuongea, “kwanza kumradhi kwa mtafaruku mulio ukuta hapa nyumbani, kwani kuna tatizo limejitokeza kidogo, japo hatujui hatima yake ila kuna taarifa kuwa watekaji wamesha muachia binti yetu na sasa yupo njiani anakuja, na hatujui wamemachiaje na usalama wake upo kwa kiasi gani” alisema Mahamud, “lakini bwana Mahamud, ilikuwaje ukamtuma binti yako shambani wakati unajua fika kuwa leo ni siku muhimu kwake?” aliuliza mwenyekiti, huku mzee Mahadhi na wengine waliokuja nao wakitega sikio kusikiliza jibu la swali hilo, “nadhani hatuwezi kurudia maongezi, nadhani muna kumbuka niliwaambia kuwa swala la ushawishi ni la kwenu nyie, na hii ni kutokana na tukio lililotokea juzi, hivyo hatukutaka kumjulisha kinacho kuja kutoka leo, pengine angeanza kuleta pingamizi mapema kabisa, ila kwa kuwa litaongelewa mbele ya wazee, najua hakuna kitakacho haribika, ndiyo maana tulimuacha aendelee na ratiba zake huku sisi tukianza maandalizi” alisema Mahamud ambae mara zote wamezoea kumuona kuwa ni mpole kama alivyoonekana wakati anayaongea haya, “ina maana bwana Mahamud umeshindwa kuongea na binti yako na kumueleza kile unachotaka kifanyike mpaka yeye mwenyewe ajiamulie?” aliuliza mmoja kati ya wale waliopanda gari la Mahadhi, ambao katika vichwa vyao waliamini kuwa bwana Mahamud huwa ana kasumba ya kukataa mwanae asiolewe…… ITAENDELEA... Tuvumiliane Jamaa Huku Kwetu Kuna Changamoto Ya Umeme So Kuwasha Data Ni Kwa Kuvizia Chap Napost Nazima.