SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA THELATHINI NA SITA
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA THELATHINI NA TANO: Naam ulikuwa mchana ukawa usiku ikawa asubuhi hatimae siku ya jumapili siku ambayo kuna watu walikuwa wanaisubiri kwa hamu sana, sijakutaja msomaji, ila ni wakina Talib na wenzake ambao walipanga siku hiyo isipite bila kukamilisha mpango wao wa kumteka Soraya, wengine waliokuwa wanaitamani sana siku hii ifike ni Mahadhi na kijana wake Idd, ambao waliamini kuwa ungekuwa mwanzo wa mafanikio ya maisha ya Idd, babu Mabudi pia aliitamani siku hii kwa kuwa ni siku nzuri kwake, kwasababu alitarajia mgeni toka Luhila ambae ni mke wa bwana Komba yaani mama Hilda, wapo pia walio isubiri kwa hamu siku hii kwasababu zao binafsi... ENDELEA
Mida ya saa nne ndio mida ambayo pilika zilianza, ni baada ya Laylah kufika nyumbani kwa kina Soraya yaani nyumbani kwa mzee Mahamud, nyumba ambayo baadhi ya vijana na watu wazima walipenda kupaita ikulu ya mwarabu, akiwa amevalia maalumu kwa safari ya shamba, yaani suruali ya jinsi na tishet ndani ya gauni refu, bila kusahau ushungi kama wavaavyo wanawake wa kiislam, pia chini alivalia viatu vya ngozi vya kudumbukiza.
Naam ile anaingia tu kwenye lango la jumba hili la kifahari, akakutana na babu mlinzi ambae alimpa ujumbe “mjukuu naona ndio unaingia kwa safari ya shamba” aliongea yule babu huku anajichekesha chekesha, “ndiyo babu si unajua safari mapema” alisema Laylah, ambae nae sio wa polepole, kwa maana ya kuwa alikuwa ni mzuri wa sura na umbo, “basi Talib amesema kuwa ukija upitie pale kwake akakuagize huko huko shamba” alisema babu mlinzi, huku akiendelea kujichekesha chekesha, “ok! tena nilishasahau kabisa” alisema Laylah, huku anaenda kwenye nyumba kubwa na kutoa taarifa kuwa ameshafika, ili ujumbe umfikie Soraya halafu akatoka na kulekea kwenye nyumba ndogo inayokaliwa na Talib, kisha akagonga mlango kama mara tatu hivi, ndipo alipo jibiwa na sauti toka ndani, “karibu na wewe” ilikuwa ni sauti ya Talib sambamba na vishindo vya kitu kinachi kung’utwa mfano wa mtu anaefukuza hewa mbaya au vumbi, “kaka talib ni mimi Laylah” alisema Laylah na hapo akasikia vishindo vya mtu akija mlangoni, “hooo! Laylah karibu” alisikika Talib, huku mlango ukifunguliwa na Talib alievalia kijikaptura kifupi bila shati, akatokea pale mlangoni akiwa na glass yenye juice nzuri ya embe, akitanguliwa na harufu nzuri ya marashi ya udi, “asante kaka Talib, lakini mimi sikai sana nimekuja kuchukuwa hayo maagizo, maana muda sio mrefu tunaondoka kuelekea shambani” alisema Laylah huku macho yake yakiikodolea glass ya juice iliyopo mkononi mwa Talib, aliekuwa anaipeleka mdomoni na kuinywa funda moja kisha akatanua mdomo wake na kuruhusu hewa itoke na kumfanya Laylah kumeza mate kwa uchu, “hooo! kumbe ndio munaondoka sasa hivi?” aliuliza Talib akiwa katika hali fulani ya mshangao, lakini iliyochanganyika na furaha fulani, huku anamtazama Laylah na kumuona kama angeingia kwenye mtego wake, akamuona anameza mate ya pili kwa uchu, “ndio tunaondoka sio muda mrefu, si unajua saa saba inabidi tuwahi adhuhuri” alisema Laylah huku akiendelea kuikodolea macho ile Juice ya embe mkononi kwa Talib, “ok! Haina shida basi njoo upate juice kidogo wakati nacheki hela yenyewe” alisema Talib na hapo Laylah akatabasamia moyoni.
Laylah aliingia ndani kwa Talib ambako licha ya miaka mingi aliyofanya kazi hapa kwa mzee Mahamud hakuwahi kuingia, akakaa sebuleni kwenye moja kati ya makochi matatu mazuri, yaliyopo pale sebuleni, na haraka sana Talib aliingia chumbani ambako hakukaa sana akatoka na glass yenye juice kibao akaiweka mezani, “nisubiri kidogo nakuja sasa hivi” alisema Talib, kisha akaingia chumbani akimuacha Laylah pale sebuleni akiinua glass ya juice na kuiweka mdomoni, akipiga funda dogo kama vile anaionja, alisikilizia ladha yake na kujikuta anatabasamu kwa utamu wa juice ile, huku anaisogeza tena mdomoni na kugugumia mafunda matatu kwa mkupuo, kisha akaiweka mezani halafu akaanza kuangalia huku na huku kama vile anakagua mule ndani.*******
Mida hii huko Luhila nyumbani kwa mzee Komba, mama Hilda alikuwa anajiandaa kwa safari ya kwenda Kwendimba kwa mganga Mabudi, “tatizo la nyie wanawake bwana mambo yenu taratibu, hapo utajichelewesha mpaka ukute watu kibao” alisema mzee Komba aliekuwa amekaa kwenye kitanda anamtazama mke wake alikuwa anaendelea kujiandaa, “baba Hilda umeanza jamani, sasa ningeondoka bila kuosha vyombo kuchemsha hiyo mihogo halafu juzi hatukukuta hata watu” alisema mama Hilda yani mke wa mzee Komba, “kwahiyo unataka urudi saa mbili za usiku kama juzi?” aliuliza mzee Komba, “wala sifiki hata saa nane kabla sijarudi” alisema mama Hilda ambae sasa alikuwa ana malizia kuvaa na kuchukuwa upande wa kanga akautundika begani na kuvaa kandambili zake kisha akatoka nje, “jitahidi umsikilize vizuri mganga ili tusikosee mashariti” alisema mzee Komba ambae kama angejuwa kinachoenda kufanyika huko Ngwendemba hakika angemzuia mke wake asiende, “hilo tu wala usiwe na wasi wasi na hivi ninavyo taka kuona wale washenzi wa filisika” alisema mama Hilda, ambae alianza safari mara moja kuelekea huko Ngwendemba kwa mganga mabudi.*******
Mzee Mahadhi Salum akiwa nyumbani na mwanae mida hii alikuwa akiwasiliana na wazee ambao walitakiwa kwenda nae kwa mzee Mahamud kupeleka barua ya posa ya mschana mrembo Soraya, “sasa ngoja nimpigie mwenyekiti maana yule kama hatoenda basi inabidi tughairi, maana bila yule mambo yanaweza kuvurugika” alisema mzee Mahadhi mwenyewe huku anabofya bofya simu yake kutafuta namba ya mwenyekiti wa baraza la wazee, “ila yule mzee nimemkubali kwa jinsi alivyo badili matokeo” alisema Idd ambae huwezi amini kuwa mida hii alikuwa ana chupa kubwa ya pombe kali akijinywea taratibu, “we unadhani kwanini niling’ang’ania kupeleka kwenye baraza, nilijuwa akiwepo mwenyekiti lazima mwarabu aelewe somo” alisema Mzee Mahadhi huku anaibofya namba ya mwenyekiti, “nikifanikiwa lazima niwe namtoa sana yule mzee, maana….” alisema Idd na baba yake akamuonyesha ishara ya kumzuia asiendelee kuongea, “hallow, mwenyekiti assalamu Alaykum ” alisalimia mzee Mahadhi kwa sauti ya uchangamfu, waalaykum salaam, bwana Mahadhi lete habari” alisikika mwenyekiti ambae kiukweli ni mzee wa makamo, “habari kubwa hakuna ila nilikuwa na taka nikukumbushe kuhusu ile safari ya kwenda kwa bwana Mahamud” alisema mzee Mahadhi, “hoo! nakumbuka bwana Mahadhi si tumepanga kukutana baada ya adhuhuri ili tuelekee huko” alisema mwenyekiti, “si unajua tena mchecheto wa kijana wako kila saa ananisisitiza nikupigie simu” alisema Mahadhi akimtupia kesi mwanae Idd, “asiwe na shaka mke ameshampata” alisema Mwenyekiti na hapo wakaongea mawili matatu na kukata simu, kisha Mahadhi akamtazama kijana wake Idd, “sasa hiyo pombe usinywe sana kiasi cha kushtukiwa kuwa umelewa” alisema mzee Mahadhi huku uso wake ukiwa umetawaliwa na tabasamu la furaha za wazi kabisa, “kweli kabisa mzee, hii inatosha hapa nikuondoa harufu tu! ila kama mambo yakienda fresh nikirudi nitapiga mtungi kinyama” alisema Idd kwa sauti ya kupania, “sio yakienda fresh, we jiandae kwa kushangilia mwenyekiti hajawahi kuniangusha” alijinasib mzee Mahadhi ambae alionekana wazi kufurahia kwa tukio la wao kwenda kupeleka barua akiamini kuwa wakitumia mgongo wa dini lazima wangefanikiwa.******
Upande wa kijana Higgno, mida hii alikuwa anatoka kanisani huku njia nzima akiwaza kuhusu kupata kazi na mwanamke mzuri wa maisha yake, hiyo ni tabia yake mpya ambayo sasa imeonekana kumshika sana na kumletea hamu ya kuwa na mwanamke wake, “yaani nakuwa na demu wangu, sijui kama usiku tutapumzika” aliwaza Higgno akiwa njiani anarudi nyumbani, “angekuwaga Hilda lakini ndio hivyo tena, wamemchukuwa wenye fedha” alijiwazia Higgno huku anaendelea chanja mbuga kueleka nyumbani kwake, “wacha nikafue nguo zangu niziweke fresh kwaajili ya kesho” aliwaza Higgno, akimaanisha kuwa akafanyie usafi nguo za kuvaa kesho kule kwenye maombi ya kazi, akiwa na uhakika kuwa mzee Mahamud atampatia kazi endapo atamkumbuka, “akinisahau nitamkumbusha” alijiwazia Higgno, ambae aliendelea kuwaza akiwa njiani na hata baada ya kufika sehemu ambayo kwasasa ni kama nyumbani kwake, yaani kule shambani, aliendelea kuwaza.
Higno alibadili nguo zake na kuvaa nguo ambazo hutumia kwaajili ya kilimo na shughuri mbali mbali za shamba, kisha akachukuwa nguo chafu pamoja na zile ambazo alitakiwa kwenda kuzifua kwaajili ya kesho kisha akaziweka kwenye ndoo, akachukuwa sabuni yake na kuelekea sehemu ya kufulia ambako ni darajani, hakufuata barabara badala yake alifuata njia ya mkato ambayo huitumia mara zote anapoenda kuoga au kufua au kuchota maji ya kunywa au kupikia, pia njia hii ndio anayoitumia kwenda mtoni kutega samaki.
Dakika kumi zilitumika kwa Higgno kufika mtoni, ambako aliwakuta vijana wawili wakiwa wanamalizia kufua na kuoga, “oya dogo vipi?” ilikuwa ni kama salam toka kwa mmoja kati ya vijana wale, “safi blaza mambo vipi?” alijibu Higgno kwa salamu dhidi ya wale jamaa wawili waliomzidi umri, ambao alikuwa anawafahamu vizuri tu, ni jamaa ambao walikuwa wanafanya kazi kwenye shamba la tajiri fulani ambae yeye binafsi hakuwa anamjua, “fresh dogo, sisi ndio tunatimka” alisema mmoja kati ya wale jamaa wawili, “poa mimi ndio naingia, naona leo muliwahi sana” alisema Higgno ambae licha ya upole alionao lakini alikuwa anaongea na kila mmoja bila kubagua wala kiburi, na kama ungemtazama kwa haraka usingefikiria kuwa kijana huyu ana uwezo mkubwa wa kupigana, “tulikuja mapema kwasababu baadae tuna kazi” alifafanua mmoja wao huku wanaondoka zao na kumuacha Higgno anaanza kazi ya kufua nguo zake chache alizokuja nazo mtoni, huku akiendelea kuwaza juu ya mapenzi na maisha.*******
Laylah aliendelea kutazama mule ndani, mlimokuwa muna nukia harufu ya udi huku ana kunywa juice yake ambayo sasa ilishabakia robo kwenye glass yake, sasa basi wakati anandelea kutazama tazama akaona kuna kitu kama jivu karibu na miguu yake, na alipotazama vizuri lile jivu ni la nini ndipo alipoona kitu ambacho kilifanana na kipisi cha tumbaku, “kumbe kweli huyu bado anvuta…” alisema Laylah na kabla hajamaliza kuongea akahisi maumivu makali ya tumbo juu ya kitovu, akajaribu kuvumilia akajuwa ni maumivu ya kupita lakini haikuwa hivyo, ndio kwanza akaanza kuona maumivu hayo yana anza kushuka toka juu ya kitovu na kuhamia chini ya kitovu na kuzidi kushuka mpaka kiunoni yakielekea kwenye makalio, hapo hakuwa na muda wa kusubiri, “kaka Talib nakuja sasa hivi” alisema Laylah huku anainuka na kukimbilia nje, huku akiona dalili zote za kuweza kuchafua mazingira, hakujua kuwa mwenzie Talib alikuwa anamchungulia na kumsindikiza kwa macho na alipotoweka nje tu! Talib akatoa simu yake na kupiga sehemu na haikuchukuwa muda mrefu akaanza kuongea, ikionyesha kuwa imeshapokelewa, “oya! huyu demu tayari nimesha mkalisha, hao jamaa wawe tayari, Soraya akiondoka tu! nitakupigia ili waondoke haraka kuelekea kule shambani” alisema Talib kwa sauti ya chini huku akisogea mlangoni na kuchungulia nje akimuona, Laylah jinsi anavyo kimbia huku amejishika tumbo na makalio, “poa usiwe na wasi wasi, wote wanne wameshakuja na pikipiki mbili, mimi na Vitus tutakuwa na gari tuna wasikilizia wakisha mkamata tu! sisi tunaenda kumchukua” alisema mtu wa upande wa pili ambae ni Zido.******
Yap! sasa twendeni, Ngwendimba, eneo hili la mashambani tunaelekea kwenye eneo la babu mabudi, mzee ambae kiukweli licha ya kuwa ni mganga aliepewa sifa nyingi sana za kuwasaidia watu wenye imani hiyo, lakini pia mganga huyu ana sifa mbili za kipekee, moja huwa hakubali kumzuru mtu kwa uonevu, hiyo ni sifa njema, lakini pia babu huyu alikuwa na sifa nyingine ya kupenda ngono, hasa kwa wateja ambao aliwaona wana akili za kujinga kama vile mama Tatu, mke mdogo wa bwana Kazembe, (tafuta simulizi yetu ya MWALIMU NAE ANATAKA).
Hivyo basi baada ya kumpata Hilda siku ile ya ijumaa na kula kitumbua chake na kuweka mtego kwa mama Hilda, basi siku ya leo babu Mabudi toka asubuhi alikuwa anajiandaa kwa mchezo, ambao aliupanga uwe wakutwa nzima, maana kikawaida siku ya jumapili ilikuwa ni siku yake ya kupumzika ndio maana akamueleza mama huyu aje siku hiyo.
Ukiachilia maandalizi ya kutafuna tuvijiti twake, tunatojulikana kwa jina la Lunjumbwi, ambavyo aliamini kuwa vina muongezea uwezo wa kudumu kwenye mchezo kwa muda mrefu na kurudia mara kadhaa bila kuchoka, pia alikuwa ameandaa chakula cha kutosha ikiwa ni kande za kunde na dawa ya kumshawishi mama yule kuingia kwenye mchezo na kudumu kwa muda mrefu, akitamani kila mara dudu iwe ndani ya kitumbua chake ikiwa ni dose kubwa kuliko ile aliyompati mwanae Hilda.
Sasa mzee Mabudi alikuwa amekaa nje ya kibanda chake, pembeni ya jiko lake lililobeba sufuria kubwa la kande lililokuwa linachemka, na yeye kuchochea vijikuni ili kande zizidi kuiva na kuwa laini sana, kutokana na uhaba wa meno mdomoni mwake, yeye mwenye akiwa amevalia kile kijipande cha nguo ambacho kilikuwa kimeelemewa na dudu, ambayo ilikuwa imeshaanza kuleta fujo kwa kusimama muda wote ikitamani kitumbua ambacho kilikuwa kinatarajiwa kufika muda wowote, “akija tu! cha kwanza naingia nae ndani” aliwaza babu mabudi ambae sasa alikuwa anahisi kama vile amebanwa na mkojo kwa jinsi ngale zilivyo mshika.
Naam akiwa anawaza hayo kwa mbali akaanza kumuona mama Hilda yaani mke wa mzee Komba anakuja, hapo mzee huyu mweye akiba ya meno machache mdomoni mwake akatabasamu na kusababisha vijimate vimdondoke mdomoni mwake akishindwa kuvizuwia kutokana na mapengo yaliyo tawala mdomoni mwake.*******
Tatizo la ghafla la kuumwa tumbo la kuhara la Laylah liliwashtua wazazi wa Soraya, yaani bwana Mahamud na mke wake ambao sio tu kwa uendeshaji wa binti yule ambae pia wamefanya nae kazi kwa muda mrefu, ambae alikuwa anarudi chooni kila mara na huko angekaa dakika kumi na tano mpaka ishirini, pia walishtuka kwasababu waliona wazi tumbo la Laylah linge vuruga mpango wa kupokea wageni, maana endapo Soraya angegundua mapema kwa kuona maandalizi lazima angehoji na wao wangelazimika kumueleza ukweli, hapo ndipo mtafaruku ungeanzia, “mama Soraya hebu fanya ujanja wowote Soraya aondoke, bora akirudi akute kuna wageni na sisi tutamuambia walitoa taarifa baada ya yeye kuondoka” alisema mzee Mahamud akiwa chumbani na mke wake,
Mama Soraya hakuwa mbishi, alitoka chumbani nakumfuata mwanae aliekuwa nje amesimama pembeni ya gari lake huku ameshajiandaa kwa safari ya shamba, nae alivaa gauni refu jeusi lililoficha suruali nyepesi ya kitambaa na kitambaa kikubwa kichwani mwake, yaani hijab nayo nyeusi, “Soraya vipi bado, Laylah yupo chooni?” aliuliza mama Soraya, ndio bado yupo chooni yaani sijui amekula nini huko kwao” alijibu Soraya kwa sauti ya kinyoge kweli kweli, “sasa kwanini usimpleke mwenzio hospital na wewe ukaelekea shambani, maana usipoipanda hii miti leo inaweza kuharibika” alishauri mama Soraya, “basi ngoja nimsubiri atoke chooni” alisema Soraya huku akitazama muda kwenye simu yake.*****
Mama Hilda alipokelewa vizuri na babu Mabudi, “karibu mwanangu, karibu sana, tena umekuja mapema itakuwa vizuri sana” alisema Babu Mabudi, huku akimuonyeshea mama Hilda aingie ndani, “asante babu, si unajua mambo mapema” alijibu mama Hilda, huku anaingia ndani pasipo kujuwa ameandaliwa nini siku ile, na baada ya kuingia ndani babu nae akafuatia nyuma yake huku anamtathmini kwa kumtazama maeneo ya mgongo mpaka makalio, mpaka mama huyu alipokaa kwenye kipande cha ngozi, nadhani ndicho ambacho hutumika pia kama kitanda cha mzee mabudi, maana hakukuwa na kitanda wala godoro mule ndani ya kibanda cha udongo cha babu Mabudi, “haya! mwanangu habari za huko nyumbani?” alisalimia mzee Mabudi huku anakaa kwenye kigoda pembeni ya kile kipande cha ngozi, na kufanya kile kijinguo alicho jifunga kishindwe kuhifadhi dudu ambayo kiukweli ilikuwa inaleta vurugu kwa kusimama hovyo hovyo na kuyafanya macho ya mama Hilda yapate nafasi ya kuiona dudu ya mzee huyu iliyo kuwa imeinuka na kuacha kengere zina ning’inia, “nyumbani salama, nimekuja kama ulivyo sema” alisema mama Hilda, huku macho yake ya wizi, yakiitazama dudu ya babu huyu, ambae kwa haraka haraka hata yeye alifaa kuwa babu yake, “sawa kabisa, ni vyema umekuja mapema” alisema Mabudi huku anainuka na kuelekea kwenye kona ya chumba kile na kufunua mtungi ambao ulikuwepo eneo lile na kutoa vyupa viwili, akakichagua kimoja akafungua na kuyanywa maji yalipo ndani ya chupa kile na kukirudisha mtungini, kisha akachukua chupa cha pili na kurudi nacho pale alipokuwepo mama Hilda, “haya mwanangu hebu kunywa maji haya mara mbili” alisema mzee Mabudi, huku anampatia maam Hilda ile chupa ya maji, nae akaifungua na kunywa mafunda mawili kama alivyoambiwa, kisha akamtazama babu mabudi ambae sasa alikuwa anaelekea kwenye mti wa katikati na kufungua mkoba fulani uliotundikwa kwenye nguzo ile, “tayari babu” alisema mama Hilda ambae alishangazwa na utamu wa dawa ile, ambayo pia licha ya utamu wake ulimfanya hata midomo yake ijisikie vizuri sana, “ongeza tena mafunda miwili” alisema babu Mabudi, ambae kimoyo moyo alijisema, “shauri yako, tembo mwenyewe huwa anapga magoti hapo” aliwaza huku anamtazama mama Hilda kwa jicho la pembeni na kumuona akinywa ile dawa safari hii akiongeza mara mbili zaidi, nadhani kutokana na utamu wake, babu akatabasamu, “tayari babu niongeze nyingine” aliuliza mama Hilda, “hapana utaongeza baadae” alijibu babu Mabudi kwasababu alikuwa anajuwa tabia ya juice ile ya matunda ya mbura, ambayo mama Hilda alidhania kuwa ni dawa, ni matunda ambayo hupatikana kwa wingi kusini mwa afrika, kuanzia ukanda wa mkoa wa ruvuma kwenye mbuga ya Selous, hupendwa sana na wanyama kama tembo nyati na faru, ni tunda ambalo huwa ongezea wanyama hao hasa wakike hamu ya kuhitaji dudu, hasa kipindi chao cha kupandwa na joto, “kwani hauna nyingne ya baadae babu?” aliuliza mama Hilda, huku anavizia nafasi ya kunywa tena, “hiyo haitakiwi kuzidisha” alisema babu Mabudi huku anapekuwa mkoba wake alio utundika na kuibuka na kijifuko cha ngozi, yaani kile cha juzi chenye dawa nyeusi, huku mama Hilda akitumia nafasi hiyo kunywa ile juice ambayo yeye aliichukulia kuwa ni dawa tamu, safari hii akigugumia kwa nguvu sana, hata babu alipogeuka yeye tayari alishaiweka chini na kujikausha, “haya mama tulia hapo dawa ifanye kazi” alisema babu Mabudi huku anaweka kile kijifuko cha ngozi kwenye kipande cha ngozi alicho kuwa amekalia mama Hilda na kutoka nje akimiacha mama Hilda akiwa amekaa pale ndani akilitazama kopo la dawa na kutabasamu kama vile fisi ameona mfupa, kisha akamtazama babu mabudi aliekuwa anapotelea nje ya banda lake, na ile kupotea tu likawa kosa, mama Hilda akakamata ile chupa na kuipeleka mdomoni, mpaka anaishusha tayari lilikuwa limesha kwisha.*****
Huku nyumbani kwa bwana Mahamud mara baada ya Soraya kuondoka na Laylah, yeye akiwa anaendesha gari haraka sana pilika za maandalizi ya wageni zikaanza, hasa kwa maandalizi ya chakula na vinywaji, maana ukiachilia ugeni wa heshima wa viongozi wa baraza la wazee wa mkoa, pia tukio lililokuwa linafuatia la kuleta barua ya posa lilikuwa ni tukio muhimu sana kwao, maana aliekuwa analetewa barua ni binti yao wapekee.
Wakati nyumba kubwa yanaendelea hayo, huku nako Talib alishapiga simu kwa kina Vitus kuwa tayari Soraya amesha toka anaelekea Hospital na akitoka hapo ataenda shambani yeye peke yake, “sasa fanyeni faster muwahi kule shamba” alisisitiza Talib,ambae alikuwa ana uona utajiri ukimjia kwa kasi, wakati akifanya mawasiliano ndipo akasikia mlango unagongwa, akakata simu na kwenda kufungua mlango na mgongaji wa mlango hakuwa mwingine ila alikuwa ni mlinzi, “unaitwa na mzee kuna mbuzi wawili wanatakiwa kuchinjwa na kutengenezwa” alisema mlinzi na hapo Talib akaenda kujiandaa kwaajili ya kazi hiyo, “kuna nini leo mpaka wanachinja mbuzi wawili?” alijiuliza Talib, ambae hakuwa anajua taarifa ya binamu yake Soraya kuletewa barua.*****
Kijana Higgno Frank, au kijana mpole mwenye mdomo mzito katika kutongoza wanawake, hakutumia muda mrefu sana kufua nguo zake chache alizoenda nazo mtoni, alimaliza kufua kisha akaoga huku anawaza vitu vyake vya ajabu, akivuta picha kuwa yupo na mwanamke mzuri sana kwenye maji yale ya mtoni anaogelea nae, huku wana rushiana maji kwa michezo ya kimapenzi kama ya kwenye video, hata alipomaliza kuoga na kujikuta yupo peke yake aliongeza ndoto ya kijinga kwa kuvuta picha yupo na mschana wake mzuri kweli kweli, wanatoka kule mtoni na kueleka nyumbani, huku yeye amemsaidia mpenzi wake kubeba maji kichwani, huku mpenzi wake akiwa amebeba nguo walizozifua, nasema ya kipumbavu kwasababu vitu hivyo vyote alikuwa amebeba yeye mwenye, akiwa mkono wa kushoto ameshika ndoo na mkono wa kulia ameshika kijifurishi kidogo cha nguo kama saba hivi.
Higgno safari hii aliona haitakuwa vyema akipita barabarani, maana kule vichakani nyasi zina muwasha sana kutokana na kuwa tayari ameshaoga, na huo ndio ulikuwa utaratibu wake wa siku zote, lakini leo aliongeza na katabia kakujivutia taswira ya kwamba yupo na mwanamke mmoja mzuri sana, “tena amevalia nguo nzuri nilizo mnunulia dar” aliwaza Higgno, ambae katika mawazo yake ni kwamba wakati anatembea na barabarani na huyo mpenzi wake, watu waliokuwa wanapita njiani walikuwa wanawashangaa na kuwatazama kwa matamanio.
Hakika mawazo ya kijana huyu yalitaka kumpelekea kuwa chizi, maana hata wakati alitengeneza taswira ya kuwa magari yanakuja na kuwapita huku madereva au abiria wa magari hayo wakiwashangaa yeye na mpenzi wake, na hata aliposikia ngurumo ya gari la kweli likija yeye akaivutia taswira ya dunia yake ya kufikirika.*******
Dakika kumi zilikatika, mama Hilda akiwa ndani ya banda la babu Mabudi peke yake, akisubiri dawa ifanye kazi kama alivyo ambiwa, “kama Hilda nae alikunywa hii dawa siku ile mbona alifaidi sana” aliwaza mama Hilda akitamani dawa itakayo fuata iwe kama ile, aliwaza mama Hilda ambae ni kama alianza kuona hali fulani isio ya kawaida kwenye mwili wake hasa kuanzia kwenye kinena mpaka chini kwenye kitumbua, ni kama alihisi hali fulani ya kutekenya na msisimko wa ajabu kiasi kwamba hata nguo yake mwenyewe ilikuwa inamtekenya.
Naam kila dakika zilivyo zidi kusonga, ndivyo hali hiyo ilivyozidi sambamba na sehemu mbali mbali za mwili wake, kuanzia shingoni mpaka kwenye uti wa mgongo na kusambaa kwenye mbavu na kifuani kwake zikigota kwenye chuchu za maziwa yake makongwe, hakika mama Hilda alijikuta katika hali ya ajabu, hali ambayo ilimfanya amkumbuke mume wake aliemuacha nyumbani, “mh! mbona leo nanyegeka sana” aliwaza mama Hilda huku anapeleka mkono wake kwenye kifua chake na kulikama ziwa lake moja, kisha kuibinya chuchu yake mwenywe, lakini haikusaidia lolote, zaidi alijikuta anaongeza msisimko uliokimbilia kwenye kitumbua chake, “huwwwi mimi yoyoooo, leo mbona nimeshikwa namna hii” alijishangaa mama Hilda, huku anakaa vizuri na kuinua nguo yake upande wa chini kisha kuanza kupaa chupi yake juu ya kitumbua, akifanya kama anakipooza joto au kukifuta, “jamani, mbona naweza kubaka sasa” aliwaza mama Hilda ambae aliona kukipapasa kitumbua kilichokuwepo ndani ya nguo yake ilikuwa ni kazi bure, hivyo akapekenyuwa chupi yake na kukiweka kitumbua wazi kabisa na kuanza kujichezea kunde huku anaanza kuvuta picha ya dudu ya babu aliyoiona muda mfupi uliopita, “babuuu tayari dawa imefanya kazi” alipiga kelele mama Hilda, ambae sasa alianza kuona hata koo lake mwenye linakauka kwa kutamani maji.
Mama Hilda hakusikia jibu lolote la babu Mabudi zaidi, alimuona anaingia ndani tena hakushtuka kumuona akiwa katika hali ile ya kujipapasa kitumbuani, zaidi alimuona akitabasamu na hapo ndipo mama Hilda alipogundua kuwa leo hakuitiwa dawa ila aliitiwa dudu, “haya mwanangu kaa vizuri tukamilishe dawa, alisema babu Mabudi, huku anafungua kile kijipande cha nguo iliyofubaa kwa uchafu na kukitupa chini akibakia uchi wa mnyama na dudu ikiwa imesimama utadhania kijana anae barehe leo, kuona hivyo mama Hilda hakusubiri kuambiwa mara ya pili, akalala chali na kuipandisha zaidi ile nguo yake huku akiipekenyuwa zaidi chupi yake na kutanua miguu, “kamilisha babu, kamilisha dawa babu, kamilisha unavyo weza, leo mimi ni wa kwako babu, nifanye unavyo taka” alisema mama Hilda akijikabidhi kwa babu, ambae alishuka juu yake na kujipachika kati kati ya mapaja ya mama huyu huku dudu kichwa wazi, ikitangulia na kuingia kwenye shimo lake.*****
Baada ya kumuacha Hosptali binafsi dereva wake Laylah akipatiwa vipimo, Soraya aliondoka mwenyewe kueleka mashariki mwa mji wa songea, huku njiani akiamisha mawazo toka kwa mgonjwa wake na kuyapeleka kwenye maisha yake binafsi, hasa akiwaza juu ya kunusurika kuingiliwa mara mbili bila ridhaa yake, yaani kubakwa, na sababu ya kunusurika ni kuokolewa na mtu huyo huyo mmoja, aliwaza juu ya uchungu ambao angeupata kwa kuondokewa na uschana wake kwa kubakwa, tena katika nyakati ngumu kama ile ya kwanza ya kubakwa na vijana wanne na hii ya kuleweshwa, “lakini kijana mpole akanisaidia” aliwaza Soraya huku anaendesha gari kwa mwendowa kasi, kwasababu alikuwa ameshachelewa kutokana na kutumia muda mwingi kumsubiri Laylah na kumpeleka hospital.
Soraya alikanyaga pedor ya mafuta ya hili Land Rover Discover TDI nalo likakanyagika na kuvuta mwendo, “hivi kwanini yule kijana siku ile alikataa kuja nyumbani?” alijiuliza Soraya, huku analipita gari moja dogo aina ya Toyota carina, lilikuwa lina tembea taratibu nyuma ya pikipiki mbili zilizo beba abiria wa kiume mmoja mmoja kila moja, “hawezi kuwa hanipendi, mbona wanaume wengi wananipenda au ananiogopa” aliwaza Soraya, kisha akajicheka kidogo, huku anapunguza mwendo kukata kona ya mwisho ya chem chem, mita chache toka shule ya msingi chem chem iliyopo mwishoni kabisa mwa kijiji hiki cha Chemchem na kuingia kwenye njia inayopita pembezoni mwa milima ya matogoro na kufanya zile pikipiki zimsogelee na gari likibakia nyuma likija taratibu, “aniogope mi nani, nikimuona nitamng’ang’ania” aliwaza Soraya, huku anaongeza mwendo na kutimua vumbi kiasi cha kuto kuziona zile pikipiki nyuma yake kwa uwingi wa vumbi.
Soraya alikanyaga mafuta kwa nguvu kiasi cha kuanza kujiogopa, hasa alipoiacha ile safu ya milima na kuingia usawa wa mashamba ya Mahilo na kuukamata mteremko wa kuelekea daraja la mto Mahilo, “ hivi hapa akitokea mtu au mnyama wa porini si namgonga jamani….” hakumaliza hata kauli yake, macho yake yakaona kitu ambacho hakuamini kama ni kweli au ni wenge lake, alikuwa ni kijana alievalia kaptura ya jinsi iliyokatwa kwa kitu ambacho sio rasmi, juu hakuvaa shati lolote na kufanya kifua chake kipana kilicho jengeka kimazoezi kionekane vizuri kabisa machoni pake, hilo sio tatizo kwa Soraya, tatizo ni sura ya kijana huyu, “ni yeye” alipayuka Soraya,m huku akimpita kijana yule kwa speed ya ajabu kiasi cha mkufanya kijana yule aruke pembeni ya barabara na kumwaga maji aliyokuwa ameyabeba kwenye ndoo huku nguo zake nazo zikigala gala kwenye vumbi... ITAENDELEA USIKU
 
Talib ameshakwama mpaka hapo, na wale wazee wameshakwama, Higgy anaweza jibebea Soraya mageton akaenda kulala kwenye kitanda cha kamba ila hatakula mzigo
 
TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA THELATHINI NA SABA
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA THELATHINI NA SITA: “ hivi hapa akitokea mtu au mnyama wa porini, si namgonga jamani….” akumaliza ata kauli yake, macho yake yakaona kitu mbacho akuamini kama ni kweli au ni wenge lake, alikuwa ni kijana alie valia kaptura ya jinsi iliyokatwa kwa kitu ambacho sio rasmi, juu hakuvaa shati lolote na kufanya kifua chake kipana kilicho jengeka kimazoezi kionekane vizuri kabisa machoni pake, hilo sio tatizo kwa Soraya, tatizo ni sura ya kijana huyu, “ni yeye” alipayuka Soraya huku akimpita kijana yule kwa speed ya ajabu kiasi cha mkufanya kijana yule aruke pembeni ya barabara na kumwaga maji aliyo kuwa ameyabeba kwenye ndoo, huku nguo zake nazo zikigalagala kwenye vumbi…… ENDELEA………………
Soraya akiwa ameshindwa kusimama kwa haraka akaemda kusimama umbali wa mita kama mia mbili mbele na kutazama nyuma kuangalia kama angemuona yule kijana au ilikuwa ni wenge lake tu lililotokana na kumuwaza sana kijana yule, lakini kutokana na vumbi jingi lililotanda hakuweza kuona kitu, hivyo alilazimika kusubiri dakika nzima mpaka vumbi lilipoondoka ndipo alipoona hakukuwa na mtu zaidi ya pikipiki mbili zilizo kuwa zina kuja, akakumbuka kuwa alizipita wakati ule anamaliza kijiji cha chem chem, “mh! mawazo haya yatanisababishia ajali” alijisemea Soraya huku anakanyaga mafuta na kuondoa gari, wakati huo tayari pikipiki zilisha msogelea, lakini yeye hakujari aliondoka zake kwa mwendo ule ule na kuziacha nyuma.********
Kama ungetokea nyumbani kwa babu Mabudi wakati ule kwa mbali ungeona moshi unafuka kwenye jiko la kuni nje ya kibanda hiki cha udongo na sufuria kubwa jeusi lilikiwa limepakatwa na mafiga matatu ya mawe magumu, wenyewe wanaita mganga chuma, usinge ona dalili ya uwepo wa mtu, labda pale ambapo ungesogea karibu ungeweza kuona kanda mbili mlangoni, ungejua kuwa ndani kulikuwa na mtu, tena mwanamke, ni kutokana na kijisauti cha kuugulia utamu kama sio wa kukunwa basi wakutolewa mwiba, na usingechelewa kugunduwa kuwa hakuwa peke yake, ni kutokana na maongezi yasiyoeleweka yaliyo sikika toka ndani ya kibanda hicho sambamba na mtikisiko wa paa la kibanda hicho dhaifu, “babu unaweza kuliko mume wangu….. huuu huuu fanya kwa nguvu nasikia utamu” ilikuwa ni sauti ya kike, na kama unge bahatika kuchungulia ndani ndio ungejua walikuwa wanafanya nini.
Hapo unge muona mama Hilda, mke halali wa mzee Komba mwenye mtoto na mjukuu, akiwa uchi wa mnyama, ameinama kwa kushikilia nguzo ya kati kati ya kibanda huku akiyaacha makalio yake nyuma ambako alikuwepo babu Mabudi aliekuwa amekikamata kiuno cha mama huyu huku dudu yake ikiwa ndani ya kitumbua kilichokuwa kinaonekana kwa nyuma kutokana na kuinama sana kwa mama Hilda, ambae alikuwa anzungusha kiuno kwa mtindo piga nipige, yaani babu akitwanga ndani yeye anapeleka kwa babu vitu vina gusana.
Yap mchezo huu ulikuwa umesha dumu kwa dakika ishirini sasa, walikuwa wanaitafuta nusu saa wakiendelea kubadili mitindo, mara mama Hilda apige magoti na kubinua kiuno kwa nguvu, mara alale kifudi fudi na nyingine nyingi ambazo alikuwa anaziweza, kiasi cha kumfanya babu mabudi ajivunie kijiti chake cha Linjumbwi, hata walipo maliza mzunguko wa kwanza hawakukaa sana, ni dakika kumi tu ziliwatosha kupumzika, wote wawili wakaonekana walikuwa tayari kurudi mchezoni.******
Ukweli Higgno licha ya kulikumbuka lile gari kuwa ndilo alilopanda yule mschana wa kiarabu miaka ile, pia alimuona kabisa kuwa ni yeye mwenyewe ndie aliekuwa anaendesha, japo alizidi kuwa mzuri wa sura lakini hakuweza kufanya lolote baada ya kuona gari lile linazidi kutiririka kueleka darajani na kushindwa kuliona kutokana na vumbi na kw ambali akasikia ngurumo za pikipiki zikija upande wake, hivyo akaona akikutwa pale barabarani itakuwa aibu kwake, cha kufanya akazoa nguo zake pamoja na ndoo kisha akaelekea mtoni akipitia njia ya porini na sio barabra, huku nyuma yake akisikia pipiki zinavuma kuelekea kule darajani.
Higgno alitembea taratibu huku anajiuliza kuhusu yule mwanamke aliemuona kwenye gari, “Mh! mbona yule demu kama ndie yeye au ni mawazo yangu tu!” aliwaza Higgno pasipo kujua kuwa amepishana na mrembo Soraya, ambae kila siku anamuwaza zaidi ya mara mbili, hata kama ni yeye kwanza atakuwa amesha ni sahau, kama angenikumbuka si angesimama” aliwaza tena Higgno ambae alifika mtoni na kuanza kufua tena nguo zake taratibu akitafakari kuhusu yule mwanamke, “sasa huku anaenda wapi” ajiuliza Higgno akiendelea kufua, safari hii akizisuuza tu kuondoa tope kidogo lililoshika kwenye zile nguo, “mimi bwana mjinga kweli” aliwaza Higgno na kujicheka kidogo, “yaani unamuwaza mtu kumbe hakujui, halafu usikute kuna mtu anafaidi tu!” aliwaza Higgno na kujikuta kawivu kama kana usokota moyo wake.******
Huku nyumbani kwa bwana Mahamud shughuli zilikuwa zinaenda haraka haraka, huku mke wake akihimiza na kusimamia vipikwe ilimradi kufika saa saba viwe tayari mezani kwaajili ya wageni wanao tarajiwa kufika pale nyumbani, kwa upande wa mzee Mahamud mwenyewe alikuwa anashirikiana na mtoto wa shemeji yake, yaani talib pamoja na vijana watatu ambao mzee Mahamud aliwaalika toka kwenye kampuni yake ya usafirishaji, ukiachilia kuchinja mbuzi na kuchuna pia ndio watu aliowatumia kwenda kununua ng’ombe nusu na vinywaji vingi visivyo na vilevi.
Wakati wote wa shughuri hizo bwana Mahamud hakujua mambo yaliyokuwa yanaendelea kwa mtoto wa shemeji yake yaani Talib, zaidi alimuona akitazama simu yake mara kwa mara na kuirudisha mfukoni, na kuna wakati alikuwa anapokea au kutuma ujumbe na kuirudisha simu mfukoni, na hata alipo pigiwa alisogea pembeni na kwenda kuongea na simu kisha kurudi na kuendelea na kazi, hakika kama angejua basi angeidabua simu ya Talib mara moja, mfano wakati wamesha peleka nyama ya mbuzi ambazo walikuwa wamesha zichuna na kuzikatakata, Talib alipigiwa simu lakini hakuipokea mpaka alipo pelekea mzigo, alitoka simu ikiwa imesha katika akaeleka chumbani kwake na kupiga simu, “niambie Zido” alisema Talib kwa sauti ya chini, mara baada ya simu kupokelewa, “tayari ameshaingia kwenye kumi na nane, sisi tuna mteka kisha tunapiga simu kwa mjomba wako” alisikika Zido akiongea kwa sauti ambayo iliyoonyesha kitetemeshi cha kufanya tukio lililo kinyume na sheria, “mupo wapi sasa hivi” aliuliza Talib kwa sauti ile ile ya kunong’ona, yaani hapa tupo kwa juu tuna muona kule shambani kwake, amesha pokelewa na wale jamaa wawili uliotuambia wanashusha miche ya miti toka kwenye gari” alijibu Zido kwa sauti ile ile iliyomezwa na pumzi ya hofu, “punguza uoga wewe, hakikisheni munamdhibiti huyo mimi nitamshawishi mjomba atoe hela haraka sana” alisema Talib kwa sauti ile ile ya kunong’ona, “poa naona wanasomba miti kupeleka eneo la kupanda, mimi nawaambia jamaa waende wakaanze kuwa vamia wale jamaa halafu mmoja amshike Soraya, alisema Zido kwa suti yenye mcheche wa hofu, sijui kwanini alifanya hivyo, “poa, fanyeni hivyo tena iwe haraka kabla ugeni hauja ingia, hapo watatoa fedha haraka ili shughuri yao isiharibike” alisema Talib, kisha kukata simu na kurudi kazini, leo hakutaka kukaa mbali na mjomba wake ili asishtuke mpango aliokuwa anaufanya.*******
Laylah, akiwa kule Hopsital aliendelea kupata matibabu kwa kutundikiwa drip, huku akisubiri, majibu ya vipimo yake, “hivi imekuwaje nimeumwa tumbo la ghafla hivi?” alijiuliza Layla huku ana jaribu kuvuta kumbu kumbu ya vyakula alivyo kula toka jana usiku akiwa nyumbani kwao, akijaribu kuwaza ni kipi kilikuwa kibaya ambacho kime msababishia kuharisha, lakini ukweli hakukuwa na hata kimoja ambacho kingeweza kumfanya vile kwa vile vyakula alivyo kula nyumbani kwao, “mh! au ile juice ya Talib?” alijuliza Layla na kuvuta kumbu kumbu ya kwamba hata Talib mwenyewe alikuwa anainywa pia, “sasa ni nini kilicho nisababishia niumwe tumbo?” ukweli ni swali ambalo lilimshinda Layla kumpatia jibu.
Lakini sio kwa muda wote, maana dakika kumi mbele Layla alipata jibu, “vipimo vinaonyesha kuwa umekunywa kinywaji chenye costic asilimia hamsini, magadi soda, asilimia ishirini na tano, na vitu vingine vingi ambavyo upatikana kwenye vitu kama sabuni na dawa za kufuria” alisema doctor aliekuwa ameshika karatasi fulani, hapo Laylah akavuta kumbu kumbu kama alishika vitu kama hivyo, “inawezekana nikawa nimelamba sabuni wakati wa kuoga?” aliuliza Laylah kwa sauti yenye shaka, “hapana kiwango hicho kidogo hakiwezi kukufanya uharishe kwa kiwango hicho, hapo utakuwa umekula au kunywa kinywaji au chakula chenye vitu hivyo” alifafanua doctor, ambae pia alianza kumpatia dawa ambazo zingefunga kuharisha na kuzuia maumivu kisha wakampumzisha kidogo.*****
Naam Soraya akiwa hajui kinachoendelea nyumbani, sasa alikuwa na vijana wawili wakitawanya kwenye mashimo ambayo yaliandaliwa kwaajili ya kupanda miti hiyo ya matunda, huku anaendelea kuwaza kuhusu kijana ambae alimuona barabarani na kutoweka ghafla, “inamaana nimechanganyikiwa au?” alijiuliza Soraya, ambae hata kama ni kweli alimuona yule kijana na kumsababishia kuanguka, kwanini hakwenda kumtazama pale pale, ukweli hilo hakulifikiria kabisa mschana Soraya, “eti we kaka, hivi kuna mkaka mmoja anaishi kule ng’ambo?” aliuliza Soraya wakati wanaendelea na kazi ya kuweka miti kwenye mashimo, “ndio anakaa kwenye shamba lake kule ng’ambo” alijibu mmoja wao, huku leo wakifaidi kuiona sura ya mschana huyu ambae hakuwa amevaa niqab, yaani kitambaa cha usoni, “weee! unasema kweli?” aliuliza Soraya huku mlipuko wa mshangao na furaha ukionekana usoni mwake, “ndio si yule ambae kwao Luhila seko, tena tumemuacha mtoni alikuwa anafua” alisema mwingine, na mmoja akadakia, “kwani vipi boss, unamdai tukakuletee?” aliuliza mwingine kwa shauku, sijui alichanganyikiwa na uzuri wa mschana huyu ambae ni mara chache sana kumuona hivi, ambae sasa aliachia tabasamu pana sana angavu lenye kila dalili ya msisimko wa moyo, ambao ulitokana na jibu alilopewa la kuhakikishiwa kuwa anaweza kumpata mtu ambae alihisi kuwa ni kijana mpole.
Ukweli Soraya kwa jibu alilopewa hakuona umuhimu wa kuendelea kukaa pale, zaidi ya kwenda kumuona kijana ambae amemtafuta kwa miaka mingi, lakini kabla hajaomba aelekezwe kwa kijana mpole mara wote wakasikia ngurumo ya pikipiki, wote wakageuza shingo zao kutazama kule ngurumo zilikokuwa zina tokea, nao wakaziona pikipiki mbili zikija kule shambani kwao, huku kila pikipiki moja ikiwa imekaliwa na watu wawili na kufanya jumla yao kuwa wanne, ambao ni vijana wenye miili iliyosiba, ambao walikuwa wameziba nyuso zao kwa kofia za sox zenye rangi nyeusi zilizo bakiza midomo na macho tu! hapo Soraya akajua kuwa tayari alikuwa kwenye hatari.
Na kweli wakati Soraya akiwa kwenye tahadhari kubwa ya ugeni ule, wale vijana hawakuonyesha tahadhari yoyote zaidi ya kuangalia zile pikipiki za wapanda pikipiki zikiingia kwa speed na mara walipo wasogelea wale wapanda piki piki waliobebwa kama abiria hawakusubiri pikipiki zisimame vizuri, waliruka kwa haraka sana na mmoja wao akamfuata Soraya ambae kuona hivyo akajaribu kukimbia lakini hakufika mbali, akajikwaa na kuanguka, wale vijana wawili wa pale shambani kuona hivyo wakataka kukimbia, lakini tayari walishazingirwa na wale vijana wengine watatu waliobakia na kuanza kuwashushia vipigo, huku Soraya ambae alikuwa ameshikwa akishuhudia, “jamani nyie majambazi si mseme mnataka nini kukiko kutupiga, alilalamika Soraya akiwa anajaribu kujipapatua toka kwa yule mmoja ambae alimshushia konde zito Soraya lililotuwa mgongoni, “tulia wewe zamu yako bado” alisema yule jamaa aliemtwanga Soraya ambae aliachia yowe la uchungu.
Kipigo kwa upande wa wale vijakazi wawili, kiliendelea kisawa sawa mpaka mmoja wao alipoona kuwa wakizubaa wataangamizwa, hivyo kilichotakiwa ni kila mmoja kuitetea nafsi yake, hapo mmoja wao akiwa anaendelea kupokea kipigo akachota udogo laini, yaani vumbi na kuwamwagia wale jamaa walio kuwa wanamtwanga, ambao hawakutegemea tukio lile, na ile kutahamaki tayari vumbi lilikuwa kwenye macho yao hivyo wakashindwa kuona kwa sekunde kadhaa wakihangaika kufuta vumbi machoni mwao, yule jamaa akapata nafasi ya kukimbia kuelekea mtoni huku yule mmoja ambae alikuwa na kijakazi mwingine akishangaa kwa tukio lile la ghafla, nae kabla hajapata jibu imekuwaje akasukumwa kwa nguvu na kuanguka chini, ile anainuka amkabili yule kijakazi tayari alishatoka mbio kuelekea upande alikokimbilia mwenzie ambako ni upande wa mtoni, wakimuacha boss wao Soraya akiwa amezungukwa na vijana wanne.
Wale vijakazi walitimua mbio bila kugeuka nyuma, Hata walipokimbia umbali wa mita kama mia tatu hivi walikuwa wameshaufikia mto na bila kujiuliza wakatumbukia mtoni na nguo zao kwaajili ya kuvuka, “oya! vipi nyie, mbona hivyo, kwani kuna simba huko” aliuliza Higgno ambae hawa kumuona mwanzo, “majambazi wame mvamia boss wetu” alisema mmoja wao huku akivuka mto, “sasa mbona muna mkimbia baada ya kumsaidia?” aliuliza Higgno ambae ndio kwanza alikuwa anamalizia kufua nguo zake kwa mara ya pili, “bosi wetu ameshikwa kule yule mschana mwenye gari lake la kijani” alisema yule jamaa, ambae alikuwa anamalizia kuvuka mto, huku nguo zake zimelowa vibaya, “wana bunduki hao majambazi?” aliuliza Higgno, “hapana hawana bunduki wanapanga ila wanapiga haooo” alisema mwingine ambae pia alikuwa anamaizia kuvuka.*********
Naam ngoma bado ilikuwa nzito kwa upande wa mama Hilda na babu Mabudi, ambao walikuwa ndani ya kibanda wana kula makande kwa pamoja, huku wakiwa uchi wa mnyama, ikiwa ni sehemu ya mapumziko yao ya dakika kumi kabla hawajaingia tena mchezoni kwa mara ya nne, huwezi amini licha ya kupewa dudu kisawa sawa lakini bado kila mmoja wao alikuwa anatazama kiungo cha uzazi cha mwenzie kwa macho ya matamanio, ilifika wakati wakaona kama zile kande zina wachelewesha kuendelea na mchezo wao, hivyo wakaweka sahani pembeni na kuanza kazi.
Dakika kumi na tano mbele mama Hilda akaanza kuona kitumbua kinachemka kwa joto kali lililotokana na ukavu wa ghafla uliotokana na kusunguliwa kwa muda mrefu, “chomoa kwanza ipoe” alisema mama Hilda kwa sauti ambayo ungeshindwa kuifafanua kama ni ya maumivu au utamu, ni kweli babu alichomoa kama alivyo ambiwa, lakini muda huo huo mama Hilda alibadili mkao ili babu apeleke dudu, na alipo peleka tena kwa dakika kadhaa mama Hilda angelalamika kuwa kitumbua kina waka moto, lakini kuna wakati babu hakumsikiliza tena, aliendelea kukandamiza huku mama huyu akiendelea kulia, “inauma lakini tamu” huo ndio ulikuwa wimbo wa mama Hilda wakati mzee Mabudi akiendelea kusokomeza dudu kwenye kitumbua kikavu cha mama Hilda.******
Laylah akiwa amepumzika kwenye kitanda cha hospital, huku akianza kujisikia nafuu akiendelea kuvuta kumbu kumbu za kitu gani alicho kula, kilichomsababishia kuhara, akakumbuka juice ya Talib, “mh! hata kama na yeye alikunywa mbona alitoka nayo chumbani kwake?” aliwaza Laylah, akiitilia mashaka ile juice ya Talib, “mh! lakini hapana mbona sikusikia utamu wa sabuni” alipinga mwenyewe mawazo yake.*****
Nyumbani kwa Mahamud shughuli zilikuwa zina endelea kama zilivyo pangwa hakika kama Soraya angeingia hapa mida hii angeshangaa kwa jinsi palivyo andaliwa, ukiachilia wageni waliokuwa wanaanza kuingia pale ndani na jinsi palivyo pambwa, lakini pia palitapakaa harufu nzuri ya vyakula vya kila aina.
Wageni waliokuwa wanaingia mida hii walikuwa ni wale wa upande wa Mahamud mwenyewe, ambao sasa alikuwa amekaa nao sebuleni, pamoja na Talib na kuongea nao hili na lile, mara ghafla wakasikia huwwwii mwanangu jamaniiii! ilikuwa ni sauti ya kilio toka kwa mke wa mzee Mahamud yaani mama Soraya, wote wakageuka kutazama kule ambako ilitokea sauti, ilikuwa ni upande wa kolido la vyumbani, huku Talib akijisemea moyoni, “yes mambo yamesha jipa”.
Naam hapo wote wakamuona mama soraya akija mbiombio na simu ya mume wake mkononi, huku uso wake ukionyesha wazi kuwa alikuwa katika mashaka makubwa sana, “huuuwi baba Soraya najuta kupokea simu yako mume wangu, majambazi wamemkamata Soraya” alisema mama Soraya huku sauti yake ikimbatana na kilio, mzee Mahamud akainuka haraka na kumsogelea mke wake aliekuwa anakuja pale sebuleni na kuichukuwa simu yake toka kwa mke wake, “wanataka kuongea na wewe” alisema mama Soraya kwa sauti ile ile ya kilio huku mikono akiipeleka kichwani, “kelele za nini sasa, muna mwaga mchele kwenye kuku wengi” alijisemea Talib kimoyo moyo huku usoni akijifanya kuwa katika mshangao………… ITAENDELEA MUWE NA USIKU MWEMA.
 
Back
Top Bottom