Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,213
- 20,987
Mtumieni jamaa chochote kitu sio mna enjoy tu bila shukrani.
tumeshashukuru mkuu au wewe haujashukuru, namba iko pale juu, fanya haraka sanaMtumieni jamaa chochote kitu sio mna enjoy tu bila shukrani.
Shukran mwenyekitiKWA NIABA YA WANANZENGO NITOE SHUKRANI ZA DHATI KWAKO Abou Shaymaa KWA STORI NZURI AMBAYO KIUKWELI IMEELEZA MAMBO YALIYOTUZUNGUKA.
WANANZENGO NASHUKURU KWA USHIRIKIANO WA KUNIPANITIA SORAYA WANGU miana amor TUNAENDA ZETU LUHILA HATUTAJI KELELE NA NTU.
ILA BABU MABUDI SIJUI HAO WATOTO WATAITANAJE KAH!
WENU MWENYEKITI
Asante kiongozi wetu wakijiji kwa kutoa shukran za dhati kwa niaba ya wanahulila
hapo mwenyekiti lazima nikuendee kwa mzee mabudiKWA NIABA YA WANANZENGO NITOE SHUKRANI ZA DHATI KWAKO Abou Shaymaa KWA STORI NZURI AMBAYO KIUKWELI IMEELEZA MAMBO YALIYOTUZUNGUKA.
WANANZENGO NASHUKURU KWA USHIRIKIANO WA KUNIPANITIA SORAYA WANGU miana amor TUNAENDA ZETU LUHILA HATUTAJI KELELE NA NTU.
ILA BABU MABUDI SIJUI HAO WATOTO WATAITANAJE KAH!
WENU MWENYEKITI
Tukutane kwenye KIFO CHA HAWARAWaooooo! yaani usingizi wangu unaendeleaaa uwa mtamu
Usisahau kua babu mabudi ana juice tamu na kimzizi cha kutafuna🤣🤣🤣hapo mwenyekiti lazima nikuendee kwa mzee mabudi
Uyu Mani Fabian tutamkomesha kwenye kifo cha hawara😅😅😅Hizi fitina square
Huko mimi nitakuwa sterling nitakuwa napiga mashorati za kutoshaUyu Mani Fabian tutamkomesha kwenye kifo cha hawara
Usisahau kua babu mabudi ana juice tamu na kimzizi cha kutafuna
na anapotag asmsahau kijana mpole wa kuitwa Mani FabianUkiweka story mpya usisahau kunitag Abou Shaymaa
Hapo kwenye mahiii hata staki kupaskiaMim na mahiii wangu@Daudi1 kwenye kifo cha hawara tutatumia mbinu za kijasusi
Mani Fabian na Tumwesige senior hamtotupa
Mwanzo ilikuwa vizuri tu sema ofa ndogondogo pale mwanzoni ziliwabadilishaFamilia ya kifirauni hyo mama na mwana....aibu
😅😅😅Hapo kwenye mahiii hata staki kupaskia
Mim na mahiii wangu@Daudi1 kwenye kifo cha hawara tutatumia mbinu za kijasusi
Mani Fabian na Tumwesige senior hamtotupa