miana amor
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 966
- 1,495
Daudi1 Kwanza ulinitelekeza kwenye ofisi ya mwenyekitiweee muache mahi wangu
Daudi1 Kwanza ulinitelekeza kwenye ofisi ya mwenyekitiweee muache mahi wangu
Na ww ulifuata nn uko kijiji cha jiranimiana amor wangu, utaniita kwenye kifo cha Hawara, mzee Njogopa nimekutana naye kijiji cha jirani sijui amefuata nini
Tumchukue na Mani Fabian tukimuacha uku mzee komba atamnyanyasahapana nilienda kutengeneza mazingira kule Luhila twende zetu
wa nini huyo muache aendelee kupata ulanzi atatuharibiaTumchukue na Mani Fabian tukimuacha uku mzee komba atamnyanyasa
Umeonaeeh! unajua alipoenda? huko akikoenda, kwenda kutengeneza mazingira ni uongo, inasemekana alitaka kuiba ng`ombe wenyenayo wakamuona naye akachoropoka na kukimbilia kijiji cha jilani sasa anaishi na komando njogopaDaudi1 Kwanza ulinitelekeza kwenye ofisi ya mwenyekiti
Aiseeee anani dhalilisha mm jmn kheee bora ata asirudi kwanza akae uko ukoUmeonaeeh! unajua alipoenda? huko akikoenda, kwenda kutengeneza mazingira ni uongo, inasemekana alitaka kuiba ng`ombe wenyenayo wakamuona naye akachoropoka na kukimbilia kijiji cha jilani sasa anaishi na komando njogopa
Machungu ya nini tena bestMtanitag na mimi...nipooze machungu
Atakua kaachika🤣🤣🤣Machungu ya nini tena best
Ya kufungwa na Berkane bestMachungu ya nini tena best
🤣🤣🤣🤣Ulinioa wewe? 🙄 🙄
Ikija story nyingine unitag🤣🤣🤣🤣
Usijali dearIkija story nyingine unitag
Kkaachika kapigwa kibuti
Umeuona uzi mpya?abuu shaymaa hadithi zake zimekaa vizuri sana na haombi hela.
e bana hapa mchango ukitaka weka hapo tukupe tuletee viroja tu sio yule bwege episode moja huku anaomba hela sana