Simulizi: Penzi lisilo Na Mwisho

Simulizi: Penzi lisilo Na Mwisho

Sehemu ya 43

Ulikuwa ni mpango kabambe ulioandaliwa kwa ajili ya kuhakikisha kwamba mzee Bruno anauawa haraka iwezekanavyo pasipo mtu yeyoite yule kufahamu chochote.

Kitu alichokifanya Hashimu ni kuandaa mipango yake, akaelekea katika Hospitali ya St. Louis na kuzungumza na madaktari.

Kwanza lilikuwa jambo gumu kuwashawishi lakini baada ya kuweka mezani kitita cha shilingi milioni kumi kila mmoja, wakakubaliana naye na hivyo kujiandaa kwa ajili ya kumpokea mzee Bruno ambaye angeletwa mahali hapo huku akiwa kwenye maumivu makali ya tumbo.

“Nimeshawapanga madaktari, cha msingi umebaki wewe tu,” alisema Hashimu, alikuwa akimwambia bi Rosemary.
“Safi sana, ngoja niandae hiyo sumu, kwa hiyo nimuwekee hapa nyumbani au?” aliuliza bi Rosemary.

“Hapana! Hiyo haitakiwi kufanyika hapa. Ikifanyika hapa itakuwa ni rahisi sana kugundulika, cha msingi mchukue na mpeleke kwenye mgahawa wa kifahari, huko ndipo utamuwekea kwenye kinywaji,” alisema Hashimu.

Wakakubaliana na siku hiyo usiku bi Rosemary akaonyesha mapenzi makubwa kwa mume wake kiasi kwamba mzee huyo akabaki akiwa na mshangao tu.

Alichukuliwa na kupelekwa bafuni kuoga, mapenzi aliyopewa siku hiyo yalikuwa motomoto na yalimkumbusha kipindi kile cha nyuma enzi za uchumba wao.

“Leo siamini kama unanionyeshea mapenzi haya,” alisema mzee Bruno.
“Nimeamua kukudhihirishia kwamba ninakupenda japokuwa siku hizi upo sana bize,” alisema mwanamke huyo.

“Ni biashara tu, ila usijali, kila kitu kitakuwa poa.”
“Kweli?”
“Ndiyo!”

Bi Rosemary akamkumbatia mumewe huku akiwa na furaha tele, moyo wake ulikuwa na kiu kubwa ya kumuua mzee huyo, kila alipomwangalia, aliiona chuki kali ikiukamata moyo wake, hakumpenda mumewe kwa sababu tu alikuwa kizuizi kikubwa cha yeye kujiachia na mpenzi wake mpya, Hashimu.

Bi Rosemary akamwambia mume wake kwamba usiku wa siku hiyo alitaka kutoka naye mtoko wa usiku kwa ajili ya kwenda kula chakula. Hilo halikuwa tatizo kabisa, kwake, alipenda kufanya hivyo kwa kipindi kirefu japokuwa ubize ulimbana sana.

Kitendo cha kukubaliana naye, tayari kilimpa uhakika mwanamke huyo kwamba hatimaye angeweza kumuua mumewe na kuwa na mwanaume mwingine, tena mfanyakazi ambaye alifika hapo akiwa mikono mitupu kabisa.

“Umefikia wapi?”
“Kila kitu tayari, ndiyo natoka naye sasa hivi, yupo sebuleni ananisubiri...” alisema bi Rosemary baada ya kupigiwa simu na Hashimu.

“Basi sawa....si unajua wapi pa kwenda?”
“Ndiyo! Si ulisema Mlimani Lounge?”
“Ndiyo! Hapohapo...”

“Hakuna tatizo.”
Baada ya kujiandaa, akaelekea sebuleni ambapo akamkuta mumewe akimsubiria, alipomuona tu, mwanaume huyo akaachia tabasamu pana, kwa kila kitu kilichokuwa kikitokea usiku wa siku hiyo, kwake kilikuwa kama ndoto na hakukumbuka mara ya mwisho kutoka na mkewe mtoko wa usiku ulikuwa lini.

Wakaingia garini na kuanza kuelekea huko. Njia nzima bi Rosemary alikuwa akizungumza maneno ya kimahaba tu huku akimpigapiga mumewe kwa vikofi vyenye uchochezi wa mahaba humo garini.

Walichukua dakika ishirini tu wakaanza kuingia katika mgahawa huo ambapo wakaifuata meza moja, wakamuita mhudumu na kisha kumuagizia vinywaji.
“Una nini?” alimuuliza mhudumu.

“Pombe au soft drink?”
“Pombe...”
“Zipo zote, ila pombe kali tu...”
“Naomba Johnny Walker...”
“Mimi naomba Sant Anna..”

Wakabaki wawili hao mahali hapo, wakati kila kitu kikiendelea, tayari Hashimu alikuwa amekwishafika mahali hapo, alikaa kwa kujificha sana huku akiwaangalia watu hao wawili wakiyafurahia maisha.

Moyo wake ulimuuma mno, alimpenda mwanamke huyo, kilipita kipindi kirefu pasipo kulala naye na yote hayo yalisababishwa na huyo mzee ambaye piga ua ilikuwa ni lazima afe haraka iwezekanavyo.

Vinywaji vikaletwa, wakaanza kunywa. Stori za hapa na pale zilikuwa zikiendelea kama kawaida. Muda wote bi Rosemary alikuwa akiiangalia glasi ile namna ilivyokuwa ikienda mdomoni na mezani.

Sumu yake aina ya Cyanide ilikuwa kwenye mkoba wake, alichokitaka ni kuona mumewe akijisahau na kuweza kufanya yake. Pombe ziliendelea kuagizwa na mzee huyo akinywa kwa pupa.

“Fanya mambo...” aliisoma meseji ikiwa imeingia kwenye simu yake.
“Si unaona bado anakunywa, nitafanyaje sasa?”
“Hebu njoo huku karibu na choo chenu,” aliandika Hashimu.

Hilo halikuwa tatizo, alichokifanya mwanamke huyo ni kumuaga mumewe kwamba alikuwa akienda chooni, akaenda huko ambapo moja kwa moja akakutana na Hashimu.

“Unaremba sana mpenzi...tatizo nini?”
“Si mwenye umeona!”

“Ni kazi nyepesi mno...hebu kucha zako...”
Kwa Hashimu kazi wala haikuonekana kua kubwa, alichomwambia ni kuichukua dawa hiyo ya unga na kuiweka katika kucha zake ndefu kisha kuelekea kwenye ile meza na kujifanya kama anaishika glasi yake kumywesha kwa mapenzi motomoto na kuiruhusu sumu ile kuingia kwenye chupa.

Kwa mbinu aliyokuwa amepewa, hakukuwa na tatizo hata mara moja, akafanya kama alivyoambiwa na kurudi kwenye meza. Huku sumu ile ikiendelea kuwa kwenye kucha ya kidole shahada akachukua glasi aliyokuwa akiitumia mumewe iliyokuwa na pombe na kuiinua tayari kwa kumnywesha.

“Kama zamani jamani...nakupenda mpenzi wangu...” alisema mwanamke huyo kwa sauti ya chini, wakati glasi ikielekea kwenye mdomo wa mumewe, tayari sumu ile ikaingia ndani ya pombe ile, mzee Bruno alipokunywa, akanywa na ile sumu.

Mzee Bruno hakujua kitu chochote kile, aliendelea kunywa pombe mfululizo, baada ya dakika tano tu, akatulia, akalishika tumbo lake na kuanza kulalamikia maumivu makali ya tumbo.

Bi Rosemary akaanza kumpozapoza lakini hakuacha, bado aliendelea kuugulia kwa maumivu makali hali iliyowafanya hata wahudumu wengine kusogea katika meza hiyo.

“Kuna nini jamani?” aliuliza mhudumu mmoja.
“Mume wangu ana aleji na pombe, alihisi kwamba amepona kumbe bado, jamani nisaidieni nimpeleke hospitali...” alisema bi Rosemary.

Wahudumu hao wakaanza kumbeba na kumpeleka ndani ya gari. Bado mzee Bruno aliendelea kulia kwa maumivu makali, gari lilipoondoka mahali hapo kuelekea hospitali, naye Hashimu akatoka, akaingia ndani ya gari lake na kuanza kulifuatilia mpaka lilipofika katika Hospitali ya St. Louis iliyokuwa Mikocheni B.

“Amekwishakufa,” alisema bi Rosemary mara baada ya kulipaki gari lake nje ya jengo la hospitali hiyo, akateremka na kuanza kupiga kelele za kuomba msaada ambapo manesi wakamletea machela, wakautoa mwili wa mumewe na kuanza kuuingiza ndani.

Muda wote bi Rosemary alikuwa akilia, alijifanya kutokuamini kama kweli mumewe alikuwa hoi, alimshika na kulia sana, machozi yalimtoka mfululizo mpaka naye kutaka kuingia kwenye chumba cha upasuaji, yote hayo aliyoyafanya, alionekana kuwa muigizaji mzuri hata zaidi ya Jacob Steven.

“Nataka kuingia na mume wangu....nataka kuingia na mume wangu....” alipiga kelele bi Rosemary.

Je nini kitaendelea.....
 
Ntajua badae nikimaliza kazi

Sehemu ya 44

“Subiri hapo mama....” alisema nesi mmoja huku akimuonea huruma bi Rosemary, tayari alijua kwamba mwanaume huyo alifariki dunia kwani mapovu yaliyochanganyikana na damu yalikuwa yakimtoka.

Madaktari wakaingia ndani ya chumba cha upasuaji kwa ajili ya kumshughulikia mzee Bruno, kwa kuwaangalia, namna walivyokuwa wakijitolea kwa mzee huyo ni kama walikuwa na lengo la kumsaidia lakini nyuma ya pazia kila kitu kilikuwa wazi kwamba walihitaji mzee huyo afe kama vile walivyokuwa wamepanga.

Hakukuwa na mtu aliyekuwa na huruma naye, wote waliangalia fedha, walilipwa vizuri hivyo ilikuwa ni lazima wakamilishe hatua iliyobakia ili waweze kumfurahisha mteja wao ambaye aliwaamini kwa asilimia mia moja.

Mzee Bruno alikuwa amefariki hata kabla hajafikishwa mahali hapo hivyo kitu walichokifanya ni kumzungushia pazia la kijani na kisha kutoka ndani ya chumba kile, kitu cha ajabu sana, kifo chake kiliwafurahisha na kuona kwamba kila kitu walichokuwa wamepanga, kilifanikiwa.

“Niambieni kuhusu mume wangu...” alisema bi Rosemary, kwa kumwangalia alionekana kuchanganyikiwa mno, kumbe moyoni, moyo wake ulikuwa na faraja tele.

“Samahani...nifuate ofisini....” Bi Rosemary akaanza kuelekea ofisini huko pamoja na daktari huyo, walipofika, wakaufungua mlango na kuingia ndani. Tayari Hashimu alikuwa ndani ya ofisi hiyo, walipoonana, wakakumbatiana kwa furaha na kuanza kufurahia.

“Hongera sana mpenzi kwa kuwa muigizaji mzuri kama Kanumba...” alisema Hashimu.

“Asante sana mpenzi....”
Hivyo ndivyo ilivyokuwa. Taarifa zikatolewa kwa ndugu wa mzee Bruno, walihuzunika, hawakutegemea kama ndugu yao angekufa ghafla namna hiyo.

Kwa sababu mchezo mzima ulichezwa na madaktari, hata ripoti ilivyotoka ilionyesha kwamba mzee huyo alikufa kwa shinikizo la damu na pia wakatoa sababu kwamba kipindi cha nyuma hakutakiwa kunywa pombe kutokana na kuwa na matatizo kiafya, siku hiyo ambayo alikunywa pombe, ikamletea matatizo zaidi.

Ripoti ya madaktari ikaaminika, katika msiba wake, watu wengi walikwenda kwenye mazishi yake, katika kipindi chote hicho bi Rosemary hakuacha kuigiza, alionekana kuchanganyikiwa, alilia huku akilalamika kwamba Mungu alikuwa amemuonea.

Kila kitu kilipokamilika na mzee Bruno kuzikwa, hapo ndipo maisha ya upande wa pili yalipoanza. Kijana aliyekuwa ombaomba mitaani, mwizi, leo hii ndiye aliyekuwa akiendesha biashara ya madawa ya unga aliyokuwa amerithi kutoka kwa mzee Bruno.

Kwa kuwa alikuwa kijana mwenye kiu ya mafanikio, alihakikisha anafanya biashara hiyo kwa nguvu zote.

Aliwaandaa vijana wake, aliwafundisha mbinu mbalimbali ili wasikamatwe, alipanga mipango yake vilivyo, wale waliokuwa wadeni wa mzee Bruno akaamua kuwasamehe, yote hiyo ilikuwa ni kutaka kuonekana bora, kweli alifanikiwa.

Mapenzi yake na bi Rosemary yakawa motomoto, walipendana, walipeana mapenzi ya kweli na siku zikaendelea kusonga mbele kama kawaida.
Japokuwa alikuwa kijana bilionea lakini hakutaka kabisa kuwasaidia watoto wa mitaani aliokuwa amewaacha nyuma.

Alikuwa na kawaida ya kupita na gari, alipowaona, aliwahurumia na kumwambia dereva wake awagawie kiasi kikubwa cha fedha na yeye kuondoka zake.
“Ninamtaka Aisha...ni lazima nimuoe...” alisema Hashimu siku moja.

Hivyo ndivyo ilivyokuwa, alijua kwamba alikuwa na bi Rosemary lakini mapenzi yake hayakuwa makubwa sana kama alivyoanza kuhisi hisia kali za kimapenzi kwa msichana ombaomba aliyewahi kuishi naye, Aisha.

“Kama kweli nilishirikiana na huyo mwanamke kumuua mumewe, nina hakika anaweza kushirikiana na mwanaume mwingine kuniua....” aliwaza Hashimu.

Baada ya kupanga mipango yake na kuanza kumfuatilia Aisha, taarifa ambayo ilimuumiza moyo wake ni kwamba msichana huyo hakuwepo tena mitaani bali alichukuliwa na mwanaume mwingine aliyetokea kumpenda.

Moyo wake ukamuuma sana, usiku mzima alikuwa na mawazo, alimhitaji sana Aisha lakini hiyo haikuonekana kuwa sababu ya kumuacha bali alichokifikiria ni kuendelea kumfuatilia.

Baada ya miezi kadhaa kupita ndipo alipoamua kufuatilia kujua Aisha alikuwa wapi. Hiyo kazi akawapa vijana wake na baada ya siku kadhaa walimwambia kwamba alikuwa akiishi Kijitonyama.
“Safi sana.....”

Wakati akipanga mipango yake, tayari bi Rosemary akaanza kuona mabadiliko, hakuwa akipendwa kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma hivyo kuhisi kwamba nyuma ya pazia kulikuwa na kitu.

Akaanza kufuatilia, hakukuwa na kitu ambacho aliomba kisitokee kama kugundua kwamba mwanaume huyo alikuwa na mwanamke wa pembeni.

Alijitahidi kufuatilia, alifuatilia na kufuatilia lakini hakugundua kitu japokuwa kila alipomwangalia Hashimu, alihisi kulikuwa na kitu.

“Tatizo nini baba?” aliuliza bi Rosemary.
“Kuhusu nini mpenzi?”
“Haupo kama zamani, nini kinaendelea?”
“Mmh! Sipo kama zamani? Kivipi tena jamani?” aliuliza Hashimu huku akionekana kushangaa.

“Una mawazo mengi sana siku hizi, nini kinakusibu? Mbona hutaki kunishirikisha?” aliuliza mwanamke huyo.
“Hakuna kitu mpenzi...sogea kwanza...” alisema Hashimu, mwanamke huyo akamsogelea na kumkumbatia.

Bi Rosemary alifarijika lakini hakuwa na jinsi, mbele yake akaona usaliti mkubwa, hakika moyo wake ulimuuma mno. Hakutaka hilo litokee, kulikuwa na kila sababu ya kuzuia jambo hilo, alichotakiwa kukigfanya ni kumuua Hashimu tu.

“Kama nilimuua mwanaume niliyeishi naye kwa miaka zaidi ya ishirini, kwake nitashindwaje?” alijiuliza bi Rosemary.
Hakukuwa na ugumu wowote ule, alichokuwa akikitafuta ni amani moyoni mwake.

Kama alivyomuua mumewe kwa kumuwekea sumu ya Cyadine basi hata huyu Hashimu naye angemuua hivyohivyo kwa kumuwekea sumu nyingine ambayo ingemuua ndani ya siku mbili kwa kumsababishia kansa ya koo, hivyo akaipanga mipango yake.

Hivyo akapanga mipango yake vilivyo, baada ya siku mbili, akanunusumu kali iitwayo Suphodium ambayo ilikuwa na nguvu ya kuharibu koo ya mtu na kumfanya kutokuongea.

Aliamini kama angemsababishia kansa ya koo na hatimaye kufa basi hata kama angebahatika kuwa hai asingeweza kuzungumza hivyo kuwa ngumu hata kupanga mipango na vijana wenzake, hivyo kuhusu biashara na mambo mengine angeyafanya yeye.

Kweli, akanunua sumu ile na baada ya siku kadhaa kupita, akamuwekea kwenye juisi, pasipo kujua kama juisi ile iliwekewa Suphodium, Hashimu akaanza kuinywa juisi hiyo pasipo kujua kwamba ndiyo alikuwa akikiita kifo chake.
*****

Je nini kitaendelea........
 
Sehemu ya 45

Siku iliyofuata ndipo Hashimu akaanza kujisikia maumivu makali. Koo yake ikaanza kumuuma mno kitu kilichomfanya kwenda katika Hospitali ya St. Louis ambapo baada ya kufanyiwa uchunguzi ikagundulika kwamba likunywa kitu chenye sumu.

Moyo wake ulimuuma mno, hakuamini kama kweli bi Rosemary aliamua kumuua kama ilivyokuwa kwa mumewe.

Aliligundua hilo hivyo hasira zake zikamkaba kooni na hapohapo kuwaagiza vijana wake, kumteka mwanamke huyo na kwenda kumtumbukiza baharini huku wakimfunga chuma kikubwa cha taili la gari, kweli wakafanya hivyo.
Akabaki hospitali akitibiwa.

Japokuwa alikuwa kwenye hali mbaya lakini madaktari walipigania afya yake kwa kiasi kikubwa na kufanikiwa kuitoa sumu yote ila kilichokuwa kimebaki ni kwamba koo yake ilikuwa na matatizo, hivyo akaanza kupoteza nguvu ya kuzungumza.

Hali hiyo ikamfanya kusafiri mpaka nchini India katika Hospitali ya Apollo kuona kama angeweza kutibiwa na kupona, huko, walishindwa kumsaidia zaidi ya kumpa kifaa ambacho angekuwa akikitumia kuzungumzia, kifaa kidogo kilichopitishwa katika shingo sehemu ya koo ambayo ilitobolewa.

Yalikuwa ni mateso makubwa, hakuweza kuzungumza harakaharaka kama ilivyokuwa zamani, kansa ya koo iliyomuanza ilionyesha kabisa kwamba angepoteza maisha yake siku chache zijazo hivyo kitu alichokifanya ni kuanza kumfuatilia Aisha.

“Kwake tulikosa, tukaambiwa kapelekwa India kwenda kutibiwa...” alisema mwanaume mmoja.

“Anaumwa nini?”
“Wala hatujui...”
“Hebu fuatilieni mpaka India, ninataka kujua anaumwa nini,” alisema Hashimu huku akionekana kuchanganyikiwa.

Vijana hao wakaondoka na kuelekea nchini India, baada ya mwezi mmoja wakarudi na kumpa taarifa ambayo ilimsikitisha sana kwamba msichana huyo aliyekuwa akimpenda alikuwa na saratani ya utumbo mkubwa ambayo kitaalamu huitwa Colon Cancer tena mbaya zaidi ilikuwa ni Terminal Cancer yaani saratani isiyopona, ilikuwa ni lazima afe. Moyo wake ukanyong’onyea mno, aliumia lakini hakuwa na jinsi.

Alichokuwa amekiagiza ilikuwa ni kwamba lazima msichana huyo aendelee kufuatiliwa na hata kama itawezekana, atekwe na kupelekwa kwake, azungumze naye na kumwambia kwamba alikuwa na terminal cancer kwa kuamini kwamba watu aliokuwa nao, iliwezekana kabisa hawakumwambia, hivyo hakujua kama alikuwa njiani kufa.

“Ninamtaka Aisha mahali hapa....” alisema, vijana wakaondoka na ndipo baada ya siku mbili, wakamleta msichana huyo mbele yake.

*****
Aisha alibaki akimwangalia Hashimu, hakuamini kama mwanaume aliyesimama mbele yake ndiye alikuwa yule aliyepotezana naye kwa kipindi kirefu cha nyuma. Machozi yaliyojikusanya machoni mwake yakaanza kummwagika mashavuni mwake, alitamani kusimama na kumkumbatia lakini hakuweza.

Moyo wake ulichanganyikiwa mno na kitu kilichomchanganya zaidi kilikuwa ni kile kikaratasi alichokishika kwamba alibakiza miezi miwili ya kuishi. Hakuelewa kilimaanisha nini.

“Hashimu...ulikuwa wapi?” aliuliza Aisha huku akilia, Hashimu akachukua peni na karatasi na kuandika kisha kumpa.

“Nilikuja kuutafuta utajiri, hatimaye nimeupata japokuwa nitakufa hivi karibuni, yaani kama wewe,” maneno hayo yalisomeka.

Alichokifanya ni kwenda nyuma ya kiti cha Aisha, akakishika na kuanza kukisukuma kuelekea nje, sehemu ya kupumzikia.

Akaichukua mashine yake ya kuongelea aliyokuwa nayo na kisha kuiingiza kwenye koo yake na kuanza kuzungumza naye japo kwa shida.
“Tunakufa Aisha...” alisema Hashimu kwa sauti ya chini.

“Kivipi?”
“Hivi unajua unaumwa nini?”
“Hapana!”
“Una kansa ya utumbo mpaka, tena ile ambayo ni lazima ikuue, una miezi miwili tu ya kuishi,” alisema Hashimu.

“Umejuaje?”
“Aisha...nimefuatilia kwa kipindi kirefu, mpenzi wako hakukwambia?” aliuliza Hashimu.
“Hapana!”
“Hukuona dalili kama kuna tatizo?” aliuliza Hashimu.

Hapo ndipo msichana huyo alipoanza kuvuta kumbukumbu yake, mtu wa kwanza kabisa kumfikiria alikuwa mchumba wake, Razak. Alikumbuka kwamba mara kwa mara mwanaume huyo alikuwa mtu wa kulia tu, alijaribu kumuuliza chanzo cha kilio chake lakini mwanaume huyo hakuzungumza kitu chochote, na kama alimwambia sababu, basi zile ambazo hazikujitosheleza kabisa.

Moyo wake uliumia, hakuumia kwa sababu alibakiza miezi miwili ya kuishi bali ni kwa sababu Razak hakutaka kumwambia ukweli zaidi ya kuendelea na mipango ya kufunga ndoa.

“Nyamaza Aisha...Namuomba Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu...” alisema Hashimu huku akimsogelea Aisha na kumkumbatia.

Walikaa na kuzungumza mambo mengi, kipindi chote hicho Aisha alionekana kuwa na mawazo lukuki, hakuamini alichoambiwa lakini ndicho kilichokuwa kikiendelea.

Hashimu hakutaka kukaa naye sana, alichotaka ni kuzungumza naye hivyo kuwaambia vijana wake wamchukue msichana huyo na kumrudisha nyumbani kwake kwani tayari alikwishazungumza naye na kumwambia ukweli ambao ulifichwa kwa mwezi mzima.

Muda wote wa safari, Aisha alikuwa akilia tu, hakuamini kama mpenzi wake alimficha, hakutaka kumwambia ukweli juu ya kilichokuwa kikiendelea katika afya yake.

Walipofika karibu na nyumba aliyokuwa akiishi huko Kijitonyama, wakamteremsha kisha wao kuondoka zao.

Aisha akaanza kukisukuma kiti chake mpaka getini, akagonga hodi na mlinzi alipofungua mlango, hakuamini macho yake.
“Shemeji....” alijikuta akiita mlinzi lakini Aisha hakuitikia zaidi ya kulia, akaingia ndani.

Kwa haraka sana mlinzi akaelekea ndani ya kumuita Razak ambaye alikuwa sebuleni huku akilia, alipoambiwa kwamba Aisha amerudi, kwanza hakuamini, harakaharaka akatoka ndani ili akajihakikishie, kweli alipotoka, macho yake yakatua kwa msichana huyo, alikuwa akilia, akamfuata na kumkumbatia.
“Razak mpenzi....” aliita Aisha huku akilia.
“Nipo mpenzi, kuna nini? Mbona unaonekana una majonzi kila wakati?”

aliuliza Razak.
“Niambie ukweli...”
“Kuhusu nini?”
“Kansa ya utumbo niliyokuwa nayo, na katika miezi mitatu nimebakiza miezi mingapi ya kuishi....” alisema Aisha, tena mbele ya wazazi wa mpenzi wake, kila mmoja humo ndani akapigwa na mshtuko, hawakujua msichana huyo alijuaje.

“Nisikilize mpenzi....”
“Kwanza niambie nimebakiza muda gani...”
“Tutalizungumza hilo...”
“NIAMBIE NIMEBAKIZA MUDA GANIIIIIIIII?” aliuliza Aisha kwa sauti ya juu.

Wote walibaki kimya, walimwangalia Aisha huku wakishangaa, kitu alichokiuliza kilikuwa na maana sana kuhusu afya yake lakini kilichowapa maswali ni kwa namna gani msichana huyo alijua kwamba alibakiza muda mchache kabla ya kufariki.

Razak alijaribu kumtuliza lakini Aisha hakutaka kutulia, kitu pekee alichokuwa akitaka kukifahamu wakati huo ni muda gani alikuwa amebakiza kabla ya kufariki.

“Aisha kipenzi, nyamaza kwanza...” alisema mama yake Razak baada ya kuona kijana wake ameshindwa kabisa kumtuliza Aisha.

“Unataka kuniambia nini mama? Mmeniona nikiteseka kila siku, nimewauliza tatizo nini mmekuwa mkinidanganya...Razak, umeniambia sana kama unanipenda, inakuwaje haukutaka kuniambia ukweli?” aliuliza Aisha huku akilia tu.

“Naomba unisamehe....” alisema Razak.
“Nikusamehe! Nikusamehe kwa hili ulilolifanya?” aliuliza Aisha.

“Najua nimekukosea, naomba unisamehe....”
Aisha hakutaka kuzungumza kitu chochote kile, alichokifanya ni kuanza kukisukuma kiti chake kuelekea chumbani. Razak alipotaka kumsaidia, msichana huyo akakataa na kumwambia amuache.

Razak alisikia maumivu makali moyoni mwake, hakuamini kile kilichokuwa kikiendelea. Msichana wake, aliyempenda sana alitekwa na mtu asiyemfahamu lakini baada ya kurejea, badala ya kuwa na furaha kwa kumuona kwa mara ya pili, msichana huyo alibadilika sana.

“Ni nani kamwambia?” aliuliza baba yake.
“Hata mimi nashangaa, kitu hiki kilikuwa siri sana, au Razak kuna mtu ulimwambia?” aliuliza mama yake.

“Mama! Hakuna mtu yeyote niliyemwambia ila ukweli ni kwamba nilifanya kosa....” alijibu Razak.
“Kosa gani?”

“Aisha ni mchumba wangu! Sikutakiwa kumfichana kitu chochote kile, ilikuwa ni lazima nimwambie ukweli, inaniuma sana, sikutakiwa kumtenda hivi Aisha,” alisema Razak huku machozi yakianza kutiririka mashavuni mwake.

Razak hakujisikia amani moyoni, alijua kwamba alifanya kosa hivyo ilikuwa ni lazima amuombe msamaha mpenzi wake. Hakutaka kubaki sebuleni hapo, alichokifanya ni kuondoka na kuelekea chumbani.

Je nini kitaendelea....
 
Aisha matako yako
 
Hiki kizungumkuti. Mke akamuua mume kutegemea furaha matokeo yake na yeye yakamgeukia
 
Sehemu ya 43

Ulikuwa ni mpango kabambe ulioandaliwa kwa ajili ya kuhakikisha kwamba mzee Bruno anauawa haraka iwezekanavyo pasipo mtu yeyoite yule kufahamu chochote.

Kitu alichokifanya Hashimu ni kuandaa mipango yake, akaelekea katika Hospitali ya St. Louis na kuzungumza na madaktari.

Kwanza lilikuwa jambo gumu kuwashawishi lakini baada ya kuweka mezani kitita cha shilingi milioni kumi kila mmoja, wakakubaliana naye na hivyo kujiandaa kwa ajili ya kumpokea mzee Bruno ambaye angeletwa mahali hapo huku akiwa kwenye maumivu makali ya tumbo.

“Nimeshawapanga madaktari, cha msingi umebaki wewe tu,” alisema Hashimu, alikuwa akimwambia bi Rosemary.
“Safi sana, ngoja niandae hiyo sumu, kwa hiyo nimuwekee hapa nyumbani au?” aliuliza bi Rosemary.

“Hapana! Hiyo haitakiwi kufanyika hapa. Ikifanyika hapa itakuwa ni rahisi sana kugundulika, cha msingi mchukue na mpeleke kwenye mgahawa wa kifahari, huko ndipo utamuwekea kwenye kinywaji,” alisema Hashimu.

Wakakubaliana na siku hiyo usiku bi Rosemary akaonyesha mapenzi makubwa kwa mume wake kiasi kwamba mzee huyo akabaki akiwa na mshangao tu.

Alichukuliwa na kupelekwa bafuni kuoga, mapenzi aliyopewa siku hiyo yalikuwa motomoto na yalimkumbusha kipindi kile cha nyuma enzi za uchumba wao.

“Leo siamini kama unanionyeshea mapenzi haya,” alisema mzee Bruno.
“Nimeamua kukudhihirishia kwamba ninakupenda japokuwa siku hizi upo sana bize,” alisema mwanamke huyo.

“Ni biashara tu, ila usijali, kila kitu kitakuwa poa.”
“Kweli?”
“Ndiyo!”

Bi Rosemary akamkumbatia mumewe huku akiwa na furaha tele, moyo wake ulikuwa na kiu kubwa ya kumuua mzee huyo, kila alipomwangalia, aliiona chuki kali ikiukamata moyo wake, hakumpenda mumewe kwa sababu tu alikuwa kizuizi kikubwa cha yeye kujiachia na mpenzi wake mpya, Hashimu.

Bi Rosemary akamwambia mume wake kwamba usiku wa siku hiyo alitaka kutoka naye mtoko wa usiku kwa ajili ya kwenda kula chakula. Hilo halikuwa tatizo kabisa, kwake, alipenda kufanya hivyo kwa kipindi kirefu japokuwa ubize ulimbana sana.

Kitendo cha kukubaliana naye, tayari kilimpa uhakika mwanamke huyo kwamba hatimaye angeweza kumuua mumewe na kuwa na mwanaume mwingine, tena mfanyakazi ambaye alifika hapo akiwa mikono mitupu kabisa.

“Umefikia wapi?”
“Kila kitu tayari, ndiyo natoka naye sasa hivi, yupo sebuleni ananisubiri...” alisema bi Rosemary baada ya kupigiwa simu na Hashimu.

“Basi sawa....si unajua wapi pa kwenda?”
“Ndiyo! Si ulisema Mlimani Lounge?”
“Ndiyo! Hapohapo...”

“Hakuna tatizo.”
Baada ya kujiandaa, akaelekea sebuleni ambapo akamkuta mumewe akimsubiria, alipomuona tu, mwanaume huyo akaachia tabasamu pana, kwa kila kitu kilichokuwa kikitokea usiku wa siku hiyo, kwake kilikuwa kama ndoto na hakukumbuka mara ya mwisho kutoka na mkewe mtoko wa usiku ulikuwa lini.

Wakaingia garini na kuanza kuelekea huko. Njia nzima bi Rosemary alikuwa akizungumza maneno ya kimahaba tu huku akimpigapiga mumewe kwa vikofi vyenye uchochezi wa mahaba humo garini.

Walichukua dakika ishirini tu wakaanza kuingia katika mgahawa huo ambapo wakaifuata meza moja, wakamuita mhudumu na kisha kumuagizia vinywaji.
“Una nini?” alimuuliza mhudumu.

“Pombe au soft drink?”
“Pombe...”
“Zipo zote, ila pombe kali tu...”
“Naomba Johnny Walker...”
“Mimi naomba Sant Anna..”

Wakabaki wawili hao mahali hapo, wakati kila kitu kikiendelea, tayari Hashimu alikuwa amekwishafika mahali hapo, alikaa kwa kujificha sana huku akiwaangalia watu hao wawili wakiyafurahia maisha.

Moyo wake ulimuuma mno, alimpenda mwanamke huyo, kilipita kipindi kirefu pasipo kulala naye na yote hayo yalisababishwa na huyo mzee ambaye piga ua ilikuwa ni lazima afe haraka iwezekanavyo.

Vinywaji vikaletwa, wakaanza kunywa. Stori za hapa na pale zilikuwa zikiendelea kama kawaida. Muda wote bi Rosemary alikuwa akiiangalia glasi ile namna ilivyokuwa ikienda mdomoni na mezani.

Sumu yake aina ya Cyanide ilikuwa kwenye mkoba wake, alichokitaka ni kuona mumewe akijisahau na kuweza kufanya yake. Pombe ziliendelea kuagizwa na mzee huyo akinywa kwa pupa.

“Fanya mambo...” aliisoma meseji ikiwa imeingia kwenye simu yake.
“Si unaona bado anakunywa, nitafanyaje sasa?”
“Hebu njoo huku karibu na choo chenu,” aliandika Hashimu.

Hilo halikuwa tatizo, alichokifanya mwanamke huyo ni kumuaga mumewe kwamba alikuwa akienda chooni, akaenda huko ambapo moja kwa moja akakutana na Hashimu.

“Unaremba sana mpenzi...tatizo nini?”
“Si mwenye umeona!”

“Ni kazi nyepesi mno...hebu kucha zako...”
Kwa Hashimu kazi wala haikuonekana kua kubwa, alichomwambia ni kuichukua dawa hiyo ya unga na kuiweka katika kucha zake ndefu kisha kuelekea kwenye ile meza na kujifanya kama anaishika glasi yake kumywesha kwa mapenzi motomoto na kuiruhusu sumu ile kuingia kwenye chupa.

Kwa mbinu aliyokuwa amepewa, hakukuwa na tatizo hata mara moja, akafanya kama alivyoambiwa na kurudi kwenye meza. Huku sumu ile ikiendelea kuwa kwenye kucha ya kidole shahada akachukua glasi aliyokuwa akiitumia mumewe iliyokuwa na pombe na kuiinua tayari kwa kumnywesha.

“Kama zamani jamani...nakupenda mpenzi wangu...” alisema mwanamke huyo kwa sauti ya chini, wakati glasi ikielekea kwenye mdomo wa mumewe, tayari sumu ile ikaingia ndani ya pombe ile, mzee Bruno alipokunywa, akanywa na ile sumu.

Mzee Bruno hakujua kitu chochote kile, aliendelea kunywa pombe mfululizo, baada ya dakika tano tu, akatulia, akalishika tumbo lake na kuanza kulalamikia maumivu makali ya tumbo.

Bi Rosemary akaanza kumpozapoza lakini hakuacha, bado aliendelea kuugulia kwa maumivu makali hali iliyowafanya hata wahudumu wengine kusogea katika meza hiyo.

“Kuna nini jamani?” aliuliza mhudumu mmoja.
“Mume wangu ana aleji na pombe, alihisi kwamba amepona kumbe bado, jamani nisaidieni nimpeleke hospitali...” alisema bi Rosemary.

Wahudumu hao wakaanza kumbeba na kumpeleka ndani ya gari. Bado mzee Bruno aliendelea kulia kwa maumivu makali, gari lilipoondoka mahali hapo kuelekea hospitali, naye Hashimu akatoka, akaingia ndani ya gari lake na kuanza kulifuatilia mpaka lilipofika katika Hospitali ya St. Louis iliyokuwa Mikocheni B.

“Amekwishakufa,” alisema bi Rosemary mara baada ya kulipaki gari lake nje ya jengo la hospitali hiyo, akateremka na kuanza kupiga kelele za kuomba msaada ambapo manesi wakamletea machela, wakautoa mwili wa mumewe na kuanza kuuingiza ndani.

Muda wote bi Rosemary alikuwa akilia, alijifanya kutokuamini kama kweli mumewe alikuwa hoi, alimshika na kulia sana, machozi yalimtoka mfululizo mpaka naye kutaka kuingia kwenye chumba cha upasuaji, yote hayo aliyoyafanya, alionekana kuwa muigizaji mzuri hata zaidi ya Jacob Steven.

“Nataka kuingia na mume wangu....nataka kuingia na mume wangu....” alipiga kelele bi Rosemary.

Je nini kitaendelea.....
@Shunie
Shukran sana haya nipo nangoja 44 japo kuna sehem zimejirudia mama.

Ubarikiwe sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom