Haya nitakuwa nakuwekea pmHapana baba kitunguu nisamehe tu jamani yaani nimekuwa adimu sana jf nikiingia story imeenda sana na mm sasa nilivyo ni mvivu sana nikiona episode nyingi nashindwa kusoma jamani
Kanambia mpya ndo nikataka kujua wa zamani yu wapi?!Sasa mm nitakosaje babe jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nimuite tumosaNaanzaje kuwakana kwenye gubu nimejitoa mm sina gubu kama nyie
sasa hivi hata sikuelewi shoga anguEeenh naona unataka kuniharibia tatizo la babe wangu ukiniharibia ndio anazidi kunipenda nitake nn shunie mm
Anaitwa naniNdio umuulize tena mwambie aache kuniharibia nina babe mmoja tu sina wa zamani
Miss you too shunie ake[emoji8][emoji8]Miss u carba akee [emoji8]
Uwiiii nakujaNjo nyumbani makapuku sasa hivi nipo naye utamuona
tulia basiHivi unielewe ili ugundue nn kwa mfano jamani