Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,941
- 236,638
Ni coincidence mpangaji kuitwa Humuli Samaki?S
Sio kweli wala hazifanan
Asante mkuuNice
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ebu tuma nakara hata mojaNi coincidence mpangaji kuitwa Humuli Samaki?
Kuishi Mwinjuma?
Kujuana na Komba?
Kuhamia Magomeni?
Kutumia maneno doti kom, kiburate, kaunto?
Mwenzangu unazungumzia ipi ambayo haifanani na hii?
Asante mkuuHii simulizi nishawahi isoma mKwenye gazeti Kama si risasi Basi Ni ijumaa enzi hizo .. nilikua msomaji mzurii wa hadithi
Ilikua ya kusisimua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
gemplatnumz nakuheshimu kama mtu ambae simjui hanijui. Nimeongea ukweli ambao watu wote tuliowahi kuisoma hii hadithi wameusema.Mkuu ebu tuma nakara hata moja
πππππππππ saman mkuugemplatnumz nakuheshimu kama mtu ambae simjui hanijui. Nimeongea ukweli ambao watu wote tuliowahi kuisoma hii hadithi wameusema.
Kutaka nikutumie nakala huku unajua ninachoongea ni sahihi ni kunikosea heshima.
Naomba tuheshimiane ndugu.
ππππππ polekuna ile hadithi ya pesa za kijijini......jamaa baba yake alioa jini...nayeye anatakiwa arithi jini baada ya baba yake kufa. ...jamaa alienda kunakosemekana ni origini ya jini yule sijui KISIMA CHA NUNGWI!! mweny linki hiyo anichek...
Sijui muhusika alifanya mwendelezo maana story za humu zinaishiaga njiani
Nasubil nakalaHii simulizi nishawahi isoma mKwenye gazeti Kama si risasi Basi Ni ijumaa enzi hizo .. nilikua msomaji mzurii wa hadithi
Ilikua ya kusisimua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
ThanksAsante
Mkuu amekubali yaishe, lkn huwezi jua huenda ni yeye ndiye Irene Mwamfupe Ndauka wa Ijumaa weekenda enzi hizo maana hadithi hii ilitoka 2014, huyu Dada km sikosei alianza na Mzalendo au mwananchi zile hadithi za Jumapiligemplatnumz nakuheshimu kama mtu ambae simjui hanijui. Nimeongea ukweli ambao watu wote tuliowahi kuisoma hii hadithi wameusema.
Kutaka nikutumie nakala huku unajua ninachoongea ni sahihi ni kunikosea heshima.
Naomba tuheshimiane ndugu.
Ngoma ilikua imenoga mzee af sis ma first timers tukaogopa fanan asijikukatwa stim ndo nikafanya uo uropokaji yakinifuNi coincidence mpangaji kuitwa Humuli Samaki?
Kuishi Mwinjuma?
Kujuana na Komba?
Kuhamia Magomeni?
Kutumia maneno doti kom, kiburate, kaunto?
Mwenzangu unazungumzia ipi ambayo haifanani na hii?