Simulizi: Nilipanga nyumba moja na majini

S

Sio kweli wala hazifanan
Ni coincidence mpangaji kuitwa Humuli Samaki?

Kuishi Mwinjuma?

Kujuana na Komba?

Kuhamia Magomeni?

Kutumia maneno doti kom, kiburate, kaunto?

Mwenzangu unazungumzia ipi ambayo haifanani na hii?
 
Mkuu ebu tuma nakara hata moja
 
kuna ile hadithi ya pesa za kijijini......jamaa baba yake alioa jini...nayeye anatakiwa arithi jini baada ya baba yake kufa. ...jamaa alienda kunakosemekana ni origini ya jini yule sijui KISIMA CHA NUNGWI!! mweny linki hiyo anichek...

Sijui muhusika alifanya mwendelezo maana story za humu zinaishiaga njiani
 
Mkuu ebu tuma nakara hata moja
gemplatnumz nakuheshimu kama mtu ambae simjui hanijui. Nimeongea ukweli ambao watu wote tuliowahi kuisoma hii hadithi wameusema.
Kutaka nikutumie nakala huku unajua ninachoongea ni sahihi ni kunikosea heshima.

Naomba tuheshimiane ndugu.
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁 saman mkuu
 
kuna ile hadithi ya pesa za kijijini......jamaa baba yake alioa jini...nayeye anatakiwa arithi jini baada ya baba yake kufa. ...jamaa alienda kunakosemekana ni origini ya jini yule sijui KISIMA CHA NUNGWI!! mweny linki hiyo anichek...
Sijui muhusika alifanya mwendelezo maana story za humu zinaishiaga njiani
😁😁😁😁😁😁 pole
 
gemplatnumz nakuheshimu kama mtu ambae simjui hanijui. Nimeongea ukweli ambao watu wote tuliowahi kuisoma hii hadithi wameusema.
Kutaka nikutumie nakala huku unajua ninachoongea ni sahihi ni kunikosea heshima.
Naomba tuheshimiane ndugu.
Mkuu amekubali yaishe, lkn huwezi jua huenda ni yeye ndiye Irene Mwamfupe Ndauka wa Ijumaa weekenda enzi hizo maana hadithi hii ilitoka 2014, huyu Dada km sikosei alianza na Mzalendo au mwananchi zile hadithi za Jumapili
http://basahama.blogspot.com/2017/06/simulizi-nilipanga-nyumba-moja-na_20.html#.XKsf2P0zZIx
http://simulizishiwawa.blogspot.com/2014/02/
 
Ni coincidence mpangaji kuitwa Humuli Samaki?

Kuishi Mwinjuma?

Kujuana na Komba?

Kuhamia Magomeni?

Kutumia maneno doti kom, kiburate, kaunto?

Mwenzangu unazungumzia ipi ambayo haifanani na hii?
Ngoma ilikua imenoga mzee af sis ma first timers tukaogopa fanan asijikukatwa stim ndo nikafanya uo uropokaji yakinifu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom