Sehemu ya 22
Tulizungumza mambo mengi tu, na kwa kuwa suala la ndoa lilikuwa likiratibiwa zaidi na upande wa kiumeni, mume wangu mtarajiwa aliniaga akisema anakwenda kuendelea na shughuli zilizo salia kabla ya ndoa.
Hata hivyo, kabla hajatoka ndani, aliniachia mabusu motomoto huku akinitekenya tekenya kwa hila. Alizibinya binya taratibu embe zangu wakati mwingine akawa anakipapasa kiuno changu.
Kama isingekuwa mkandamizo wa wa kifikra niliokuwa nao dhidi ya yule fedhuli mwenye picha zangu za utupu, basi asubuhi ile lazima tungeikaribisha kwa mambo yetu yale ya kiutu uzima.
Baada ya kuhakikisha Alex ameondoka kabisa nyumbani kwangu, nilirudi kwenye simu yangu na kumpigia yule bwana, simu ikiwa sikioni nikapokea ujumbe kwamba simu ile ilikuwa haipatikani.
“Kwa nini sasa umezima simu!” niliongea peke yangu kwa masikitiko.
Masikitiko yangu yalikuwa katika tafsiri moja tu. Nilitaka nimalizane na mtu yule kabla ya siku ya ndoa yangu, kitendo cha kutompata katika simu, maana yake ni kwamba, ningeendelea kuishi kwa mashaka na wasiwasi siku zote.
“Nifanye nini?” nilinong’ona mwenyewe.
Kwa kweli nilishikwa na hofu kubwa moyoni, nilirudia kumpigia tena simu yule bwana, ujumbe nilio upata ulikuwa uleule. Namba ilikuwa haipatikani.
Au nimwambie ukweli Alex juu ya mambo niliyowahi kufanya maishani! Sauti moja kichwani ilinishauri. Hata hivyo, wasiwasi wangu ukawa vipi kama nikimwambia halafu nikaishia kuachwa!
Siku hiyo kutwa nzima nilishinda kama mgonjwa. Si chakula wala maji, vyote vilikuwa vichungu kinywani mwangu.
Jioni ilipotimu, mpenzi wangu Alex akanipigia simu. “Unaendeleaje mpenzi?”
“Nimepona.”
“Kuna jambo nataka tuongee,” “Jambo gani?” “Kuna bwana kanipigia simu…” alisema. Mapigo ya moyo wangu yakaanza kunienda mbio, nikatishika vibaya sana. Nikawaza isije kuwa yule jamaa mshenzi, amekwisha weka wazi kila kitu. Akaendelea.
“Jina lake naitwa Kaheza,amesema kuna kitu anataka kunionyesha kuhusu wewe.”
“Kitu gani hiko?” hatimaye mtoto wa kike nikajikaza na kumuuliza bila kuonesha wasiwasi wowote simuni.
“Amenieleza ataniambia kesho asubuhi?”
“Kwa hiyo unasemaje Alex?”
Asante mkuu tubarikiwe sote soma na hiiDada umeleta story fantastic ilonifunza mengi.
Yani sikuwahi kaa nikapoteza muda nikisoma story namna hii ila leo nimepoteza an hour and ahalf nikiisoma hii hadithi uloleta.
Thanks umenipunguza stress nilizopata leo.
Mungu akubariki.
Daaah yani hapa mume na mke wote wameliwa!!!!Sehemu ya 60
Ni tabia yake hiyo ndio imesababisha hadi nijikute naangukia kwa mpenzi wangu wa zamani, Victor, ambaye naye kila ninapokutana naye lazima anifanyie kwenye gari langu mwenyewe.
Machozi yalijikusanya machoni mwangu, kisha yakanibubujika mashavuni. Nikatoka kwenye maficho na kusogea kwenye malango wa chumba ambacho mume wangu alikuwa akiishi.
Nilisikia sauti ya redio ikitokea ndani, lakini katikati ya sauti ya redio, nikasikia sauti za mahaba zinazopishana kwa zamu, ajabu zote zilikuwa za wanaume na mojawapo ilikuwa ya mume wangu. sauti hiyo ilitoka katika namna ya kushangaza kidogo. Alikuwa analia kama mimi mbavyo huwa nalia!!!.
Akili yangu ilishindwa kufanya kazi sawa sawa, nikabakia nimefadhaika. Ndio. Ilikuwa lazima nifadhaike maana sauti ya mahaba ya mtu wa pili nayo nilikuwa naifahamu kabisa. Alikuwa ni Victor. Mchepuko wangu wa Tandale.
Nilishindwa kuelewa. Hawa wanaume wawili wanafahamiana vipi? Lakini humo ndani wanafanya mapenzi na wanawake gani? Wivu na hasira hasa dhidi ya mume wangu ukazidi kufukuta. Nikashika kitasa cha mlango na kukinyonga. Bahati nzuri kumbe ulikuwa haujafungwa. Nikasukuma mlango na kuingia ndani.
Lahaulaaa!!!.
Sikuamini kile nilichokuwa nakiona mbele yangu. Mume wangu Alex alikuwa anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mchepuko wangu Victor. Yanii victor alikuwa amemgeuza mke mume wangu Alex.
Ilikuwa ni kama vile niko ndotoni! Nilikuwa nimesimama wima, macho yamenitoka pima. Kizunguzungu kikali kilikuwa kimenishika. Miguu ikaniisha nguvu, macho yakanilegea, bila kutarajia nikajikuta naanguka chini.
Alex na mwenziye nao walikuwa wameduwaa kama vile masanamu ya kuchonga. Wakagutuka na kuachiana baada ya kuniona nimeanguka chini na kuketi kitako.
Hakuna aliyeongea kitu, macho ya kila mtu yalikuwa na wasiwasi na mashaka, walivaa nguo haraka haraka.
Miguu yako mizuri, imependelewa. Inaonekana Mungu alitumia week nzima kuiumba.Kwanini mkuu??
Shukrani kwa kunipamba mkuu,Miguu yako mizuri, imependelewa. Inaonekana Mungu alitumia week nzima kuiumba.
Wengi sana...Hii story kweli inawafatiliaji au
Tena wengi sana..Usisahau kuna wanaofuatilia kimya kimya mumie.!!
Na weye nawe...Inanitia uvivu nahisi kuikatisha
Usione vyaelea....Miguu yako mizuri, imependelewa. Inaonekana Mungu alitumia week nzima kuiumba.
Sehemu ya 61
Mimi niliendela kuwa pale chini huku pumzi zikinitoka kwa shida.
Mume wangu alikuwa wa kwanza kumaliza kuvaa, uso wake bado ulikuwa na wasiwasi mwingi, hakuweza kuniangalia usoni, nikiwa pale chini pumzi zikinitoka kwa shida, mume wangu alinipita, akafungua mlango kisha nikamsikia akitimua mbio.
Victor anaye alikuwa anamalizia kuvaa viatu, naye alitaka kukimbia kama alivyofanya mwenziye.
“Kumbe wewe na mume wangu ni washenzi hivyo.” Nilimwambia Victor.
Kauli hiyo ikamfanya akugutuke, ni kama vile alishtushwa kusikia namtuhumu na mume wangu. “Huyu shoga ndio huwa mumeo?” Kauli hiyo ikanikata maini. Nikalia kama mtoto mdogo.
WIKI MBILI BADAYE
Alex alinitaliki. Siku napewa talaka yangu nilishangilia kwa furaha. Ndio, hakuna mwanamke katika dunia anayeweza kukubali kuwa na mwanaume ambaye ni shoga.
Sababu ya kuachana na mwanaume huyo ilibakia kuwa siri yangu na yeye, hata hivyo baada ya kuona jamii na serikali yangu inapambana dhidi ya tabia hizo za kishenzi, nikaona ni vizuri nikatoa ushuhuda wa mkasa huu ili iwe funzo kwa watu wengine.
MWISHO
Nawe unatunga siku hiziiii[emoji1787][emoji1787] wewe bwana
Kuna nyingine umeiona