Simulizi: Mimi na Boss Wangu

Nipo kijiweni nasubiri uzi wa History ya Maisha Yako babukijana "Story of My Life"
 
Honorable Jack Daniel Daniel ,kweli niseme umeandika vyema kabisa uhalisia wenye funzo katika maisha,hii itasaidia wengi kujifunza namna ya kuishi na watu hasa Hawa wanawake,pia kingine story Ina ujumbe wa kutosha yote ayo m nimejifunza kutokata tamaa katika maisha+ kuchuja mawazo mbalimbali kabla ya utelekezaji.

#big up sana Kwa kutumia muda wako kuburudisha na kuelimisha jamii.
 
Moyo wa shukrani big up mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…