Simulizi: Mimi na Boss Wangu

Mkuu Jack Daniels shukrani kwa story nafikiri Rose aliona hutamuoa na una mke akaamua kusonga mbele . Angekwambia ungekataa msiachane.
 
Tangu mwaka 2013 hadi sasa
Safi sana,maana hiyo mikasa mi mwenyewe huwa nikifkiria hapa nilipo aisee ni Mungu tu.
Maana nikisimulia ni matukio bandika bandua toka Baba amefariki niko 11 mpaka leo.
Duuuh umri wangu na matukio haviendani.nafukuzia 50 ila ni km nimeishi miaka 90+ kwa matukio.
Nashkuru Mungu aisee Uhai haninyanganyi.
Ni km wewe tu napigwa matukio mwisho baada ya kulia na kusota sana napata upenyo natoboa.
 
Ndio Mana
Ukajiita babu kijana
 
Vipi kuhusu biashara ya salon ya Esta je ilifika mbali au alirudi kwenye umaskini, na mdogo wake Rose bado yupo kwenye ile kampuni mpaka leo au aliondoka pia na vipi kuhusu mtaa ulokua unakaa awali au ulihama baada ya kupata mchongo mpya?
 

You are a subtle orator, with extra endowment, try to use this endowment to earn extra income.
God Bless dude
 
Mkuu mm nikushukuru Zaid kwa muda wako ingawa story yako wengi humu hawaijui ndio maana ilikuwa inawachangiaji wachache ila ilikuwa Ni story nzuri Sana na yenye mafunzo I wish wengi wangepitia wajifunze Jambo
 
Sidhani kama ingependeza kutumia nguvu ili mtu ajue kuwa umefanikiwa kwakuwa huwezi shindana na walimwengu mkuu.

Kuhusu Shedy alifungwa hadi leo hii.
VIP kuhusu madam Bado Yuko katk ofc ile je kapata mtoto kama alivyo tarajia
 
Wee jamaaa utakuwa unafanya Kaz tanroad tu hkn namna
 
hii simulizi inadeserve mil+ views...asante mkuu na hongera pia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…