Simulizi: Mimi na Boss Wangu

Shukrani mkuu kwa story yako hii yenye mafundisho mengi!
 
Ahsante mkuu, una vitu adimu sana.
Uchambuzi murua
 
Aliolewa na jamaa fulani anayeishi nchi za nje ambaye ndiye aliyekuwa anamuwezesha vitu vingi ikiwemo pharmacy. Tukapoteana,

Mara ya mwisho kumuona ilikuwa ni kipindi Cha kampeni za urahisi 2020 tukikutana mkoani, Kila mmoja alifurahi sana. Japo kila mtu Ana maisha yake.

Hii simulizi imefupishwa vinginevyo ingeisha mwakani
 
Sidhani kama ingependeza kutumia nguvu ili mtu ajue kuwa umefanikiwa kwakuwa huwezi shindana na walimwengu mkuu.

Kuhusu Shedy alifungwa hadi leo hii.
Nakubalii mkuu nimesomaa mwanzo mwishoo,yt ya yt ulichobarikiwa na MUNGU n mkee aisee bro.mkee umepataaa na umejuaa jinsi yakuishii nayeee ,jack na mdg wakee now wapo darasaa la ngap na vp mdada wa kazi bd yupo au alishaondokaa kwakoo..kila la heri broo
 
Asante sana kwa kushare story na sisi.
Nimejifunza mengi sana kupitia simulizi hii.
Ubarikiwe
 
Shukran boss, japo hujatuambia ni lini ulienda kuktavuna Esta au baada ya kugombana mambo yaliishia hapo
 
Shukran boss, japo hujatuambia ni lini ulienda kuktavuna Esta au baada ya kugombana mambo yaliishia hapo
Madam,
Alinionya nisije mpigia Simu.

ESTA
Niligombana naye, japokuwa huwa naonana naye kwani kajenga jirani na nilipo, na sijawahi kuwa karibu naye.

Shedy
Ni mfungwa baada ya kukutwa na hatia, hata hivyo mkewe yupo anapambana na maisha.japo Sina ukaribu nao

Mywife,
Ni mjasiamali mkubwa kwa sasa.

Rose,
Anaishi nje ya nchi, alikoenda baada ya kuolewa, japo nikiwa kwenye msafara wa kampeni ya urais 2020,nilionana naye mkoani Dodoma aliwa sehemu yetu.
 
Shukrani kwa stori tamu mkuu.
Kwa jinsi ulivyomsifia Rose kwenye suala la nidhamu ya malezi ilikuwa ni lazima utafika wakati sahihi na yeye apate mtu asiye na ndoa afanye maisha ya familia tofauti na wewe mlivyokuwa mnapitisha muda tu. Kwahiyo nimeshangaa ulivyokuwa na dhamira ya kuendelea kumtumia bila kujali mustakabali wa maisha yake.

Sema nimemtoa vyeo Rose pia kwa kuamua kuvunja uhusiano kimya kimya wakati mngeyazungumza mkapata muafaka wa pamoja. Naamini ungemuelewa.

Story nzuri na usimuliaji unavutia na hauchoshi kabisa.
Mwisho kabisa nikupongeze kwa kuvumilia UJUAJI wetu wana JF.
 
Asee hongera sana mkuu kwa kuacha huo mchepuko. Maana mchepuko sio jambo muhimu hata kidogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…