Kupunguza uzito kdgo muhimuSEHEMU INAYOFUATA..........
Niliweka simu sikioni,
Hello Mr Daniel, nilisahau kukuuliza jambo la muhimu mno
Alisema Rose.
Jambo gani my friend, uliza tu.
Nilijiamini.
Naomba kujua taarifa zifuatazo,
Je, una mke?
Una watoto wangapi?
Na unaishi wapi,?
Maana Mimi huwa sipendi kuharibu ndoa za watu , maana usichopenda kufanyiwa basi usimfanyie mwenzio. aliweka kituo.
Usijali da Rose, majibu ya maswali yako yanahitaji utulivu Siyo kukurupuka , Mimi nadhani tunapaswa kupata muda sahihi wa kuweza kuyajadili haya. wala usijali. Nilijibu huku nikipiga hatua kusogea mbele zaidi.
Mimi nimekutahadharisha tu, kwasababu tunaweza kukaa sehemu tunapiga zetu stori mara tukaonekana na watu wanaotufahamu huoni kama nitakuwa najidhalilisha? Labda nisikufiche ni kwamba nimemuulizia mdogo wangu hapa kasema wewe una mke na watoto tena mwingine mchanga hivyo ni vyema ungejikita na familia yako tu. aliongea Rose huku safari hii akiwa kakaza sauti kuonesha anamaanisha.yaani hataki ukaribu na Mimi
Sikuwa na jinsi kwakuwa nilikuwa maeneo ya nyumbani hivyo ikawa ngumu kumshawishi zaidi, msimamo aliouweka kwangu haukunishangaza kwakuwa ni mwanamke anaye onekana anajitambua na kujiamini lakini kubwa zaidi ni mtu mwenye Elimu yake!!
Nikarudi ndani nikiungana na familia yangu.
Daddy, daddy , my daaaaady, ilikuwa sauti ya Jack my daughter akiita siyo kwamba sikumsikia ila amekuwa msumbufu sana kwangu.
Ana tabia ya kuniuliza maswali ya huko shuleni kwao Sasa unakuta mmekaa sebuleni mbele za watu anakuuliza swali gumu unaanza kubabaika mwisho wa siku unatia aibu.
Mume wangu husikii mtoto alikuita , msikilize mwanao , kutwa nzima upo ofisini jua kuwa mtoto anakumiss!
Hebu msikilize, aliamrisha.
Kwa kuondoa shari, nilikuja sebuleni huku nikijichangamsha mwanangu asiijue hali yangu,
Enhee tell me my daughter, lete habari, kwanza umekula?
Eti mke wangu mnamzingatia huyu kuhusu ulaji wake huyu anahitaji ale kwa mpangilio nimeleta virutubisho muhimu vyote , kwahiyo nahitaji awahishwe kuanzia kula kuanzia breakfast na vyote vinavyofuata.
Niliongea yale ili kumtoa kwenye mada, maana sikuwa tayari kwa maswali yake.
Wala si hivyo mume wangu huyu alitaka akuage tu maana tulipokea simu kutoka kwenye uongozi wake kuwa kuanzia jumatatu anatakiwa awepo shuleni kwaajili ya masomo ya ziada, hivyo tangu aisikie ile simu kutwa nzima ananisumbua nikupigie ili awe wa kwanza kukwambia, alisema mke wangu.
Kumbe ni hayo, Siyo mbaya maana Bora awahi tuition, lakini nani atamfuata huyu, au nimpeleke mwenyewe, niliuliza.
Nitampeleka mwenyewe siku ya jumamosi tumeambiwa lazima mzazi mmoja aende,hivyo Mimi dada wa kazi yaani wote tutaenda.
Nilifurahi sana kusikia jumamosi mke wangu atakuwa bize maana , nina mipango yangu licha ya Rose kujaribu kunifungia vioo lakini Mimi ni mwanaume bwanaaa, nilijisemea.
Usiku wa siku ile ulipita huku kila kinachofanyika kwenye wiki ile kikionesha mafanikio kwa asilimia nyingi japo changamoto Huwa hazikosekani.
Siku inayofuata kama kawaida nilikuwa ofisini, tofauti na siku zote Leo hii yule Binti ambaye tupo ofisi Moja alikuwa bize na mambo yake,
Si yule Binti niliyemzoea , Leo hii ukimya ulizidi baada ya kugundua Hilo nilijikeep kwenye kazi zangu.
Mr Daniel, alivunja ukimya yule Binti.
Naona computer yangu ipo slow mno , lile tatizo ulilorekebisha siku zile limejirudia, alisema yule binti.
Dah , mtihani kweli ila ni Bora uwafuate viongozi wakubadilishie Tena Kuna MacBook safi kabisa za kisasa kuliko kujipa kazi. nilimjibu
Ila Mr Daniel,naomba kuuliza japo utanisamehe sana kama nitakukwaza, ni kwamba jana dada kanisema sana kwamba kwanini nagawa namba zake hali iliyopelekea nikajisikia vibaya, kwasababu Mimi sikukupa kwa matumizi mengine Bali kwaajili ya kurahisisha upate kumuona kwa urahisi,
Sasa swali langu ni kwamba, kwanini umeongea Nini kibaya Hadi akanilaumu? aliongea kwa unyonge.
Kwanza samahani na pole kwa kujisikia vibaya , ni kweli nilimtafuta dada yako kwa Mara nyingine lengo ni kufahamiana tu, tumezaliwa , tunaishi, na ipo siku tutakufa.
Hapa katikati kwenye maisha , Kuna mambo mengi tunafanya , na kwenye Kila unalofanya Lina hitaji watu,
Hebu fikiria mfano huyu boss aliyeanzisha hii kampuni, hangeweza kuiendesha bila watu, Kuna vibarua humu , wafanyakazi rasmi kama mimi na wewe pamoja mnyororo wa watu chungu mzima.
Hivyo naomba nieleweke kuwa hata Mimi naiamini falsafa ya watu naamini sana kwenye kujuana na watu, hupanua wigo wa mafanikio. au hujui kama watu ni mtaji? Niliuliza huku nikimwangalia bila kupepesa macho.
Alinikubalia kwa kutikisa kichwa,
Nikaendelea....
Hata wanaofanya biashara kwa njia ya mtandao wanahitaji
Followers, Subscriber's ikiwa na maana kadri unavyopata wafuatiliaji wengi wa biashara na kazi zako ndiyo unavyozidi kuyakaribia mafanikio.
Yote kwa yote naomba uniombee msamaha kwa dada yako kwamba kama Kuna sehemu nilimkwaza basi anisamehe.
Hakuna binadamu asiyekosea. nilimtega yule binti.
Hapana kaka, hapana.
Kwanza sioni kosa lako lakini pili sijui dada alichukuliaje hili suala , maana binafsi nimekuelewa sana uko vizuri, umenifahamisha vitu vingi. Alisema yule Binti safari akionesha uchangamfu wa hali ya juu tofauti na mwanzo.
Baada ya kazi sikuvunga, licha ya malalamiko niliyosikia kupitia mdogo wake bado nilimpigia simu, maana kama hanitaki kwanini kanipa hii namba mpya,?
Nikapiga simu akapokea fasta kwenye hii namba mpya.
Hello doctor, habari za kazi! Nilimchokoza
Nzuri tu Mr Daniel, sijui kwako,alijibu kwa sauti ya chini nikanoti kitu.
Sawa zangu ni salamu tu, ila nilikuwa naomba ushauri kwako maana wewe ni Daktari nilitaka kufungua pharmacy karibu na ninapoishi ila Sina utaalamu kabisa kuhusu hii biashara, nilidanganya kwa kumtega.
Ohooo wazo zuri sana, zipo mamlaka ambazo zinahusiana na hayo mambo, ila kwakuwa hata Mimi pia ninayo pharmacy na ni mtaalamu wa madawa nitakuelekeza utangulizi wake japo maelezo hayatoshi kuzunguza kwenye simu.
Basi si mbaya kwanini tusiitumie weekend kujadili hili suala maana ni vyema zaidi , niliropoka baada ya yeye kujaa kwenye kumi na nane zangu,.
Usijali tafuta muda maana jumapili Huwa naenda kanisani lakini pia Huwa sitoki ovyo nafasi pekee ni jumamosi tu. alijibu
Nilifurahi sana tu , maana kama akikubali kukaa na Mimi meza Moja basi siwezi kushindwa kwanza naanzaje.
Swali je atakuja? Mke wangu ana Lea na Mimi hatua nilipofikia kwa kweli nalazimika kupunguza uzito.
Nini kitajiri, usikose sehemu inayofuata.
Itaendelea............
Jamaa unajua kusimulia,hongera.SEHEMU INAYOFUATA..........

Mzgo umenoga hatari😋😋SEHEMU INAYOFUATA....... .....
Siku ya jumamosi ilifika, asubuhi na mapema nilikuwa na nyundo nikitinduatindua sehemu Moja ambayo fundi aliniambia kutawekwa Maru maru (tiles) .
Mume wangu sisi tunaondoka ,nataka nimpeleke Jack halafu niwahi kurudi.
Halafu pia Kuna hela ya mafundi nimeiacha hapo. Wakija utawapatia
Vipi ushaita usafiri?
Aliuliza
Yes, nimeita dereva taxi anakuja pia naomba msisitize kuhusu mwendo, mwambie asikimbie sana. maana we mwenyewe bado mgonjwa, nilitoa maelekezo ya tahadhari
Pia mke wangu Mimi nitatoka, nataka niende mjini, Kuna jamaa naenda kuonana naye, si unajua tena nahitaji usafiri Sasa Kuna yard moja nimeambiwa Kuna magari used ambayo bado yapo quality kabisa.
Nilidanganya.
Halafu baba Jack sijui upoje! Ila tambua kuwa siku hizi umebadilika sana yaani hushindi nyumbani kabisa nilitegemea naenda kumkabidhi huyu mtoto nirudi nikukute kumbe unaondoka, alilalamika.
Sawa, si mbaya Kuna vitu vingi ukinizuia nisifanye lakini matunda yake baadaye uliyafurahia , Kaa ukijua kuwa Sina mshahara wa kuweza kuanzisha biashara kubwa, ila nilazima nijiongeze, na huko kujiongeza tunahitaji connection hakuna fursa itakuja nikiwa nimekaa eti nalipwa mshahara, wee mwenyewe unatambua kwamba hata hii nyumba imejengwa kwa mikopo, umesahau kuwa tuna deni kiasi gani?
Kifupi ubize wangu naomba uuheshimu, hii itasaidia kuimarisha na kujenga ndoa yetu. Nahangaika kwaajili yenu, ili siku ya siku nikifa usiolewe kabla ya arobaini. Niliongea kwa mikwara.
Taxi hiyooooo acha si tuwahi.
Walivyotoka tu , nilichukua simu nikampigia Rose,
Helloow good morning Mr, mke watoto na familia kiujumla hawajambo? Alisalimia kwa mbwembwe na uchangamfu mkubwa.
Halafu kidogo nikupigie , ulikuwa kwenye mawazo yangu mwaya , yaani umeniwahi tu, aliongea kwa sauti tamu sana
Unajua Nini Rose , ukiona unamuwaza mtu sana jua naye kuwa anakuwaza, hivyo mioyo yenu wawili inaendana, niliongea nikamfanya akacheka sana.
Sawa bwana lete habari , alihoji
Sina habari mpya zaidi ya yale tuliyoongea kwenye simu,tunaweza kupanga muda tunakutana saa ngapi dada yangu . niliongeza
Sasa Mr Daniel, si kuhusu mambo ya pharmacy siyo? Hayo ningekueleza tu kwenye simu, Wala hakuna shida, alisema huku tayari moyo ukinienda mbio kwa ile Ahadi kukaribia kuvunjika.
Hapana Rose, tafadhali naomba kwa heshima na taadhima tuvunje tu shughuli zetu tupate kuonana nahitaji dada yangu. ilibidi nimuombe kiupole.
Ok, sawa ni kweli kuna kazi naifanya ila naahirisha kwasababu yako, ni saa ngapi tunakutana, aliuliza
Napenda lunch tupate pamoja hakika ingependeza sana, yaani kifupi saa Saba tukutane hotel ya (jina kapuni).
Baada ya kukubaliana hayo, nilifurahi huku nikianza kujiandaa ili ifikapo saa tano hivi nipate kuondoka kuelekea hotel Fulani nzuri siyo expensive sana ila Ina mazingira mazuri na kwa uzoefu wangu huwa Haina watu wengi , ni moja ya sehemu ukimpeleka mgeni wako hutojutia.
Saa Saba na robo nilikuwa kwenye viunga vya hotel ile huku nikipiga hatua kuelekea meza Moja iliyokaa ki traditional ila ilivutia sana kabla hata sijakaa wahudumu wakarimu na wenye tabasamu walikuja kuuliza Nini nahitaji huku kukiwa na television kubwa ikiwa na maandishi yanayotembea taratibu ikionesha aina ya vyakula na bei zake .
Kwakuwa nilipanga kula na Rose kwa pamoja niliagiza maji tu huku nikiwaambia nitawaita siyo muda akifika mgeni wangu .
Chaajabu saa nane , saa tisa hakutokea mtu , Kila nikipiga simu haipokelewi , kero hii nilijisemea , kweli kuchepuka ni kazi ona Sasa mapenzi yanaanza kuninyanyasa mithili ya mtu asiyekuwa na mke mengine tunayataka wenyewe acha anikomeshe.
Wakati nikiwaza hayo Binti mwenye nywele safi za kihabeshi au kisomali hazikusukwa Bali zilikuwa ndefu za wastani, aliingia huku simu ikiwa sikioni , niliashiria kwa mkono nilipo akakata simu akaanza kutembea kwa madaha kuja nilipo, akiwa kavalia vyema gauni moja la heshima pamoja na raba za kike nzuri zinazofanana na mkoba wake. Hata wanaume wakware waligeuza shingo kuangalia Mali ile safi.
Samahani Mr Daniel, nimechelewa naomba nisamehe tu , Kuna mzigo ulikuja dukani kwangu hivyo ilikuwa lazima kuwepo palepale ili kisiharibike kitu , hivyo nisamehe kaka yangu. Wakati huo wahudumu waliokuwa faster kama bao la mimba inayoingia kwa mwanafunzi ili muhusika uende jela, walifika pale huku nikimtaka mwanamama aagize msosi wa nguvu yaani gharama ya siku moja haikuwa neno kwangu.
Dah hongera my friend umependeza sana, ujue siku ile pale hospital sikukusoma vizuri, labda pengine Yale mavazi ya kazini pamoja na ile kofia ya ki Doctor.nilivunja ukimya
Ahsante jamani dah
alijibu huku akibinua midomo kwa kutabasamu kuonesha kaaibu fulani.
Tulikula vizuri , na jambo lililonifurahisha ni kwamba Rose wa watu alikuwa na njaa hivyo, alikula ile ipasavyo .
Mr Daniel, naomba ujue kuwa biashara yeyote huwa si jambo la kukurupuka Bali lazima liwe akilini mwako muda mrefu, je wewe hili wazo la biashara ya madawa ya binadamu umepata lini?
Aliuliza swali nisilotarajia huku akiwa ananiangalia bila kukwepesha macho.
Wazo ninalo muda mwingi sana, nilimjibu.
Sawa unajua watu wengi huwa wanafanya biashara ya kitu ambacho ana taaluma nacho ,mfano fundi makenika unaweza Kuta hakosi duka la spare za magari na vingine vingi ,
Afisa mifugo na kilimo ni rahisi kuona ana duka lenye uhusiano na taaluma yake, siyo hao tu hata mafundi nguo/cherehani ni rahisi kukuta anauza vitambaa vya nguo tofauti tofauti,hata Mimi siyo kwamba siwezi kuwa na aina nyingine ya biashara ?la hasha
Ila Nina duka la madawa muhimu kulingana na taaluma yangu Sasa nikuulize Mr Daniel,wewe unabiashara gani ambayo unayo Hadi sasa.aliuliza yule Rose ambaye niligundua ni mtu smart sana kichwani.
Hapana niwe mkweli Sina biashara yeyote. Nilijibu
Kwanini umechagua biashara ya madawa ya binadamu. aliuliza.
Nimefanya uchunguzi maeneo ya nyumbani kwangu nimegundua maduka ya aina hiyo yapo mbali sana hivyo watu hulalamika kwamba pharmacy zipo mbali mno hivyo nikaona ni fursa nzuri hii, nilimjibu.
Oooh very nice, biashara ya madawa muhimu bwana Haina masharti magumu ni kuzingatia madawa muhimu tu, kumbuka Lile ni duka tu si Kila madawa ya hospital huwekwa pharmacy, Lakini pia ni kutafuta muuzaji ambaye ana utaalamu kidogo, yapo mengi kama kuzingatia expire date n.k ila japo Mimi nitakusaidia lakini ni vyema ungeanzia kwenye mamlaka husika itakuwa poa zaidi. alinifafanulia
Nilijifanya Niko bize na makini huku nikiwa na peni na karatasi kunukuu Kila anachosema.
Baada ya kuongea hayo muda wa kuagiza vinywaji ulifika huku stori zikiendelea , niliagiza local beer huku yeye nikimuagizia wine matata ambayo hata bei sikuuliza, kuja kuambiwa bei yake baadaye maumivu yakawa moyoni tu.
Sikuremba nilimsifia Kila Mara huku akiwa tayari katambua lengo langu.
Lakini Mr we una mke na watoto huoni kama itakuja kuwa shida hii, alihoji.
Hakuna shida, Mimi mke wangu namheshimu hivyo Kila kitu kitafanyika kwa nidhamu.nilijibu
Huenda Hilo lisiwe shida ila shida ni kwangu kwasababu, tangu afe mchumba wangu, sijawahi kutamani kumpenda mtu tena . Aliongea kwa masikitiko.
Nikajifanya kushtuka, kwani ulikuwa na mchumba akafariki, pole sana my friend ilikuwaje? Niliuliza
Alikuwa ni miongoni mwa madaktari waliochaguliwa kwenda kuwafanyia tohara watu wa nyanda za juu huko hivyo baada ya zoezi Lile kuisha wakiwa safarini kurudi mjini ndipo gari lilipopinduka na kuchukua uhai wa *****wangu (akimtaja jina)huku sauti ikianza kubadilika.
Usijali my tumeumbwa kwa mavumbi na mavumbini tutarejea kinachofanyika ni kutangulia tu lakini sote tupo njia moja, nilimpoza poza na kumfariji mpaka akawa sawa,
Tuliongea mambo mengi ya hapa na pale huku tayari wine ikimkolea maana alionekana kuongea mambo hata ambayo sidhani kama yalinihusu au yalikuwa na ulazima kuyaongea,.
Samahani Daniel hivi unajua sisi ni walevi aliongea huku akitabasamu.
Hapana sisi ni wanywaji siyo walevi ujue, nilimjibu
Unaweza kunipa tofauti Kati ya mnywaji na mlevi, aliuliza kwa kudeka huku safari hii nikiwa nashikashika viganja vyake vilaini akiwa na bangili na saa fulani nzuri ya kike.
Mnywaji ni mtu anayekunywa pombe kiasi chochote kile Lakini kamwe hawezi kusahau majukumu yake, kama kwenda kazini, kuihudumia familia kwa sisi wanaume.
Mlevi ni mtu ambaye pombe humtawala na kujikuta anasahau majukumu yake, huku pombe na yeye na yeye na pombe. Nilimjibu kwa mikato.
Aisee Mr Daniel unajua sana kujitetea, ila nimependa mambo yako inaonekana mnapendana sana na mkeo, alijibu huku akijilaza mapajani mwangu.
Lakini baada ya kuinuka akawa na haya....
Mr Daniel naona nikuage tumekaa zaidi ya masaa matano na Giza linaingia, hivyo natumai ushauri wangu umeuelewa na h
Ukihitaji msaada zaidi kuhusu utaratibu wa kuanzisha biashara hiyo nitafute usijali. aliongea kwa kujiamini huku akitabasamu kifupi alijua kuwa nimekufa nimeoza ila alizidisha makusudi.
Sasa my friend Nina jambo lingine nahitaji unielewe ,..........
Kabla sijamalizia aliinuka na kwenda kwenye gari lake huku nikimkimbilia nikishindwa kuamini macho yangu , taratibu ile Lexus ikapotea kwenye upeo wa macho yangu.
Nilishika njia kuelekea kwenye kwenye magari ya umma huku kitendo Cha mademu wakali kuwa na ndinga huku Mimi nikiwa Sina kiliniuma mno kweli umasikini ni LAANA.
Nilijitoma kwenye daladala huku ustadhi mmoja niliyekaa siti moja akiinuka baada ya kukutana na harufu asiyoipenda . simu toka kwa Rose iliingia huku nikiona hatuwezi kuelewana ukizingatia makelele kwenye gari.
Baada ya kushuka nilimpigia simu..
Akapokea....
Samahani, tena samahani sana usinielewe vibaya Mimi ni mtoto wa kike najua lengo lako lilikuwa Nini ila bado mapema usijali tutazidi kuwasiliana, aliongea kwa sauti ya chini.
Sasa kwanini ulikimbilia kwenye gari Mimi nilikuwa na pocket money yako ujue, niliongea kilevi.
Usijali hayo si mambo ya muhimu yapo tu ila tutazidi kuwasiliana. akakata simu.
Kiufupi dini yangu ingeruhusu ningetangaza ndoa Rose alinikamata.
Usikose sehemu inayofuata burudika.
Itaendelea...................
Mkuu kumbe ulishusha nondo tatu mfulioizoSEHEMU INAYOFUATA..........

Nimekipenda Sana hiki kipandeSEHEMU INAYOFUATA....... .....

Mtoto rose, mtoto anaenichanganya mpaka naishiwa pozi.......
Anajua nimefall hasa kwa rangi yake ngozi.,
Najipa moyo najua siku moja tutakuwa close,
Sometime usiku ananiijia kwenye njozi,
Home boy Jack Daniel hiyo story yako ni zaidi ya doziiiii....

safi sana mkuuHaha dr 🤣 Mistari Mikali kwa dr rose...Mtoto rose, mtoto anaenichanganya mpaka naishiwa pozi.......