Simulizi: Mimi na Boss Wangu

Simulizi: Mimi na Boss Wangu

SEHEMU INAYOFUATA............

Hali ya amani pale nyumbani haikuwa nzuri, tayari aliyoyazungumza mke wangu yalikuwa ya kweli,
Saloon imefunguliwa,
Kwa ESTA nafika Mara nyingi tena si kwa kuiba Bali naenda nikiwa huru kabisa.

Suala lililoniuma ni kwamba yote niliyoyafanya ni kwa masilahi Wala si mambo ya kimalaya,

Endelea..............

Mke wangu baada ya kusema yale alianza kupekua nguo kabatini huku akichagua ipi aiache na ipi achukue.

Mke wangu, umeongea meengi uliyoyasikia kwa majirani, sijakujibu kitu, ukimya wangu hauna maana kuwa siwezi kukujibu Bali nashangaa ulivyokosa hekima na upembuzi wa mambo.mimi siyo mwanao ni mumeo ni mwenyekiti kwenye familia hii hivyo pale upatapo taarifa mbaya naomba utulie pindi unaponiuliza.
Nilimsema.

(Kwanza alicheka)
Nikufikirie kwa lipi baba, Kila kitu kipo wazi, tena hadharani, hata watoto wadogo wanajua haya, wale wasiokufahamu kiundani kabisa wanajua wewe una wake wawili Sasa nihitaji masikio mangapi kulisikia hili, mtu mwenyewe ni mgonjwa yule Mara nyingi nakwambia hivi unataka kuniua unataka kuniua Mimi na mwanangu?

Sikutegemea kabisa, kama utabadilika hivi , Imani yangu inaniambia kuwa unaweza kuwa na mwanamke yoyote yule japokuwa sitaki kuyajua hayo, lakini kwanini uwe na ESTA mtu ambaye Kila siku nakweleza matatizo yake?
Aliweka kituo.

Hapana mke wangu , sijawahi, sikutamani, na sitatembea na ESTA hata Mara moja, bahati mbaya kwake ni kwamba nimemuweka kwenye fungu la dada zangu niliozaliwa nao.
Kubwa zaidi ya yote , ni kwamba tamaa za maisha na vihela vidogo vidogo ndiyo zilizotibua usalama hapa kwangu Sasa kwakuwa yamekuwa hayo hakuna sababu ya kukuficha kuanzia Leo nitakuwa na wewe kwa Kila hatua ya ninachokifanya.

Sasa nafunga mjadala sihitaji maswali wa hoja tuzungumze mengine. Niliongea kwa kuamrisha.

Uzuri ni kuwa mke wangu na wote mle ndani wakigundua nimepaniki huwa wanashuka chini.
Nililala huku yeye akienda kulala chumba kingine na mtoto mchanga.

Siku iliyofuata ilinikuta kazini, nilikuwa kawaida tu tofauti na Jana yake ila bado niliomba sana MUNGU mambo yale yaishe salama hasa baada ya kukuta huenda familia yangu ikasambaratika, maana hakuna maisha matamu kama mkielewana na mke wako, kinyume na hapo unaweza pitia magumu mno.

Siku hiyo nilijipigisha simu kwa mke wangu Huku nikiwa namtumatuma vitu, na kumpigisha
Vijistori vya kuchekesha , lengo la kufanya hayo ni kumsoma ana mawazo gani,ni kweli alikuwa mpole alikuwa mwenye mikato mingi tofauti na mke wangu ambaye huwa tunataniana kama vijana wa chuoni wakiwa kwenye penzi jipya,.

Nilimuacha huku nikifikiria kumshirikisha Kila kitu kuhusu mpango wa Mimi na boss wangu,
Nikaendelea na kazi.
Wiki nzima sikuwa na uhusiano mzuri na mke wangu. Nilienda kwe droo yangu nikazikuta zile pesa zimetulia safi bila kuguswa hata mke wangu Mwenyewe Wala hakujua kama Kuna pesa mule ndani, Kuna muda nilianza kuzichukia nikawa najisemea kuwa zote nitampa ESTA maana siwezi kuuza utu wangu na kuiharibu familia yangu. Lakini Kuna roho ikaniambia weeeeeh ishia hapohapo, pambana hizi hela ni zako.......

Siku chache baadaye, ambapo ilikuwa ni weekend, tulikuwa kwenye mgahawa mmoja mjini tukiwa kama ifuatavyo...

Mimi, mke wangu, ESTA, MADAM na mama mchungaji ambaye ESTA alimchagua kama msimamizi wake, lakini pia alikuwepo dereva fulani wa madamu ambaye aliambiwa akae pembeni ili tuongee watano tu.

Baada ya kupata Chakula pale huku Mimi nikifanya kazi ya ziada ya kumlazimisha mke wangu ambaye ale maana alikuwa hataki anaona kama namuigizia.

Enhee ndugu zangu, tumeitana hapa ili kuyajenga huku Mimi nikiwa muhusika mkuu ninayehitaji huruma zenu, lakini namuona mgeni hapa, sikutaka niharakishe kumfahamu,
Je, naweza kumtambua?

Sawa mwanangu najua Mimi ni mgeni kwako, naitwa (jina kapuni)
Nj mama mchungaji katika kanisa fulani dogo lililo nje ya mji huu,
Alidakia yule mama baada ya kujijua kuwa labda ndiye mgeni anaye zungumziwa.

Sawa nashukuru kuwafahamu nyote, hebu tolu niambie maana wewe ndiye ulinipigia simu kuwa unahitaji kutukutanisha Mimi na Hawa wote, vipi Kuna shida gani?
Aliuliza madam kwa kujiamini.

Aaaaah kiukweli MADAM kazi uliyonituma ya kumshawishi ESTA apatane na wewe nimeifanya vizuri ila nimeshindwa kumalizia.................

Hahaha umeshindwa kwenye finishing, eti dada(akimuita mke wangu)kipindi hicho huyu alikutongoza kwa mistari ipi maana Kuna mahali anafeli, au ndiyo Hawa wanaosaidiwa na wazazi kupata mke, madam aliongea na kufanya watu wote wacheke.

Mimi na mume wangu tuliunganishwa na roho mtakatifu hivyo jambo letu lilikuwa rahisi sana kwahiyo sijui ufundi wowote juu yake maana Mimi sikumsumbua, alijibu mke wangu watu wakacheka zaidi.

Lengo la madam kuanza maada kwa utani mwingi nilijua ni mbinu za kusoma nyuso za watu ili kubaini nani yupo tofauti,

Bila kupoteza muda nashukuru tumepata mtu mzima kwenye hiki kikao kifupi , sisi wote ni vijana mnafahamu hilo? Hivyo mama naomba ueleze unalolijua kuhusu ndugu yangu ESTA, alisema madam.

Ukweli wanangu Mimi Sina Cha kusema zaidi tu nilifuatwa na ESTA ambaye Mimi ni mama yake wa hiari , akija na mshituko kuwa Kuna pesa kaletewa nyingi ikionesha ni takrima fulani kwaajili ya msamaha, lakini kilichomshtua ESTA hata kuja kwangu kutafuta ushauri ni uwingi wa kiasi Cha pesa, hivyo nikashauri kwanza turudishe kwa aliyeleta halafu hatua zingine zitafuata. Alimalizia yule mama.

Madam (akicheka)jamani jamaniiii msiniue mbavu , tolu ukilalamika kuwa wanataka kukupeleka polisi siyo? Aliuliza madam

Ni kweli ingekuwa hivyo lakini yapo mengi ambayo yamefanya nihitaji kukutana na wewe , safari zangu kuanzia kumpangia chumba ESTA Hadi kufungua saloon, habari hizi mke wangu hazijui, kilichofanya asijue ni kwakuwa nilimshirikisha tangu mwanzo akawa hayupo radhi nahisi ni uoga tu,

Hivyo Mimi niliendelea na movements za kum approach ESTA ili akubali mpango wako, hivyo wakati hayo yakiendelea taarifa zikafika kwa mke wangu kuwa Mimi Nina mahusiano na ESTA. Niliweka kituo

Hata ningekuwa Mimi nisinge amini, alikazia madam,.
Mke wangu alikuwa makini kuliko umakini wenyewe,

Huku ESTA alikosa nguvu kabisa baada ya kusikia kuwa Kila kitu nilichofanya kilitoka kwa madam, siyo kwamba hakutambua alikuwa katikati, hivyo baada ya Mimi kuthibitisha alilia sana.

Huku akimkumbatia mama yake wa hiari, tukampoza huku shughuli za kuombana msamaha zikifuata ,

Maelezo aliyoyaeleza madamu kuhusu Nia ya kuomba msamaha wa dhati kabisa, yalitosha kumshawishi kila mmoja kukubaliana naye hasa baada ya kueleza point moja matata kuwa anashindwa kupata mtoto na sijui atazaa lini.

Nikawaza, kumbe naye Hana mtoto?
Tukaangaliana na mke wangu Huku tukikonyezana kwa viulizo, mpaka kufikia hatua hii tayari mke wangu alikuwa ameamini mambo mengi maana uso wake ulionesha ,

Dada Nasra dada Nasra, niliapa kutokukusamehe kwa yote uliyonifanyia , naamini wazi maisha uliyokuwa nayo yalikuwa ni maisha yangu, una maisha mazuri Nasra, una Kila kitu ambacho binadamu anapaswa kuwa nacho uliyaharibu maisha yangu , lakini acha nitengue kiapo changu maana hata Mimi mwenyewe ni mwenye dhambi sidhani kama napaswa kuendelea kushikilia msimamo wangu.

Nimekusame Nasra, nimekusamehe,
Najua unehangaika sana
Kuhitaji hii suluhu hivyo Sina namna. Aliongea ESTA.

Ni kweli Nina Vitu vingi najivunia, sifanani na matajiri wengi Ila nilipofikia namshukuru MUNGU japokuwa hali ya kukosa mtoto, na hakuna uwezekano wa Mimi kupata mtoto hakuna hivyo nasumbuka sana naomba unisamehe ESTA. Aliongea madamu huku wote wakilia kwa kwikwi,

Machozi huambukiza, hata mke wangu alianza kumshauri ESTA amsamehe yule Madam ambaye ndiyo Mara ya kwanza kusikia kuwa anaitwa Nasra, maana majina anayotumia kazini siyo Yale.

Wote watatu mke wangu, MADAM na ESTA walikumbatiana huku wakilia huku yule mama mchungaji, akiwa anashangaa tu na pia asingesogea pale maana alikuwa kampakata mwanangu mchanga.

Baada ya kuona hali ile niliamua kuwaacha wote, kama kulia walie, maana Yale hayakuwa machozi ya huzuni kwamba una Kazi ya kumbembeleza mtu ,
Yalikuwa ni machozi ya ushindi, victorious tears machozi ambayo hupaswi kuyakatisha.

Machozi ya kiupatanishi, machozi ya furaha, ESTA kamsamehe MADAM ni kwasababu ni mwenye dhambi kama alivyosema au kwakuwa kagundua mpunga aliokuwa anauogopa kagundua hauna madhara!

Kweli PESA acha iitwe PESA

Nyodo zoooote Mara sitomsamehe mtu Leo kiko wapi, nikawaacha nikawa pembeni nikiwa na amani, maana wale watalia watanyamaza tu,

Dereva wa madam mwenye asili ya kihindi baada ya kuona boss wake anaonekana kulia alikuja kwangu akihema watu wengi wakiwa wanajisogeza ili kujua what's happened walitamani kuniuliza lakini nilikuwa bize na simu, huku yule dereva alitaka kunimaind maana alikuwa mbali anashangaa boss wake kulia.

Nilikuwa makini huku begi nililoweka pesa zote milioni kumi taslimu likiwa kifuani ili zitakapohitajika na wenyewe zisiwe mbali, nilifurahi maana kulikuwa na Kila dalili za ushindi lakini pia niliamini mke wangu kajua ukweli kwa asilimia nyingi hivyo amani imepatika.nilijiwazia

Nini kitajiri usikose sehemu inayofuata.

Itaendelea................
 
Boss,hongera kwa upatanisho,Niko hapa mbele kabisa nasubiri urudi utupe mambo
 
Kali Sanaa movie hii
 
Walioimba pesa ni sabuni ya roho hawakukosea ila usiombe uwe na pesa huku laana fulani inatembea juu ya maisha yako, utamu wake wote unapotea. Nje unaonekana una furaha lakini ndani yako una kaa la moto linalokuunguza taratibu
 
Acha shobo mtoto wa kiume utapakatwa
Kwa iyo hapa brain imeshakudanganya is how you can you get rid of pain.
Jitahidi ufanye Kama bongo unavyokuambia Mana kawaida ubongo haupendi maumivu.
So kupakatwa wewe umeona Kama Ni Nini ama ndio umebuni Mana hili neno nilishasikiaga so am not afraid of it.
Do you want to make me to be fearful or unipe emotional pains.
I know both physical and emotional pains.
Learn how to live with fear Don't fear anything Mana kuuhalisia huniumizi Bali nitajiumiza mwenyewe Kama nikiyakubali maneno yako. Kiuhaisia tusi ama neno lako unaloniambia halina mana yyte kwangu balu mie mwenyewe ndiye nayeliwekea Mana ambayo Ina lengo la kuniumiza emotionally.

Mfano ungenitukana kichina mie sikijui sipati hisia zozote.
I block my brain from emotional pains and physical
 
Usijali mkuu hakuna sababu za kujibu Kila comments humu, tuenjoy na simulizi yetu tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom