junior nyahucho
Member
- Jun 17, 2022
- 17
- 12
imekuwa balaa mzee baba
imekuwa balaa mzee baba
Hahaha eti kirefu cha deiwaka!deiwaka (day workers) Leo ndio nmejua kirefu cha deiwaka
Kaka na mimi ni mmoja wapodeiwaka (day workers) Leo ndio nmejua kirefu cha deiwaka

Hahahahhaaaaaaa ndugu wewe unamawazo yenye akili sanaa MdigokhanTuhadisie mpk ulivojiunga jamiiforums
Pilau limeanza kuingia mchangaSEHEMU INAYOFUATA..............
Yule mwanamke aliniandama sana kipindi Cha usichana wangu, Kila kitu kizuri alihakikisha ananinyang'anya, alinifanyia ushirikina wa hali ya juu sana, licha ya Mimi kujaribu kutembea kwa wataalamu kadhaa angalau kupambana na shida za ulimwengu, bado niliambulia patupu.
Huyo boss wako sijui mama yako alikuwa kaniwahi, mbaya zaidi watu niliokuwa kimahusiano aliwachukua yeye, nikabaki namshukuru MUNGU tu kwakuwa nilikuwa hai pengine ningeshakufa siku nyingi.
Sasa Leo hii anakutuma wewe kusudi uitoe roho yangu yaani mambo mengi aliyonifanyia miaka ile bado hakuridhika amefikia kutaka kuniua kabisa, haya niue, niuweeee,
Niuwe Daniel, Mimi Sina msaada wowote kama alikutuma uje unudhuru kwanini uhangaike kiasi chote hicho kwani Mimi nakushinda nguvu?
Niuweeeeeeee,
Alisema kwa sauti ya juu ESTA kiasi Cha kujaza watu pale nje, ni ESTA alikuwa ananiita shemeji yake ila kwa Leo ananiita tu kwa jina langu,
Nilitoka nje kwa aibu huku nyomi la wapangaji pamoja na majirani wakiwa wametega sikio.
Nikiwa natafuta njia ya kuelekea barabara kuu huku baadhi ya watu pale wakitukana, we boya vipi wewe unamgombeza mwanamke? kama mtu hakutaki si uachane naye. Ilisikika sauti ya kiume.
Mara kwa Mara amekua akija halafu anaishia nje , hivi kama mwanamke anakupenda si angekukaribisha ndani? Kubali kuwa hupendwi siyo kuja kutaka kutuulia mtu humu,. Alizungumza mwanamke mmoja ambaye anaonekana ana mdomo mwingi ajabu.
Nikatoka kwa mwendo wa haraka haraka nikiiacha mitaa kadhaa kuelekea kituo Cha daladala, akili yangu haikuwa poa nilijikuta Nina kwazana na jamaa mmoja ambaye alidai nimpishe akae mkewe kwakuwa ni mjamzito.
Bro ni mambo gani unaniletea, ujauzito si jambo linalokuja kwa bahati mbaya, ni kitu kinakua siku Hadi siku kwahiyo ni vema ungejiandaa siku nyingi kuandaa usafiri binafsi , kuliko kukera watu humu ipo siku mkeo atajifungulia kwenye daladala, niliongea kwa jazba.
Kitendo kilichofanya jamaa apanick sana, nilishuka kwenye gari huku nikipiga hatua kuelekea usawa zilipo ofisi zetu, huku nikijikatia tamaa jinsi nilivyochelewa siku hiyo,nilifika ofisini nikakuta Kuna wageni wawili ambao kifizikale walionekana wazito,
Nilikaa kwenye kiti changu huku wakinishangaa jinsi nilivyoloa jasho tapatapa .
Mr Daniel, Hawa ni wageni wako maana kwa jinsi walivyojitambulisha wanaonekana ni wako, alizungumza dada ambaye niko naye kwenye ile ofisi.
Yes,niliwakaribisha wale wageni wenye asili ya kiarabu huku lugha gongana zikitawala mule ndani, nilifanikiwa kuwakamilishia walichokihitaji wakaondoka,.
Sasa Mr, nilisubiri tu umalizane nao Hawa ila meneja alisema ukifika tu ukamwone,. Alizungumza yule dada.
Jasho jembamba Lilianza kunitoka maana tayari nilishajua kinachoendelea, nikaingia ofisini kwa meneja tukasalimiana huku usoni akionekana kakasirika.
Jamani Daniel Leo imekuaje unataka kuiaibisha kampuni? Yaani wageni wanaingia tunaanza kukutafuta kweli?Unataka baadaye uanze Mara ooh meneja alinifanyia majungu, yatakuwa majungu gani wakati kazi unajifukuzisha mwenyewe. Aliweka kituo
Samahani sana kiongozi nilikuwa na dharula, nilijitetea.
Dharula? watu wote humu wanapata dharula, tatizo ni taarifa ulimtaarifu nani, kuna watu wanafika mpaka saa sita mchana, kunakuwa hakuna shida kwasababu mbili kwanza taarifa pili Kila mtu Ana majukumu ambayo ni jinsi gani yanamuweka bize, unasahau kitenge Cha kuwa nikigumu sana ? Una fahamu una mihuri mingapi kwako?
Mimi binafsi nimekusamehe, ila wasiwasi wangu ni kuwa wale wageni wanaongea moja kwa moja na boss mambo mengi hivyo, kama watagusia hili kwamba walikutana na mtoa huduma asiyejali muda itakuweka matatani kaendelee na kazi. Alimalizia
Nilifika ofisini nikajiinamia namna majaribu yanavyoanza kuninyemelea, Mr Daniel, pole sana unaonekana haupo sawa leo,Nini kinakusumbua?
Aliuliza yule dada.
Hapana Wala hakuna shida, ni vile tu leo nimechelewa Sasa nilichoambiwa na meneja ndicho kinanifanya niwe mpole hapa.Nilimjibu
Tuliendelea na majukumu huku Kila mmoja akiwajibika kivyake, nakumbuka siku hiyo nilipokea wageni kuliko kawaida, nikagundua ni kwasababu mwaka unakaribia kuisha Lakini kwa siku kama ya Leo Bora hata wasingekuja maana sipo sawa.
Kila simu inapoita moyo ulienda mbio sana nikijua labda ni wito wa polisi au kama hawanipigii wanataka wanikamate, kwa kuvizia si ajabu difender likaja hapa, huu si mkosi huu? kwanza ngoja nimpigie yule mtaalamu.
Maisha ni mapambano, nikatoka nje ule muda wa lunch, sikuwa na njaa na Wala sikutia chochote mdomoni tangu jana yake.
Nikaiweka simu sikioni huku ikipokelewa upande wa pili,
Halooo nani mwenzangu, nikajitambulisha kwa kumkumbusha Vitu fulani.
Ahaaaa niambie ndugu yangu, naona kimyaaaaa, hata kunikumbuka?Lakini ni kawaida yenu nyinyi wateja mkishatatuliwa shida zenu , tunakuwa tumeagana, vipi kwema Lakini? aliuliza yule mtaalamu.
Kwema kiasi, nikamsimulia tukio la ESTA mwanzo mwisho,Kisha nikamsikilza.
Sasa baba hilo ni jambo dogo tu, kwani uko wapi , aliuliza.
Nikamjibu kuwa nipo kazini.
Sawa ukitoka hapo nyoosha moja kwa moja Hadi hapa kwangu. alijibu huku nikipata amani fulani pengine mambo yatakuwa sawa,
Baada ya kumaliza kazi niliona usafiri wa umma utanichelewesha, nikachukua taxi, moja kwa moja Hadi kwa mtaalamu wangu nikapewa dawa fulani kwamba nijipakae usoni na nyingine nitaoga baadaye ilibkana Kuna mtu ana wazo baya na mimi ajikute anaahirisha zoezi lake.
Adhabu ndogo niliyopata kwenye ile dawa ni kuwa nijibizane Wala kuongea na yoyote Hadi nitakapokutana na niliyemkusudia, kweli nilimwelekeza dereva kwa vitendo bahati nzuri nahisi alielewa kitu kwakuwa hata kwa mtaalamu alionesha ni mwenyeji maana hata mganga mwenyewe ni kama wanajuana.
Nikaona anatabasamu huku akikanyaga accelerator kwa nguvu.
Nilikuwa na hofu na wapangaji wa pale kwa ESTA na hasa ukizingatia Huyu muda watu wengi washarudi kutoka makazini hivyo watakuwepo je ESTA atanipokea? Nilijiuliza
Hatimaye nilifika nikaagana na dereva taxi huku tukilipana kwa ishara, hali iliyofanya atingishe kichwa huku akitabasamu pengine alinionea huruma
Nilibisha hodi kwa ESTA nikakaribishwa huku ndani kwake kukiwa na mama mmoja mtu mzima pamoja na msichana mdogo ambaye ni mtu wa saloon kwake.
Tukasalimiana
Samahani ndugu zangu huyu ndiye shemeji yangu anayenichanganya Hadi Sasa. Aliongeza ESTA kwa sauti ya chini sana.
Eeeh kwanza pole sana baba, lakini pia tunaomba uhakika toka kwako juu ya huu mzigo, maana mida ya saa tano asubuhi Huyu ESTA alikuja nyumbani kwangu akanieleza mambo yote kuhusu wewe hata namna ulivyompokea na hata alivyoondoka lakini alikosa Imani na wewe leo, kwa kitendo Cha kumpa pesa ambazo ni nyingi na zinatoka kwa mbaya wake, Sasa nilichomshauri ni kwamba hizi hela baba zichukue tu siyo kwamba hatazipokea.
Bali tunataka tukutane kwanza na huyo mwanamke tuyajenge ndipo atazipokea hizi hela, Mimi ni mama mchungaji kwenye kanisa analosali huyu hivyo nitamsimamia mwanzo mpaka mwisho ili tuone itakuwaje, maana yeye alikuja akishauri akaripoti polisi lakini kwa maelezo yake juu yako nimeona wewe huna Nia mbaya japo bado watu wote hatukuamini moja kwa moja.
Chamsingi fanya mawasiliano na huyo boss wako tupange tunakutana lini, Tena una bahati tayari tulikuwazia vibaya kama usingekuja tungeanza taratibu zingine.
Alimalizia yule mama Kisha nikashusha pumzi taratibu, maana tayari Kuna unafuu nilipata, nikachukua zile pesa nikazisunda kwenye mkoba nikaaga.
Nilifika nyumbani nikapewa taarifa kuwa na dada yangu naye anataka kurudi nyumbani, nikajua haya ni masuala ya nauli tu.
Mume wangu nakuomba kabla hujafanya chochote tuongee .
Enhee nambie Kuna mpya gani, niliuliza.
Kwanza aliniangalia Kisha akacheka kwa masikitiko, akaendelea..
Nasikia ESTA yupo mtaa wa nne tu kutoka hapa, pia umekuwa ukionekana kwenda pale Mara kwa Mara, na pia leo mmegombana kabisa, vipi naomba ujitetetee kama kawaida yako, mwanzo nilijua uongo lakini Leo nimejua ukweli wote.
Hata huyu dada yako kaamua kuondoka baada ya kuanza kusikia habari zako , ndiyo, kasema anaona aibu kuendelea kukaa hapa,
Halafu umefungua hadi saloon mwenzangu, kweli wanaume nyinyi siyo watu, hivi uliwezaje kufungua biashara na mwanamke wako karibu vile watu wote wanakujua,
Sasa nakwambia naomba nauli niondoke napopajua siwezi kuishi na wewe.
MIMI NA BOSS WANGU
ni mkasa ulionitokea kuanzia 2011 hadi 2013 nilishinda vipi mitihani endelea kufuatilia, ni bure
MB zako ndiyo tiketi yako
Aisee, hatari na nusuSEHEMU INAYOFUATA..............