bioto
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,261
- 2,099
- Thread starter
- #21
Sehemu ya ishirini na moja
★★Ilipoishia★★
John alirudi kitandani na kuzimwaga hela hukuakitetemeka kutokana na woga aliokuwa naoisitoshe ilikuwa ni Mara yake ya kwanza kupata helakama zile.
★★Shuka Nayo ★★
Amina alirudi nyumbani jioni akiwa hana uhakikakama john amerudi, Alipofika akakumbana namwanga hafifu wa chemli ambayo iliwashwa naJohnAmina alipitiliza moja kwa moja ndani,kulikuwatulivu mno ni kama hamna.kiumbe chochotekinachoishi mahali hapoAmina akaingia kwa kunyata ili amfumanie john kwakile anachokifanya ama la amstukize kwa ujio wake Amina alipoingia ndani alibaki kaduwaa baada yakumuona John amelala kitandani chali ila yu macholakini alikuwa akijichekea peke yake alafu ananunakisha anaanza tena kucheka,akawa anarudia rudiakile kitukoAmina akajua tayari Mme wake ameanza kuwa chiziakashikwa na huzuni na kumsogelea mpaka palealipolala john.
John hakuwa na habari aliendelea.na.kamchezokake kale kale. Amina akamshika john viganja nakuanza kuvipapasa hapo ndipo John alipostuka nakumuangalia Amina kwa mshangao"umekuwaje John wangu mbona sikuelewi" Aminaalianzisha mazungumzo"Aminaa!!!,am! aaaah! samahani sikutambua kamaumefika mke wangu" John alijiuma uma"Haujajibu swali langu ni kwanini upo hivyo unamatatizo gani?" Amina aliuliza"Hamna kitu mke wangu nifuraha tu iliyonitawalakwahiyo usiwe na wasiwasi niko vizuri kabisa" Alijibijohn akiwa anaamanisha."Sawa nimekuelewa vipi kuhusu safari yakoilikuwaje""Safi kabisa tena yenye mafanikio kiasi" John alijibukwa bashasha"Mmh!! aya najua umechoka ngoja nikuchemshiemaji ya kuoga" Alisema Amina.
"Wala usijali mke wangu"John hakuthubutu kumuonyesha mke wake helamaana alijua wazi angekumbana na maswali lukukikuhusu kazi yake mbaya zaidi ni kazi ya siku mojahela zote zile wala asingeeleweka kwa Amina★★★★★★★★★★★★Ukitaka kumfahamu mwanakijiji si kwa ushamba tuhata mipango yake inaweza kukutambulisha pia silazima atokee kijijini hata mjini nako kunawanakijiji. .John alikaa wiki moja tu ya mapumziko na wikiiliyofuata akapanga safari ya kuelekea mjini namuda wote huo Juma alikuwa akimfuatilia Johnhatua kwa hatua na kwa bahati alifanikiwakumuuliza Amina kuhusu kazi ya Mme wakealichojibu ni kuwa hajui ila kila anapoenda kazinihuvaa koti refuPale pale juma akawa amethibitisha kuwa mhusikamkuu ni John hivyo akaanza kutafuta, namna yakumuweka hatianiJohn alienda mjini kwa Mara ya pili kichwanimwake alipania kuwa hiyo ni Mara ya mwishokufanya kazi ya namna ile.
Ali na juma waliwafuata baadhi ya wananchiwaliokuwa nao katika tukio alilolifanya john kipindicha nyumaWalieleza uchunguzi wao ulivyokuwa mpaka hatimayake,waliazimia kumkamata john sikuinayofuata.Lakini pia walionana na mwenyekiti wakijiji ambaye aliwapatia mgambo kwaajili ya kazihiyo japo aliwaonya kuwa endapo watakosakithibitisho kinachowafanya wamkamate John basi nilazima walipe fidia ya kumdhalilisha.
Kama ilivyokawaida john alifikia katika nyumba yanyumba wageni na ilipotimia asubuhi alienda katikamaduka ya nguo akachagua suti moja matataitakayonfaa.Cha ajabu ni kwamba john hakwenda katika hotelnyingine zaidi ya ile ile ya mwanzo aliyowahikwenda,Si kwasababu hakuona sehemu nyingine yakwenda hapana ila chakula alichopewa siku ilekilikuwa na radha adimu na nd'o kitukilichompelekaJohn alifika na kuketi,ni kama bahati kwani yulemhudumu aliyewahi kumhudumia john ndiyealiyefika eneo lile kumhudumia tena john"Habari yako kaka na karibu katika hoteli yetu sijuinikuhudumie kitu gani au kama hautojali nikupemenyu yetu"
Aliongea mhudumu kwa bashashaakiwa tayari amempotea john"Salama kwa upande wangu pia nashukuru kwaukarimu wako lakini sijui kama unanikumbuka" Johnaliongea kwa utulivu ila kiukweli ni kwambaalijipoteza mwenyewe kwa kumkumbusha mhudumuyule ambaye alionesha wazi hamkumbuki"Hapana kaka yangu sikumbuki chochote kuhusuwewe na kama kuna.lolote nitafute baada yakazi,samahani kwa hilo" Mhudumu akawa mkalikatika kazi yake"Bila samahani lakini wiki kama ngapi zimepitakuna mteja alifika hapa akaagiza chai maandazi sikuhiyo ulicheka sana sijui kama ni wewe ila kamanimekosea basi nipatie kifungua kinywa" Alisema John akiwa amekata tamaa ya kumkumbusha yulemhudumu
Moyo wa Margaret ambaye ni muhudumu ulilipukamno akakumbuka kuwa ni huyo mtejawanayemsubiri kwa hamu pia ni huyo huyo mtejaaliyetaka kumkosesha ugali wake kinywani,Ijapokuwa margaret hakukumbuka mara ya mwisho kusalisiku hii alishukuru Mungu kimoyo moyo"Nimekumbuka kaka yangu,karibu sana japoumebadilika mno,samahani nimetumia muda mrefuhapa naomba nikuhudumie" Margaret alizungumza