Nourhan
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 1,234
- 3,125
Jack Daniel njoo Wananchi si mshamaliza Aziz 🔑🗝️ day.
1. Hakuna tusi uliloandika mkuu ni maneno ya kawaida.Kbasi nikiandika "unazingua bob kama ulijua huna time ya kuendeleza ulianzisha yanini ni kama kumpandisha nye.. mtu af usid..." watu wataniona mkorofi nimeandika matusi sina heshma umoja na amani
2 episode hazitoshi fanya angalau 3 umetuweka sana1. Hakuna tusi uliloandika mkuu ni maneno ya kawaida.
2. Kwa yeyote aliyeielewa simulizi anakuwa na hamu ya kutaka kujua nini kilijiri.
3. Maneno yako yamewawakilisha wengi ambao hawana uwezo wa kutype kwa hasira kama wewe.
4. Japokuwa hakuna binadamu asiyekuwa na hasira,ila mimi si mwepesi wa hasira tangu zamani sana,nilichagua hivyo ili niweze kujifunza mengi zaidi.
5. Today is weekend,nitajitahidi kuhakikisha naweka angalau two episodes.
Karibu tuburudike na harakati za maisha Litro
Samson unazingua 😂Nimeona notification nikajua ume post new episode nikafurahia1. Hakuna tusi uliloandika mkuu ni maneno ya kawaida.
2. Kwa yeyote aliyeielewa simulizi anakuwa na hamu ya kutaka kujua nini kilijiri.
3. Maneno yako yamewawakilisha wengi ambao hawana uwezo wa kutype kwa hasira kama wewe.
4. Japokuwa hakuna binadamu asiyekuwa na hasira,ila mimi si mwepesi wa hasira tangu zamani sana,nilichagua hivyo ili niweze kujifunza mengi zaidi.
5. Today is weekend,nitajitahidi kuhakikisha naweka angalau two episodes.
Karibu tuburudike na harakati za maisha Litro
Tulia Delilah,nywele zangu ulizokata sina nguvu tena ya kuandikaSamson unazinguaNimeona notification nikajua ume post new episode nikafurahia

Mkuu usifanye hivyo weka basi Leo w endTulia Delilah,nywele zangu ulizokata sina nguvu tena ya kuandika![]()
Mbona kama umenishushua au..anyway asante kwa ukaribisho1. Hakuna tusi uliloandika mkuu ni maneno ya kawaida.
2. Kwa yeyote aliyeielewa simulizi anakuwa na hamu ya kutaka kujua nini kilijiri.
3. Maneno yako yamewawakilisha wengi ambao hawana uwezo wa kutype kwa hasira kama wewe.
4. Japokuwa hakuna binadamu asiyekuwa na hasira,ila mimi si mwepesi wa hasira tangu zamani sana,nilichagua hivyo ili niweze kujifunza mengi zaidi.
5. Today is weekend,nitajitahidi kuhakikisha naweka angalau two episodes.
Karibu tuburudike na harakati za maisha Litro
Hahahha hahaha khaaaa nmecheka kwa sautMbona kama umenishushua au..anyway asante kwa ukaribisho
🤣😂Tulia Delilah,nywele zangu ulizokata sina nguvu tena ya kuandika![]()
Mbona kama umenishushua au..anyway asante kwa ukaribisho
Kbasi nikiandika "unazingua bob kama ulijua huna time ya kuendeleza ulianzisha yanini ni kama kumpandisha nye.. mtu af usid..." watu wataniona mkorofi nimeandika matusi sina heshma umoja na amani
Una gubu. 😂😂😂
Unazingua sana ndugu fananiTulia Delilah,nywele zangu ulizokata sina nguvu tena ya kuandika![]()