Simulizi: Dada wa kazi

Simulizi: Dada wa kazi

Umeandika vizuri.

Ila kwenye uwanja wa ndege umeonyesha mama Esta ana miaka 47 na mume wake miaka 55 wakati mwanzo tuliona mama Esta ana miaka 30 na mumewe ni 35, sikuvunji moyo swala la kukosea miaka ni janga kwenye filamu nyingi mfano The Foreigner ingawa Jack Chan alitajwa kua kwenye umri wa miaka kama 60 ila mwaka ulioonyeshwa kazaliwa ulimaanisha ana miaka zaidi ya hiyo.

Script yako imefuata baadhi ya muvi kali kali zinazohusu kugombea mtoto, ingependeza kama ungezama mpaka kwenye mahojiano ya kisheria, hapo tungepata ladha ya muvi kali kama Kramer vs Kramer, Instructions Not Included na Gifted.

Uko vizuri boss
 
Shukran Mkuu.

Ya naona kweli yapo makosa kadha wa kadha...wajua hii mambo nayo huhitaji sana uhariri wa mara kwa mara na wa muda mrefu kupata kazi nzuri, ukiwa mvivu ndio hivyo tena...ni kweli miaka kumi na tano baadae ilipaswa iwe ni 45 n.k.

Kuhusu mahakamani na mahojiano ya kisheria, ni kweli ingeleta drama muhimu na nzuri, ila nadhani inahitaji muda na reseach kidogo kupata uhalisia.

Shukrani kwa ushauri/maoni.
 
Umeandika vizuri.

Ila kwenye uwanja wa ndege umeonyesha mama Esta ana miaka 47 na mume wake miaka 55 wakati mwanzo tuliona mama Esta ana miaka 30 na mumewe ni 35, sikuvunji moyo swala la kukosea miaka ni janga kwenye filamu nyingi mfano The Foreigner ingawa Jack Chan alitajwa kua kwenye umri wa miaka kama 60 ila mwaka ulioonyeshwa kazaliwa ulimaanisha ana miaka zaidi ya hiyo.

Script yako imefuata baadhi ya muvi kali kali zinazohusu kugombea mtoto, ingependeza kama ungezama mpaka kwenye mahojiano ya kisheria, hapo tungepata ladha ya muvi kali kama Kramer vs Kramer, Instructions Not Included na Gifted.

Uko vizuri boss
You are right.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom