Nikumbuke na mimiNingependa kujua wanaotaka niwe nawatag nishushapo mzigo mpya.
☆Steve
Usiniache mbaliNingependa kujua wanaotaka niwe nawatag nishushapo mzigo mpya.
☆Steve
Nashukuru Mam. Nimekuweka kwenye list!Ahsante unitag mm ukianza story nyingine
Bado sijajua. Ni muda wa kutulia na kuchambua.big up broh...
what next..??
Tayari nimekwishakuweka mkuu.Naomba nami niwepo kweny taglist yako utakaposhusha mzigo mpya mkuu
Ahsante nawe pia mkuu kwa kuwa pamoja nami.Steve Asante kaks
Asante sana mkuu. Bila shaka ntakuwa nakutag.Hadithi tamu sana nashkuru sana kaka steve kwa kuimaliza vema naomba uwe unanitag nami mkuu.
Asante sana nawe kwa kuwa nami.Kambi imeisha tayari,asante sana SteveMollel kwa hii story,BIG UP!!!
Asante sana mkuu. Sitakusahau.Asante sana mtaalam wa mambo.hii kitu imeniburudisha sana.kipaji chako kidumu.be blessed mr.Stive