hatimaye wamekuachiaNimekuja mzee. Karibu
Hahahhaha hatimaye ameniachia!
Usijali mkuu. Ratiba tu zabanana.
Mkuu, nisije shtakiwa nawapatia madawa!
Karibu sana mkuu.
Haha hongera sana mkuu kwa kukaza.
Unavyolalamika we mwanamke...
Bas ndio hii hapa. Enjoy!
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nimeshapewa dhamana mkuu!
Ntashtakiwa kukupa madawa
UkimaanishaKatika gazeti la sani kulikuwa na mada inasema "jambo limezua jambo "
Kitu imeanza vizur sasa ngoja tuone muendelezo ila angalizo, simulizi za jf nyingi hapa haziishagi
Hii simulizi ni mali yangu. Siitoi popote, naitoa kwangu. Nimeiandika mpaka mwisho. Na kwa ridhaa yangu nikaileta hapa. Na nitaimaliza pia.Kwanzaa inaishaa yoteeee?
Hatimaye mama.hatimaye wamekuachia
Dah story nzuri sana haichoshi kuisoma
Asee Mkuu, endelezea mzigo. Inazidi kunoga haswaa.
Nashusha sukari si punde.Haichoshi kuisoma. Thanks Steve
mkuu endeleza basiHatimaye mama.
Ahsante mkuu nitashukuru maana dah nahofia kuitesa nafsi ya moyo Wangu kutaka kitu kisichowezekanaHii simulizi ni mali yangu. Siitoi popote, naitoa kwangu. Nimeiandika mpaka mwisho. Na kwa ridhaa yangu nikaileta hapa. Na nitaimaliza pia.
kwahyo steve unakuja kujibu comments zetu halaf unasepaHatimaye mama.
Kila ukiingia unaongea hivyoNashusha sukari si punde.
Mama wa Fursa..... Siku hizi sikuoni kabisa. Lile jukwaa letu pendwa nimelikimbia.Kila ukiingia unaongea hivyo
mbona umepotea hivi au ni hyo avatar uliyochange inanivuruga mzee wa fursa umelikimbia kwa nnMama wa Fursa..... Siku hizi sikuoni kabisa. Lile jukwaa letu pendwa nimelikimbia.