Fanya kumchana kama ambavyo laki kunene alivyomchana gf wake kuwa hamtaki tena baada ya kumwekea dhamana polisi kwenye ile kitu ya JerusalemWakuu habarini;
Kama kichwa kinavyojieleza ni ipi dawa ya mwanamke huyu ambaye ni msumbufu kupita kiasi, ni hivi; nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani 1 year lakini tuliachana (nilimwacha) kutokana na tabia zake za michepuko ilikuwa mingi japo alilalamika na kuomba msamaha kuwa hatorudia tena.
Niliamua kukatisha (kupunguza kabisa) mawasiliano ili nimsahau lakini mpaka sasa bado nimsumbufu kila mara WhatsApp ananitext na dhahiri kabisa anachohitaji nikurudisha uhusiano na mimi simwitaji tena.
Ushauri nini nikifanye ili asinizoee kabisa au akatishe mawasiliano na mimi maana simwitaji tena.
Namblock mkuu sana tu sema anabadili noUnashindwa nini kumblock mkuu au unapenda hayo mausumbufu yake block kila sehemu
Fanya kumchana kama ambavyo laki kunene alivyomchana gf wake kuwa hamtaki tena baada ya kumwekea dhamana polisi kwenye ile kitu ya Jerusalem
Kuwa na msimamo tu mkuu.
Usipende kubadilika badilika.
Swali gumu sana ilo mkuuUna mtu mwingine?
Ndo maana hata hilo dogo tu linakua ishuSwali gumu sana ilo mkuu
Ndo maana hata hilo dogo tu linakua ishu
Hii inaweza ikawa solutions??
unatusumbua tu hapa! ushaanbiwa mblock sasa wwunaona km sio soln!.. unajisikiaje kusex na mwanamke/mwanamme ambaye unajua kbs hajatulia! aiseee!
Mkuu tabia zake chafu mno na sio mara ya kwanza kuchepuka namsamehe tuu
Basi badili no mkuuNamblock mkuu sana tu sema anabadili no
Basi badili no mkuu