Simuhitaji tena, ipi dawa yake mwanamke huyu?

Simuhitaji tena, ipi dawa yake mwanamke huyu?

Lakikunene

Senior Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
129
Reaction score
145
Wakuu habarini;

Kama kichwa kinavyojieleza ni ipi dawa ya mwanamke huyu ambaye ni msumbufu kupita kiasi, ni hivi; nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani 1 year lakini tuliachana (nilimwacha) kutokana na tabia zake za michepuko ilikuwa mingi japo alilalamika na kuomba msamaha kuwa hatorudia tena.

Niliamua kukatisha (kupunguza kabisa) mawasiliano ili nimsahau lakini mpaka sasa bado nimsumbufu kila mara WhatsApp ananitext na dhahiri kabisa anachohitaji nikurudisha uhusiano na mimi simwitaji tena.

Ushauri nini nikifanye ili asinizoee kabisa au akatishe mawasiliano na mimi maana simwitaji tena.
 
Tunafundishwa kusamehe 7 mara 70, sasa mkuu ukimtupa kati ya hao michepuko,nani atakaye mfuta machozi?
 
Mkuu tabia zake chafu mno na sio mara ya kwanza kuchepuka namsamehe tuu
 
Wakuu habarini; Kama kichwa kinavyojieleza ni ipi dawa ya Mwanamke huyu ambaye ni msumbufu kupita kiasi ni hiv;nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani 1 year lakn tuliachana(Nilimwacha) kutokana na Tabia zake za michepuko Ilikuwa Mingi japo alilalamika na kuomba msamaha kuwa hatorudia tena ;Niliamua kukatisha (kupunguza kabisa) Mawasiliano Ili nimsahau lkn mpaka sasa bado nimsumbufu Kila mara WhatsApp ananitext na dhahiri kabisa anachohitaji nikurudisha uhusiano na mimi Simwitaji tena:;

USHAURI NINI NIKIFANYE ILI ASINIZOEEE KABISA AU AKATISHE MAWASILIANO NA MIMI MAANA SIMWITAJI TENA???
Yupo humu JF
 
Wewe inaonekana humuitaji ila bado unampenda

Sasa kwani akikutext ukauchuna atakuzoeaje ama atawasilianaje na mtu asiyemjibu
Aiseeh
upo
nilikumis ile mbayaaa

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Kama haumuitaji tena haina haja ya kukwaruzana nae ila akikutumia ujumbe wa salam nawe msalimie akituma wa mapenzi usimjibu wewe jenga urafiki kwani hawezi kukulazimisha kushiriki penzi kama hutaki tendo ni hiyari

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahsante kwa ushauri mzuri
 
Sasa kama umuhitaji unachati nae wa kazi gan?

Akili za usiku
 
Back
Top Bottom