Simuelewi wifi yangu

Nadhani atakua na miaka 20 na kitu hivi. Ni mwalimu wa shule ya msingi hajaolewa bado

Mi nildhani ni mkubwa kuliko wewe hivyo unaogopa kumuambia! Huyo binti ndio anakupa mawazo? Yaani siku ya tatu? Wewe inaonekana hupendi ndugu wa mume waje hapo ndio maana unashindwa hata kukaa naye jioni mkawa na stories
 
Kuwa mpole na mvumilivu,inawezekana anakujaribu kuona kiwango cha uvumilivu wako.Usimpe sababu.Vumilia

Avumilie kitu gani hapo kwani huyo wifi yake anatatizo gani hasa mlitaka afikie jikoni, Haiwezekani bana
 
Ebu kesho liamshe lipge deki ndani,alafu akimaliza anywe chai, baadaye mpe surufia ya pilau au wali apike,asilete uhayawani kwenye hamna,kama hatak aende kwake au kwao! Usipende stres kwenye maisha mpendwa,hilo ni livivu

aiseeeeeeeeeee
 
dina huyu wifi inaonesha kakaa kishari tu! ni vile hatujui!
 
Mi nildhani ni mkubwa kuliko wewe hivyo unaogopa kumuambia! Huyo binti ndio anakupa mawazo? Yaani siku ya tatu? Wewe inaonekana hupendi ndugu wa mume waje hapo ndio maana unashindwa hata kukaa naye jioni mkawa na stories

Kweli mkuu, ukiona mwanamke anamzungumza ndugu wa mumewe nje kama hapa jf ujue hapendi ndugu wa mumewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…