Simuelewi mpenzi wangu

Mkuu unasubiria filimbi au honi.? Ushaachwa sepa tafuta ustarabu meingine
 
Kwani mkataba wa kupiga simu ulikuwaje nani anatakiwa kuanza. Unamwomba hela sana ndio shida. Nothing is given for free
 
dalili zote hizo still unaomba ushauri

kweli una matatizo ayse
 
Amepiga cm anasema anakuja kesho, so sielewi nikaonane naye au nimpotezee
 
Pole sana nusfati ukiona hivyo ujue Ngoma imeshapata mchezaji, jipe faraja tu kipindi hiki unachosubiri confirmation.
 
Last edited by a moderator:
Kwa maelezo yako unaonyesha unampiga sn mizinga jikwamue kiuchumi kwanza then hayo ya mapenz yatafuata
 
Nimelipenda sana jina lako
 

Polee..huyo anakuumiza tuu moyo chapa lapa mapemaaa.Yani mtu anakuwa busy mpaka kwa mpenzi wake loohh
 
mapenzi yakishachuja ni taabu sana mtu kukueleza kuwa tuishie hapa mwingine hawezi mapema unapokuwa king'
ang'anizi ndo tunapokuwa mistreated jiondoe mapema kabla hali haijawa mbaya zaidi
 
cku zimesonga hana hata jina lako ktk akili yake.
 
Ukitaka mwanaume akuache wewe oba hela tu kila siku we omba hela endelea kuomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…