Simuelewi mpenzi wangu

Simuelewi mpenzi wangu

Huyo kakuacha kimya kimya kama nilivyopanga kumuacha wa kwangu ingawa sasa nimemsamehe
 
Nina mpenzi tupo kwenye mahusiano yapata miaka 3 , anaishi Zanzibar me Dar, amebadilika mno tangu January ndo tulionana toka hapo nikimwambia njoo Dar Mara kazi nyingi, Mara sina nauli,Mara nasubiri likizo , ukiomba Pesa anasema atatuma ila ndo mtolee hiyo ,me nimechoka sielewi nifanyeje ,ukimpigia simu anasema yupo usingizini tutaongea kesho, akikuta call anitafuti mpaka nimtafute ,jamani naomba ushauri wenu wanaJF.

Jiongeze kiutu uzima
 
Uhitaji ushauri jibu ni kwamba huko zenji ana mke wewe ulikuwa mchepuko alikulaghai tu ili akija daa .... ili apate mapozeo
 
Nina mpenzi tupo kwenye mahusiano yapata miaka 3 , anaishi Zanzibar me Dar, amebadilika mno tangu January ndo tulionana toka hapo nikimwambia njoo Dar Mara kazi nyingi, Mara sina nauli,Mara nasubiri likizo , ukiomba Pesa anasema atatuma ila ndo mtolee hiyo ,me nimechoka sielewi nifanyeje ,ukimpigia simu anasema yupo usingizini tutaongea kesho, akikuta call anitafuti mpaka nimtafute ,jamani naomba ushauri wenu wanaJF.

sasa mdogo wangu kama mpenzi wako umekaa nae miaka mitatu humuelewi mimi ambae simfahamu ntamuelewa kweli.

chakukusaidia mwacheee haraka hakupendi.
 
nafasi yako hakuna tena nibora ujue hamsini zako bana
 
Back
Top Bottom