Simuelewi mpenzi wangu

Simuelewi mpenzi wangu

Nina mpnz tupo kwenye mahusiano yapata miaka 3 , anaishi Znz me dar, amebadilika mno tangu January ndo tulionana toka hapo nikimwambia njoo dar Mara kazi nyingi, Mara sina nauli,Mara nasubir likizo , ukiomba Pesa anasema atatuma ila ndo mtolee hiyo ,me nimechoka sielewi nifanyeje ,ukimpigia cm anasema yupo usingizin tutaongea kesho, akikuta call anitafuti mpaka nimtafute ,jamani naomba ushauri wenu wanajf

Iyo january mlionana mukiwa mupo wap
 
mfuateeee huko zenji...shauri yako fimbo ya mbali______
 
Pole ila yaweza kuwa ushapigwa bao hapo.kama una moyo nenda ww uone yatakayojiri
 
Kama umefanya hayo yote na haelekei basi nawe kaa kimya.....ukiendelea kumtafuta utazidi kuumia.Mtu hata mizinga midogo tu analialia....na papuchi umempa mara ngapi???
 
Lugha ya picha hiyo. Mchunie hadi akutafute, afu akikupigia urudi tukushauri jinsi ya kumnyoosha.
 
Nikupe nauli uende? naftahi
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwanini umeandika tetesi?
Huna uhakika na unacho kiandika?

Lakini kifupi tuu huyo hakupendi.
 
Inaonekana kila unapopiga simu ni kuomba pesa,mbona hujawahi kufikiria kumwambia kwamba we umfuate huko?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nina mpnz tupo kwenye mahusiano yapata miaka 3 , anaishi Znz me dar, amebadilika mno tangu January ndo tulionana toka hapo nikimwambia njoo dar Mara kazi nyingi, Mara sina nauli,Mara nasubir likizo , ukiomba Pesa anasema atatuma ila ndo mtolee hiyo ,me nimechoka sielewi nifanyeje ,ukimpigia cm anasema yupo usingizin tutaongea kesho, akikuta call anitafuti mpaka nimtafute ,jamani naomba ushauri wenu wanajf
Unahitaji ushauri kuhusu nini hapo mpendwa?
 
Kwenye maisha jambo kubwa sana ni kujifunza kufanya maamuzi.. Yawe ya mapenzi, pesa, biashara, kazi nk...yaani ukiweza kuchukua maamuzi thabiti umeweza..
 
Think twice and look ahead. He is not yours according to his characters. Please, 4get about him and keep urself busy. Try not to call him just keep calm.
 
Nina mpnz tupo kwenye mahusiano yapata miaka 3 , anaishi Znz me dar, amebadilika mno tangu January ndo tulionana toka hapo nikimwambia njoo dar Mara kazi nyingi, Mara sina nauli,Mara nasubir likizo , ukiomba Pesa anasema atatuma ila ndo mtolee hiyo ,me nimechoka sielewi nifanyeje ,ukimpigia cm anasema yupo usingizin tutaongea kesho, akikuta call anitafuti mpaka nimtafute ,jamani naomba ushauri wenu wanajf

Mfanyie surprise, nenda kimya kimya na ukae siku kadhaa kwake utaujua ukweli. Ila jiandae kwa yote kama kugonganishwa na mwingine na pengine anampenda mwingine so wewe itabidi ukalale hotel.

NB: siyo wote unaweza kuwasapraiz, wengine utaumia wewe.
 
karibu chama la bachelor, ukinipenda, namaliza leo leo tu
siku hizi kwa kudanganyana, mvulana msichana, ishakuwa poa poa tu
hakunaga mapenzi yale, yakugandana ni zama za kale
money on the table now, kinachofata ni mimi na wewe, na wewe,,,,,,,,,,,,,,nyie pendaneni tu,,mwishoni mnakuja kulia kulia humu
 
Umeshaachwa dada chapa lapa. Hakutaki ni dalili hizo kwa 200%.
 
Mmmh, hata ndege ya Ethiopia ilitua kwenye kiwanja kidoogo cha Arusha baada ya kuona 'mambo sio mazuri' KIA. Nakushauri utafute kiwanja kingine cha kutua kabla mafuta hayajaisha kwenye ndege yako!
 
Back
Top Bottom