Simuelewi mpenzi wangu wa zamani

Simuelewi mpenzi wangu wa zamani

ikawa jioni ikawa asubuhi... siku ya pili.

Waiter, lete maji mbili
 
Jf z da place Whr we dare to talk openly,.. Lakini c kwa watoto wadogo kama ww mleta uzi-nzi,mods mliangalie Hili swala sasa inatia aibu...huyu nae atajiita mwanaume
 
Inabidi ianzishwe thread ambayo kila mtu atakuwa anasema chochote anachojisikia.
 
Si ulikuwa na mahusiano naye wewe. Sasa sisi tutajua nini mlichokuwa mkifanya?! Muulize what she is missing!
 
Back
Top Bottom