Simuelewi mpenzi wangu wa zamani

Simuelewi mpenzi wangu wa zamani

ha ha yan hapa ni mwendo wa majibu ya kubadili mada mpaka mleta mada ajione kiazi..safi sana enhee tuendelee...hvi jamani mnamchukuliaje jecha??? alaf vip hivi mourinho atarudi tena chelsea??
 
Akiwa hana hela ndo anakukumbuka akija anafata pesa tu hana anachotaka kwako na kuliwa na wewe si cha ajabu coz ulishawah kua nae
 
Kaamua awe anakuletea magonjwa yoyote ngo.no muugue pamoja.
 
ha ha yan hapa ni mwendo wa majibu ya kubadili mada mpaka mleta mada ajione kiazi..safi sana enhee tuendelee...hvi jamani mnamchukuliaje jecha??? alaf vip hivi mourinho atarudi tena chelsea??
mourinho kurudi chelsea sio leo nimesikia abraham anamtaka diego simeone
 
POLE SANA NDUGU P.hunter TATIZO MIMI SIO MODERETA, VINGINEVYO HAWA WALIOHARA HAPA WANGEKUWA WANAUGULIA KILA MMOJA BAN LAKE LA KUMTOSHA KULINGANA NA ALIVYOHARA HAPA.

lakini, be creative another time, kama hizi zingekuwa pumba hata nguruwe angezikataa

vinginevyo utaichukia jf. POLE SANA IN ADVANCE.
 
Fikira zako zisiende mbali, huyo dada hajiamini au hauziki....itakuwa wewe ndo unaempa salamu. Ama sivyo hiyo relationship yenu au kitu gani kikubwa umempa ambacho hakiwezekani kupatikana kwa mwengine.
 
Kaka unataka kupishana na mke.........nakuonea huruma.......ikifika zamu yako utakuwa umechelewa.....uo huyo....au naomba no yake
 
Back
Top Bottom