Simuelewi mpenzi wangu huyu

usimwache bana mbna wako wengine wanataja hata mameno yasiyoeleweka, utasikia oohhh marigip maripuuu, orrgheishh, yesu na maria, aiiii, baba weee, yeuwii, qhrooooo, so hata hiyo ya kutaja Muddy itakuwa imekuja unconsious, kesho atamtaja baba au kaka yako, au padre au paroko au wazir wa maliasil na utalii, n kawaida sana simply bze mind inakua sub conscious au un konshazi, this phenomena has some psychological explainations, we oa tuu
 
I see yaani mauno ukate wewe kusifiwa asifiwe Muddy !! Huu ni uonevu !!
 
Inavyoonekana huyu Muddy ndo alichana marinda!akina muddy tigo kwanza tatizo lenu nyie akina bonny heshima mbele
 
Duuh jaramba upige wewe utamu asifiwe mwingine kuwa ndo anakoleza!!!! Piga chiniii
 


Mkuu umeuwa mwanangu,....nimecheka mpaka baaaaasi
 
duh,kaka ongeza dozi ipo cku atakutaja wewe we fanya manjonjo yote ikiwezekana kunjua hata linda hzo ipo cku atakutaja wewe
 
Funga tu harusi bana kwanza Siku hizi zimekuwa ceremonial tu.
Plz!
 
Ungetaka wako mwenyewe ungemchongesha...Ebooh!!!Kwanza huyo muddy inakaa alimpendezesha ndio maana ukamuona ni mzuri.Vumilia kwani ww ndio wa kwanza kwa huyo dem.Jua alikuwa na muddy pengine kabla yako.Kumtaja kitandani ni bahati mbaya.Elimu yenyewe hii tunafundishwa kwa kukariri unategemea nn .Mwenzio kakariri kila anayemkuna vizuri ni Muddy.Tulia kama wenzako.Ww wangapi wamekutaja au kwa kuwa hujaletewa malalamiko.
 

hahaha we ni mwanaume mwanamke?nimecheka asee
 
Kwani huyo mpenzi wako umetoa seal wewe?

Kama hujaitoa wewe ujue kuna njemba kibao huwa anazisifia kimoyo moyo...

Na hata ukimtosa si ajabu atakua anakutaja wewe kwa anayefuata...teh teh teh!!!
 
Bora umekacha mapema maana mudy angekusaidia mpaka watoto we kazi yako ni kuwalea tu.
Muachiye mudy aendeshe gari lake wewe hutaliweza hilo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…