Simuelewi mpenzi wangu huyu

Nashukuru kwa ushauri Mkuu
 
Suala dogo tu, badilisha jina jiite muddy atakapokua anataja tena hilo jina atakua anakutaja wewe


HAPO NIMEKUTANIA TU WALA USIKWAZIKE: Ukweli ni kwamba ikitokea ukawa na ukaribu wa mahusiano kwa muda mrefu au kumpenda mtu na baadae mkaja kuachana, inachukua muda kumsahau, kusahau jina lake, vitendo vyake au namna alivyo.

Kwa suala lako kuna mawili, pengine huyo bibie bado yuko kwenye mahusiano na huyo muddy na hivyo kwa sababu muddy ndio yuko kichwani zaidi ndio maana hayo yanatokea

Au alikua na mahusiano na muddy, tayari hayapo tena kwa sasa lakini kwa sababu ya mazoea, alivyokua anampenda na ukaribu ndio yanatokea hayo. Lakini kwa upande huu kama ni kweli hayuko naye baada ya muda atasahau na kumbukumbu zote zitahamia kwako

Cha msingi kaa chini ongea nae kiundani kujua muddy yuko nae vipi so far



 
ha ha ha muddy am coming ,nishike kiuno.. tatizo lako na wewe unatia style ya muddy badilisha mikato hiyo
 
Sawa Mkuu , lakini kuna kale kawivu ka asili. Inakuwa vizuri kama kuna mwizi ambaye hafahamiki naweza kuvumilia, lakini mwizi mwenyewe anajulikana hata kwa jina, tena kwa kutamkwa na mke mtarajiwa? haingii akilini kuendelea kuwa naye.
 
 
Last edited by a moderator:
 
na ukute kwa muddy anaita bombom...
 
Ni vizuri kumuacha maana inaonekana kunguru hanenepi kwa jalala moja, Tafuta mwingine, yaani jasho utoke wewe halafu mfutwaji ni mwingine? hapana.
 

inabidi ubadilishe jina uitwe muddy
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…