Simuelewi mke wangu

Simuelewi mke wangu

Pole sana mwanaume mwezangu tunayefanana kwenye maumivu haya.
Mke wangu pia yupo ivoivo kama mke wako. Nisipomuomba mim basi tunaweza kukaa mwez mzima bila kufanya

Hii imetokea jana usiku apa, tulikua kitandani tukaanza kucheza kushikanashikana katika maandalizi, badae nikataka kumpandia kwa juu ili nimchezee na kumnyonya maziwa, aisee nlisukumwa na mkono(nlipigwa konga) nikarudi nlipolala afu akasema nisifanye ivo yeye hajisikii na mapenz kwake co kitu anachojali sana. Aisee nlikasirika sana nikaamua nilale nianze kuutafuta usingizi. Alipoona kua kitendo alichofanya sijapendezwa nacho akaanza kunishikashika na kuminyaminya Gegedo lang.
Mimi nikaondoa hisia zote za kua nae kitandani kwakwel niligoma kusimamisha Gegedo na nikafanikiwa. Baada ya kuona mbinu alotaka kuitumia imeshindikana akataka kunigeuza kwa nguvu ili aje alikalie kwa juu. Na mim nikamrudisha alipolala(kama alivofanya yeye) kila mmoja akajikuta amelala kivyake. ***** zao Washenzi sana hawa. Dawa yao kwakwel ni kuwatafutia MCHEPUKO tu basi Ujinga wote utawaisha
Alizingua halafu akajiongeza kuwa umemaindi, alitaka atumie mbinu yao ile ya "yani ndio umekasirika?" usenge mtupu! Huyo ni kumsusa tu mazima.
 
hivi umeoa? kama hujaoa basi subiri ukiingia kwenye ndoa ndo utaelewa, lakini kame umeoa nazani utaelewa tabia za mtu kwenye ndoa na kabla ya ndoa ni tofauti sana, na mtu kabla hajakuoa unaweza kumrekebisha mana anakuwa na shida na wewe kwahiyo atafanya juu chini kukuridhisha lakini mkishaingia kwenye ndoa wanaume wengi huwa wanaona kama vile ndo mwisho wa jeuri ya mwanamke anaamua kufungua makucha. Alafu usijidanganye kwamba kuwambia ndugu au viongozi wa dini ndo kutamfanya abadilike, NEVER mtu anabadilika kwa kutaka mwenyewe, na elewa jambo moja hapa sijaongelea zile tabia nzito ambazo zitakufanya uende kwa watu kutafuta suluhu, hapana ishu hapa ni vile vitabia vidogo vidogo, kama kutompa mwenzio attention na kutomsikiliza mwenzio unataka kila unachosema wewe kwasababu ni mwanaume basi ndio hivyo, yani kwenye maisha yengu mkeo anakuwa hana nafasi ya kutoa wazo, hata ukimshirikisha jambo unataka akubaliane nawewe tu sio na yeye aongezee lake, mfano mnajenga, lakini unataka kila kitu kiwe vile unataka wewe, mwanamke aki suggest hata sebule basi iwe hivi hutaki, au mnataka kununua gari, utakalo sema wewe ndio hilo mwanamke akitoa wazo lake unamuona hajui kitu, yan inshort inakuwa kila maamuzi utaka yawe ya vile utakavyo wewe ya mwenzio yote unayaona haya maana, sasa hapa ndo nnaposema kwamba mwanaume vitu kama hivi ataviona vidogo ila trust me kwa mwanamke ni msumari unaomchoma pole pole, mana ataanza ku loose confidence kwasababu anajua akitoa wazo lolote litapingwa
Tatizo la hii approach ni kwamba it never works for all women.

Wachache waliojaliwa hekima,busara na high IQ ndio inafaa kuwasikiliza. Wengi wana tabia ya ku mislead mtu au ukifata njia aliyokupa yeye ikawa sio successful anakugeuzia jungu la lawama utadhani yeye hahusiki kabisa.

Wengine atakusimanga unashindwa kusimama kama baba bana. Mi ningeongeaj kama ungesimama kama baba. So mikandamizo lazma iendelee tu!
 
Pole sana mwanaume mwezangu tunayefanana kwenye maumivu haya.
Mke wangu pia yupo ivoivo kama mke wako. Nisipomuomba mim basi tunaweza kukaa mwez mzima bila kufanya

Hii imetokea jana usiku apa, tulikua kitandani tukaanza kucheza kushikanashikana katika maandalizi, badae nikataka kumpandia kwa juu ili nimchezee na kumnyonya maziwa, aisee nlisukumwa na mkono(nlipigwa konga) nikarudi nlipolala afu akasema nisifanye ivo yeye hajisikii na mapenz kwake co kitu anachojali sana. Aisee nlikasirika sana nikaamua nilale nianze kuutafuta usingizi. Alipoona kua kitendo alichofanya sijapendezwa nacho akaanza kunishikashika na kuminyaminya Gegedo lang.
Mimi nikaondoa hisia zote za kua nae kitandani kwakwel niligoma kusimamisha Gegedo na nikafanikiwa. Baada ya kuona mbinu alotaka kuitumia imeshindikana akataka kunigeuza kwa nguvu ili aje alikalie kwa juu. Na mim nikamrudisha alipolala(kama alivofanya yeye) kila mmoja akajikuta amelala kivyake. ***** zao Washenzi sana hawa. Dawa yao kwakwel ni kuwatafutia MCHEPUKO tu basi Ujinga wote utawaisha
Mkuu hukutakiwa kumrudishaa na kiwiko alipolala kama wewe wanawake bhana acha tu..!!

Kwanza wanaume wengi unakutaa tunachoka na kazi na ukirudi home yani ule muda wa kusema utamuandaa mwenzio as inavyotakiwaa inakuwaga ngumu alafu ukute wife ana stress zake hata kulowa mtihaniii wewe unaforce tu izameee hapo ndo hatarii mwanamke anakinai tendo japo ukute mwanzoni ulikuwa unampa dozi yenyewee ila now mood off yani utajisumbua tu.

Pili hakuna mwanamke ambae ana visirani na hasira za ovyoo kama mwanamke ambae kitandani Hakunwi vilivyooo yani anatembea na migenye yake daily hata watoto watakuwa wanachapika kwa viti vya ovyoo...Majibu yake ni ovyo sanaaa.. Hawa viumbe kuwaelewa ni ngumu sana
 
Hama chumba haraka sana (out of sight, out of mind); kama nyumba yako ina vyumba vingi. Husinywe chai yake wala, chochote atakachokuandalia kula. Anza kumuita dada/shemeji, ukiongezea jina lake, mfano; "Dada/Shemeji Sharifa, natoka." Onyesha uchangamfu usiyo wa kawaida, hata kama atakuwa kanuna. Mara moja moja lala, "guest/lodge/rest house/hotel." Mtoe akilini mwako kabisa wekeza juhudi zako katika kazi. Hasipo kulilia umpe "mkono wa tembo." Mtafute shehe/padri/mchungaji/mkuu wa wilaya(msajili wa ndoa) avunje kiapo chenu cha ndoa, umrudishe kwao haraka kabla hajafia mikononi mwako. Masuala ya kupigana spana ya kufungia mabomba ya maji kichwani, yaichie Kimara-Dar kwa marehemu... ama Kigamboni kwa gunia la mkaa. Kumbuka: Mtoto ni wa mama, baba ni mlezi/mrishi/mwangalizi tu.
 
Pole sana mwanaume mwezangu tunayefanana kwenye maumivu haya.
Mke wangu pia yupo ivoivo kama mke wako. Nisipomuomba mim basi tunaweza kukaa mwez mzima bila kufanya

Hii imetokea jana usiku apa, tulikua kitandani tukaanza kucheza kushikanashikana katika maandalizi, badae nikataka kumpandia kwa juu ili nimchezee na kumnyonya maziwa, aisee nlisukumwa na mkono(nlipigwa konga) nikarudi nlipolala afu akasema nisifanye ivo yeye hajisikii na mapenz kwake co kitu anachojali sana. Aisee nlikasirika sana nikaamua nilale nianze kuutafuta usingizi. Alipoona kua kitendo alichofanya sijapendezwa nacho akaanza kunishikashika na kuminyaminya Gegedo lang.
Mimi nikaondoa hisia zote za kua nae kitandani kwakwel niligoma kusimamisha Gegedo na nikafanikiwa. Baada ya kuona mbinu alotaka kuitumia imeshindikana akataka kunigeuza kwa nguvu ili aje alikalie kwa juu. Na mim nikamrudisha alipolala(kama alivofanya yeye) kila mmoja akajikuta amelala kivyake. ***** zao Washenzi sana hawa. Dawa yao kwakwel ni kuwatafutia MCHEPUKO tu basi Ujinga wote utawaisha
Kwakweli inauma mkuu. Mi nishaamua, nitatafuta mchepuko tutaenda tutapima, niwe najilia tu. Maana naona hata nikimlazimisha kubadilika tayari hakuna hisia za kweli hapo
 
Sisi ni wachache, nyie ni wengi ndio sababu mnajaa makanisani kutafuta waume ,kwa waganga , wengine mnahamia kwa waume za watu n.k .
Hatuwatesi mkuu tunatesana tu.
Na nyie mpo wengi.
Lkn hongereni, pamoja na kua wanaume ni wachache, unakuta hapo mwanamke una Wanaume watano sita. ( hii tunaiita kutojionea huruma).
 
Tatizo la hii approach ni kwamba it never works for all women.

Wachache waliojaliwa hekima,busara na high IQ ndio inafaa kuwasikiliza. Wengi wana tabia ya ku mislead mtu au ukifata njia aliyokupa yeye ikawa sio successful anakugeuzia jungu la lawama utadhani yeye hahusiki kabisa.

Wengine atakusimanga unashindwa kusimama kama baba bana. Mi ningeongeaj kama ungesimama kama baba. So mikandamizo lazma iendelee tu!
Namimi kwenye hili nimeongelea hao hao inayowahusu, mana binadamu hatufanani kinachonikwaza mimi kwa mwingine ni kitu kawaida, ila kwa wale wanaolengwa na hili ndo nnaowangelea mimi mana ndo victim
 
Inategemeana pengne ni mjamzito mkuu
Angalie huwenda ujauzito hautaki kugegedwa kila wakati
 
Pole sana mwanaume mwezangu tunayefanana kwenye maumivu haya.
Mke wangu pia yupo ivoivo kama mke wako. Nisipomuomba mim basi tunaweza kukaa mwez mzima bila kufanya

Hii imetokea jana usiku apa, tulikua kitandani tukaanza kucheza kushikanashikana katika maandalizi, badae nikataka kumpandia kwa juu ili nimchezee na kumnyonya maziwa, aisee nlisukumwa na mkono(nlipigwa konga) nikarudi nlipolala afu akasema nisifanye ivo yeye hajisikii na mapenz kwake co kitu anachojali sana. Aisee nlikasirika sana nikaamua nilale nianze kuutafuta usingizi. Alipoona kua kitendo alichofanya sijapendezwa nacho akaanza kunishikashika na kuminyaminya Gegedo lang.
Mimi nikaondoa hisia zote za kua nae kitandani kwakwel niligoma kusimamisha Gegedo na nikafanikiwa. Baada ya kuona mbinu alotaka kuitumia imeshindikana akataka kunigeuza kwa nguvu ili aje alikalie kwa juu. Na mim nikamrudisha alipolala(kama alivofanya yeye) kila mmoja akajikuta amelala kivyake. ***** zao Washenzi sana hawa. Dawa yao kwakwel ni kuwatafutia MCHEPUKO tu basi Ujinga wote utawaisha
Dawa ndio hiyo,ili nae ajue kua hajaolewa kuja kusalisha
 
Maneno kuntu.
Unapenda ligi, ni kosa kumweleza mwanaume kuwa hakazi vizuri au kumweleza mwanamke kuwa K ni bwawa au ina harufu etc. afterall ukiona mwanamke hakojoi hata ukujipinda jua hakupendi. Uzoefu unaonesha kuwa mwanamke anayekupenda hata kumgusa tu anakojoa na hata ukiingiza kichwa yeye hoi. Hivyo kusimamia kucha kama kwenye porno ni ishara kuwa mwanaume unatwanga maji katika kinu.
 
Hili ni tatizo lako kama hupendi kuambiwa ukweli ili ubadilike
No kuna busara za kutumia ili mtu afahamu kuwa ana kasoro fulani ila sio kwa kumwambia live bila chenga eti umwambie kwamba K yako inanuka atakuchukia milele.
 
Back
Top Bottom