Simuelewi kabisa huyu mdada!

Simuelewi kabisa huyu mdada!

Mfano: My love Toria
sijapita benki chukua hizi laki 3 japo kidogo zikusukume sukume angalao.. see you sometimes over the wekend.

nimekupata... Yeah mwishowe ni kupapuchika tu. it seems to me as a lesser evil.

Watanzania spade bado ni big spoon.. we mwenyewe ukienda dukani japo hela ni yako na jasho lako... bado utu waku utakushukuma ''Naomba Airtel 5 kaka''

Point yako nimeiona bana..... kua utatoa for the sake of urafiki wenu; ila sasa mwisho wa siku hapo target ni ile papuchi tuu huo urafiki ni cover

why dont u just call a spade a spade and not a big spoon...lolo
 
Dada wa chuo kikuu, hebu pita hapa, dogo analialia hapa
 
Umeona eeh, sasa mleta mada analilia, hajui mjini ni mipango

Mfano: My love Toria
sijapita benki chukua hizi laki 3 japo kidogo zikusukume sukume angalao.. see you sometimes over the wekend.

nimekupata... Yeah mwishowe ni kupapuchika tu. it seems to me as a lesser evil.

Watanzania spade bado ni big spoon.. we mwenyewe ukienda dukani japo hela ni yako na jasho lako... bado utu waku utakushukuma ''Naomba Airtel 5 kaka''
 
Kuna sifa nyingine kuzitafuta zinakugharimuje?

Jamaa alikua ndio kaajiriwa ajiriwa na vimishahara vyetu hivi na alikua hana gari. alichokifanya akachukua jamaa zake wenye gari za maana kama sita hivi na ndugu wengine wakamsindikiza siku ya kuwaona kwa wakwe. alitaka ajioneshe yeye ni wa status flani hivi bila kujua itamgharimu baadae...... Wakwe wakampa hadhi alioitaka bhana... kuanzia hapo jamaa akitaka kwenda kusalimia lazima akodi gari la mshkaji na lazima awaachie wazee hela ya maana kuendana na status yake kule ukweni kuwa kijana wetu ni mtu mzito anafanya Benki (si unajua watu wasioelewa wakisikia mtu anafanya bank wanaona bonge la mtu).... akija kijiweni ndio atalalamika huyo... hadi unamuonea huruma.

yani rafiki wanaume wa hivi ni wajinga sana
 
Huyo sitaki nataka....mpe mda anakuja tu na mpe tena kuku...usimpe pesa....alafu kuwa kama huna tyme nae

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
Mfano: My love Toria
sijapita benki chukua hizi laki 3 japo kidogo zikusukume sukume angalao.. see you sometimes over the wekend.

nimekupata... Yeah mwishowe ni kupapuchika tu. it seems to me as a lesser evil.

Watanzania spade bado ni big spoon.. we mwenyewe ukienda dukani japo hela ni yako na jasho lako... bado utu waku utakushukuma ''Naomba Airtel 5 kaka''

Me love the way u admit in the end....

Halaf nasubiri hizo lak3 zangu za kunisukuma buubu
 
Hahahaaaa... You are really something!!

Laki tatu??? si unajua ''laki si pesa eeh'' usiogope... laki tatu kitu gani bhanaa!!! Ngoja nipite kwa mkoloni apo nije kukusuprise!!!LoL!!!!
Me love the way u admit in the end....

Halaf nasubiri hizo lak3 zangu za kunisukuma buubu
 
^^
Ohoooo!! miss chagga na Excel, wanasema mwanamke akikupenda hakuombi pesa, anachofanya anakusanya laki mbili hiyo anamgawia kidogo ampendae, unamnunulia laptop anampelekea ampendae.. Kifupi unageuzwa ka B.O.T kadogo ka kumaliza shida zake, kupewa hupewi unabaki kupangiwa tarehe kama kesi za mahakamani.
That game, is what I hate.
^^

sawa himidini, you hate it, right!

now tell us how you do it perfectly!
 
Wadau wote natumaini mnaendele vema.

Jambo linalonifanya nijekwenu leo ni kwamba, kwa mara ya kwanza toka nijiunge na JF nilikuwa sijapata rafiki wa kuwasiliana mpaka kukutana.

Nilikuwa napata wakuwasiliana tu maana wengi walikuwa ni wa mbali lakini.

Kama wiki mbili hivi nimebahatika kupata msomi wa chuo kikuu, nikweli tulikutana tukala kuku na kunywa, sikuwa na haraka ya kumtongoza ili nigegede.

Wiki imepita sasa kila nikimtongoza anakataa katakata hataki.

Lakini nikikaa kimya bila kuwasiliana nae hata saa moja analalamika na kutuma sms nyingi kunilaumu.

nikitaka awe mpenzi wangu hataki sasa wadau hii nini?

Maana mi naumia ndomaana naamua kukaa kimya ili nipotezee lakini yeye hataki nikimtongoza hataki.

Mawazo yenu wadau.
Endelea kuvumilia, kuna mchezo anakufanyia huyo mrembo. Si unajua tena - sitaki nataka

Huyo lazima akupe mambo wewe jifanye kama pimbi
 
Unapotengeneza mazingira si ndio kutongoza kwenyewe...

au tongozo hua linapitia sanduku la posta?
Toria kuna mazingira mengine yanatengenezwa bila kutongozwa!!

yapo na nilishayaexperience kabisa mimi!
 
Last edited by a moderator:
Value for Money haina mashiko hapa eeh!!! Nahisi ntaumwa roho sana kutoa hela kwa jina la papuchi. Kutoa hela vinginevyo sawa... ila nitoe hela ili kununua/kulipia hio kitu...hell no... I am surely convinced, am not that desperate.

Kwanza kutoa hela utakuwa unajishusha bei pia Avator yako utakuwa hujaitendea haki. Umeshasoma GIFTED HANDS ukamalizia na THINK BIG? Usithubutu kununua dhambi i see.
 
Hahahaaa. Siwezi na pia sio kati ya vipaumbele vyangu. There are things that matters. Nimekupata sana. Asante.

Yap nimepata fursa ya kuvisoma hivo vitabu... vimenipanua sana kimawazo. Nampenda sana Dr Carson kiukweli.. He is such a humble man.. kuna vitabu vyake vingine ningekushauri uvisome vina vitu vizuri sana. Kimoja kinaitwa ''The Big Picture... Getting perspective on what's really important in Life'' na kingine ''Take the Risk .... Learning to identify, Choose and Live with ACCEPTABLE Risk'' Natumai utavifurahia sana. LoL!!

Asante sana, naenda leo TPH kuvinunua, nimesoma hivyo viwili tu nina ma upako yake si mchezo. Kusoma kunapanua ufahamu sana. You blessed me today. Asante sana.
 
Karibu sana Caroline, Ntafurahi kukusikia baada ya kuvisoma. You seem to have a very good attitude.

Wishing you a much more blessed day. LoL!!

Mrishonyuma lazima upate. Kama mpenzi wa kusoma vitabu basi hapa umefika Mkuki na Nyota wanazindua The Mkapa Years: Collected Speeches (Vol. 1-3) Karibu sana. tarehe 26/02/2014, KIBO BALLROOM, HYATT REGENCY, THE KILIMANJARO.

Nasoma vitabu sana, mlezi wangu alikuwa ananitreat kama SONYA na wanae CURTIE na BEN, wasome vitabu halafu kila mwisho wa wiki walete feedback. Imenisaidia sana.

Karibu sana.
 
Back
Top Bottom