Simuelewi kabisa huyu mdada!

Simuelewi kabisa huyu mdada!

Hawa vijana wetu wa siku hizi...yani uvumilivu zeroooooooo kama wanavyo-feli hiyo form 4 yao. Wewe unashindwa nini kumvutia subira demu umemtoa out moja tuu unataka kupata dudu-kojo. Ingekuwa rahisi hivyo mama zao tusingewapata kabsaaa...na wao wasingezaliwa....raha ya mwanamke akusumbuwe kumpata atleast miezi 9 mpaka 12 hivi ndio mtoto wa kike anavua pichu-kongolo mtu mzima unatupiamo na wewe unajiona kidume....lazma upite ligi ya mchujo upewe ubingwa kwa kuutolea jasho na sio ushindi wa mezani.
Pambaffff....ndio maana sikuhizi munauziwa vitu ambavyo havikutakiwa kuuzwa..wewe "k" unauziwaje..na kwanini iuzwe mtu kitu kapewa bureeee?.

Vijana acheni uvivu wa kutongoza ndio maana munakuwa hata wavivu wa kufikiri....sie zamani unakunywa maji unamuona binti kwenye glass...sasa wewe lunch moja tuu unataka upewe tunda hata hujamuona kwenye glass.

Innallah maswaabirinah....
 
hivi kuna mtu anaitwa Caroline Danzi humu?

anahitajika kule cc! nimeambiwa nimpeleke na mwenyekiti!
 
Last edited by a moderator:
io rahc mwambie mkutane tena afu umweleze shda zako .....safar hii hamna kuku wala knywaj
 
mimi siiamini!

bazazi makini ni yule aliye serious kila wakati! yule anaongea systematic! mbona mtakaa mwaka huu!

mie mpaka sasa hivi nimeingiza sana mwaka gani unaongelea labda wa uchaguzi?
 
mie mpaka sasa hivi nimeingiza sana mwaka gani unaongelea labda wa uchaguzi?

we si unachukua vitoto vya seko na vizee kama Asprin!

hujaja kwetu wazee wa policy making and miser considerations in the air way control of money in the centrifugal core!
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kugundua nyie ndio mnafaidi sana... nimejikomboa aisee... SIOMBI TEENA BASI!!!!... kaeni nazo.

Afu mbona wakuomba wengine afu walalamishi wa kutofikishwa ni wengine? kwani mmetuona sisi waombaji tukilalamika... Tutacheni tulaleeee....!!!

ha ha ha nani kasema? wakati nyie ndo mnapenda kuomba huo mchezo
 
LAKI mbili hivi hivi naiona....... labda isiwe ya jasho langu.
Laki mbili kisa kipapuna ambacho ladha yake ni ileile??? Bora nipite mnadani nikajichagulie sidhani hata kama itafika 30,000/=
 
wee unakosea...hao wala hunashida ya kutongoza unatengeneza mazingira mwenyewe anakupa papuchi
 
we si unachukua vitoto vya seko na vizee kama Asprin!

hujaja kwetu wazee wa policy making and miser considerations in the air way control of money in the centrifugal core!

hana chs kunihongs huyu njaaa kali
 
umri wako please...........

kuna hatua ikifikaga kwenye mawasiliano na maongezi , kutongoza tena ni kama kurudi hatua mia nyuma............

go ahead kivitendo na kuwa na ushawish kwa kutumia body language utamla tu.
 
Back
Top Bottom