miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
kama unaomba alafu unakuja kuruka ruka kama chura tusilalamike loh!!!!!!!!!! ukiomba jiandae na uwe umejipanga jamanBaada ya kugundua nyie ndio mnafaidi sana... nimejikomboa aisee... SIOMBI TEENA BASI!!!!... kaeni nazo.
Afu mbona wakuomba wengine afu walalamishi wa kutofikishwa ni wengine? kwani mmetuona sisi waombaji tukilalamika... Tutacheni tulaleeee....!!!